Mkuu haijalishi mwanaume awe vipi kimuonekno, cha muhimu tu awe amejipata kimaisha, na kuwa na uhakika na njia sahihi za kupata maokoto. Kuwa "handsome" peke yake hakutoshi kama unajitafuta, huna uhakika na maisha, na wala huna chapaa za uhakika.
Fanya kazi kwa bidii, tafuta fursa nzuri na...
Jiwe aliwahi kutamka kuwa mtamkumbuka kwa mazuri yake. Karma ndiyo imeanza kujibu nini!?
Wazee wa Pwani wameshika mpini. Wao na familia zao wanajitengenezea fursa wao wenyewe na jamaa zao wa karibu. Kibaya zaidi itakuwa ngumu kumpata mrithi wa kiti cha utukufu nje ya wigo wao.
Uzalendo kwao...
Watumishi wa umma wapo wapo tu, hawana "annual targets/KPIs" kitu ambacho huwafanya kuishi kwa mazoea. Aidha wapo katika ajira za kudumu kitu ambacho ni tofauti kabisa na waajiriwa wa sekta binafsi.
Ni wakati sahihi sasa kwa serikali kubadilisha vigezo na masharti ya utumishi wa umma. Ili...
Kutoka vituko vya Loliondo na Kikombe cha Babu mpaka kuelekea Maji ya Kimiujiza ya Ruaha, uzushi ule unaopikwa na serikali, pale inapokuwa imezidiwa kupata majibu ya changamoto mbalimbali, hasa nchi ikiwa katika vipindi vya maandalizi ya uchaguzi
Mkuu nenda ukafanye kipimo cha DNA kupitia ndugu zako ili uweze kuujua ukweli wote. Isije kuwa mzee alistukia mchezo fulani na kisha akaja kutambua kachomekewa mtoto kimtindo.
Kwa mila za Kiafrika, mtoto wa mwisho mara nyingi ndiye ambaye huwa anapata "lion share" kuliko wenzake. Hivi ujiulizi...
Je, Kuna timu yoyote ile kutoka Zanzibar iliyoshiriki katika michuano hii!?
Je, Kuna makubaliano ya pamoja kati ya TFF na ZFF juu ya uedeshaji wa pamoja wa michuano hii!?
Je, Kati ya mashirika hayo mawili, lipi ndilo mmiliki na msimamizi wa michuano hiyo?
Je, Kuna muinguliano wa mipaka ya...
Mkuu utajiri wa mtu, yaani, "net worth" haipimwi na magari "second hand" kama hilo. Mtindo wa maisha wa mtu binafsi ndio huamua ni aina gani ya gari analolihitaji.
Itakuwa ni kichekesho sana kununua gari kama hilo, ambalo ndilo linabeba sehemu kubwa ya "net worth" yako. Si ajabu ndicho kitu...
Nchi hii ni asilimia ndogo sana ndiyo ambao wanalipa kodi, ama tuseme ndiyo wanaotambulika na kufikiwa na mamlaka za ukusanyaji wa mapato ya serikali. Hawa ni wale ambao wapo katika sekta iliyokuwa rasmi.
Asilimia kubwa ya wenye kustahili pia kulipa kodi wamejazana katika sekta isiyokuwa rasmi...
Utabiri wa yule nabii Boniface unatimia nini!? Alitabiri kuwa Dar huenda ikachakazwa vibaya kati ya mwezi wa nne ama tano. Alipata maono kuhusu huyu Hidaya nini?
Kihistoria huenda miaka isiyopita 100 huko nyuma huenda tufani kubwa kama hii oliwahi kutokea. Kwa nyakati kama hizi maombi ya kweli...
Ukitaka kutambua kwa usahihi siku ambazo mwili wa Yesu Kristo ulikaa kaburini ni vyema uchunguze kwanza maandiko yanasemaje kuhusu msingi uliowekwa wa maadhimisho ya sikukuu za,
a) Sabato ya kila mwisho wa juma,
b) Pasaka,
c) Pamoja na siku 7 zinazoambatana na Sabato ndogo mbili za maadhimisho...
Naona sasa akina mama wanataka kuvuka mstari. Kinachoonekana kutafutwa kwa sasa ni wao kutaka kukaa juu ya wanaume na kuwatawala.
Nathubutu kusema siasa za upendeleo zinazoendekeza mambo ya kike kike zipo katika maeneo ya nchi za maziwa makuu peke yake. Imefikia vijana wa kiume wa Kitanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.