Bangi ni zao jema.
Cha kushangaza hapa kwetu inapigwa vita na Dola kwenye matumizi na uzalishaji wake.
Rwanda jirani yetu ameingiza $3.7 billion Kwa mwaka kutokana na zao hili.
Inashangaza tunaruhusu kilimo cha tumbaku ambayo ina madhara makubwa kuliko bangi na Kwa Sasa soko la sigara...
Ndo wanachotaka washindi halali wasipate hizo tuzo.
Wanataka wampe fei MVP Sasa wameona kama wakitoa muda huu itazua mijadala.
Hizo tuzo Zina kubebana utashangaa ili kubalance mamba Jobe nae anapewa tuzo
Sijakuelewa mwanaume amekuwa amemtawala mwanamke kivipi?
Kwaiyo mwanamke yupo kwenye vita ya kufanya mapinduzi kumtawala mwanaume?
Unataka mwanamke apewe Nini au apate Nini ndo ujue huu Sasa ndo usawa
Haki zipi zitaje ?
Yaani wewe unaamini baba yako anakunyima haki anakudhulumu, kaka yako hakutakii mema, mjomba wako hataki uwe na uchumi mzuri.
Mfumo dume ukoje? Uko wapi?
Kwaiyo NGOS zinakuja zilete fujo dhidi ya mfumo dume usiokuwepo.
Mnataka Nini Kwa wanaume? Wanawake wamekuwa mawaziri hadi...
Haki sawa zipi ambazo mwanamke hapewi?
Na anazidai Kwa nani?
Na mwanamke akizipata hizo haki itakuwaje?
Ni nani mtesaji wa hawa mama, wake zetu, Binti zetu, shangazi, bibi, n.k?
Mwanamke kuwa na uchumi mzuri ni jambo jema.
Tukisema mwanamke hatumaanishi mtu kutoka mbali , kila mwanaume alipo Kuna mwanamke.
Mwanamke ni dada yako, ni Binti, mke, mama, shangazi ambao hao ndo wanawake hata ukigeuka unawaona.
Kwa mfano me nataka Binti yangu, dada yangu , shangazi, rafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.