Search results

  1. D

    Natafuta 'Love partner'

    Habari za jukwaani, NIMEKUJA hapa kuomba love partner Kwa msichana / mwanamke aliye mpweke au asiye na furaha katika mahusiano, Mimi Nina miaka 33+ lakini sichagui umri, dini, kabila wa Rangi...! Naomba Kwa aliye muelewa na aliye tayari aje PM tufahamiane zaidi
  2. D

    Home theater inauzwa

    Wakuu nauza home theater yangu, Watts 800 Haina blootuth Inahitaji marekebisho kidogo upande wa cd Zaidi ya hapo kila kitu kinafanya kazi, bei 350,000 Picha na mawasiliano zaidi 0658644485
  3. D

    Car4Sale Toyota Verossa inauzwa

    Habari, Nauza gari Aina ya Toyota Verossa number DAK haina tatizo lolote unawasha gari na kwenda safari kokote, gari ni yangu mwenyewe nauza ili nibadilishe au pia tunaweza kubadilisha na.ukaniongeza hela. Bei ni 6.8M hata ukiwa mkoani unafikishiwa kwa usalama na uaminifu. Kwa picha naomba...
  4. D

    Vifaa vya mziki/studio vinauzwa

    nauza vifaa vyote vya mziki na studio, vifaa vyangu ni mtumba toka uk /us /dubai na sa. nina speaker za mid na bass, busta, mixers, mic, monitor speaker, sound card na vinginevyo vingi..... napatikana dar es salaam, mikoani tunatuma kwa uaminifu au kukuletea kwa makubaliano! Bei ni kuanzia...
  5. D

    INAUZWA Used speakers / live music

    [emoji91][emoji91] *VIFAA VYA MZIKI / STUDIO* [emoji91][emoji91][emoji446][emoji446] *Mid Full Range* Brand: Berinja zimebaki pc 2 tu, pair moja Price: 1,600,000 Kwa 2 Contacts: 0658 644485 Tuna vifaa vyote original na speakers aina mbali mbali (mtumba toka UK) *Mikoa yote tunatuma au...
  6. D

    INAUZWA Mac Book pro 13 ya 2012 Spare

    Habari za kazi, Nauza Mac book pro 13 ya mwaka 2017 kama spare Machine kuna kitu kimeharibika ndani kina cost 500k, Motherboard / display/ Kioo/ HDD ram processor vyote vizima kabisaa. Kwa yoye kama ilivyo nauza 500,000. Kama utahitaji kifaa kimoja kimoja ni makubaliano. Napatikana Dar...
  7. D

    Msaada wa dharula

    Habari za majukumu Ndugu zangu, Nimekwama sana nahitaji msaada wa hela ya haraka saana kama 500,000 tu niweze kutoa mzigo wangu Bandarini Makadirio yalikuwa vibaya kidogo/ Mimi ni mfanya biashara pia Muajiriwa kampuni binafsi. Naomba masaada Kwa anayeweza nikopesha Kwa riba kidogo tarehe 3...
  8. D

    INAUZWA Nauza AC, ni nzima kabisa unakuja kukagua ikiwa haijafunguliwa ukiridhika unalipia

    Habari za majukumu. Nauza AC ni nzima kabisa unakuja kukagua ikiwa haijafunguliwa ukiridhika unalipia unafungua unabeba Nauza sababu nahama napoishi na baadhi ya vitu sitakuwa na uhitaji navyo tena, Pia nauza na Mziki Kwa ajili ya matumizi ya sherehe mbali mbali na matamasha Napatikana...
  9. D

    Vifaa vya muziki vinauzwa kwa matumizi ya nje na ndani

    Music system kwa ajili ya sherehe, live band & matamasha unauzwaa: Contacts 0658644485 Price: *Million 8.5* Location: Majumba 6 Dar Ukitaka Nusu nusu tunaongea kulingana na unachotaka Unabeba na kwenda kufanya kazi ipo full kila kitu Una bass double 2, single 2 Full range 4, Busta 2 Picha...
  10. D

    MUSIC / VIDEO / FILM PRODUCTION

    Habari ndugu zangu wote wa ndani na nje ya tanzania, Naomba kuwatambulisha kwenu kampuni yetu inayofanya shughuli zote za production na Entertainment kwa ujumla, Tuna studio kwa ajili ya audio productions za aina zote kama vile mziki, matangazo, sounf over na radio programs! Tuna studio kwa...
  11. D

    Upweke naomba kampan na mimi ni mpweke

    Habari, Kama wewe ni mdada mpweke naomba kampani yako, mimi nipo alone muda wotw ni mpweke saana nahitaji kampani yako please sichagui umri wala chochode! Mimi nina miaka 28. Please in box number yako nitakutafuta! naishi dar. karibuni!
  12. D

    Natafuta kazi ya U-DJ

    Habari ndugu zangu!! mimi natafuta kazi ka kupoga mziki (DJ) katika club, concerts, na sehemu yoyote inayopigwa mziki nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8, Naomba msaada wenu! kwa maelezo zaidi naomba PM
  13. D

    Nahitaji mwenza wa Maisha

    nahitaji girl atakayekuwa mke wangu kama tutaivana,,, umri kati ya miaka 20-24.....sichagui kabila dini awe mkristo ama akubali ku change kama c mkristo...awe mrefu kias c mnene wala mwembamba.......awe mcheshi,mvumilivu, na mwenye mapenzi ya kweli. aliye tayari anitafute kwa mail ya...
Back
Top Bottom