Search results

  1. The Conspiracist

    INAUZWA Nauza book manuscripts

    Muda utafika.
  2. The Conspiracist

    INAUZWA Nauza book manuscripts

    Thank you!
  3. The Conspiracist

    INAUZWA Nauza book manuscripts

    Asante sana mkuu. Subiri tu baada ya muda ukutane na Published Books. Soon nitakujuza namna ya kuvipata vitabu vyangu.
  4. The Conspiracist

    INAUZWA Nauza book manuscripts

    Nimeshatatua kilichokuwa kikinakibili.
  5. The Conspiracist

    Nakutafuta 'Mke Mwema'

    Thread Closed. She is 'gotten'
  6. The Conspiracist

    INAUZWA Nauza book manuscripts

    Thread Closed. Everything is set
  7. The Conspiracist

    Wakikwambia wako tayari kukupenda na umaskini wako kataa kabisa huo mtego, watakusumbua mbeleni

    Well! Umejitahidi kuongea vema japo Kuna vitu umesahau (aidha kwa kutojua au umeamua tu kuvipuuza ili uwasilishe mawazo yako). Binti anapoamua kumkubali mwanaume katika hali ngumu ya kiuchumi aliyonayo m/ume husika, sioni kosa hapo na Wala si mtego .. Ikumbukwe kuwa, Katika mapenzi halisi...
  8. The Conspiracist

    Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

    Mimi hupenda zaidi dressing code ya wanawake wa kiislamu.. Miili Yao inasitiriwa kwelikweli, na sio ukanjanja wa vibinti vya kilokole
  9. The Conspiracist

    Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

    Tatizo la msingi ni hili hapa Mkuu.. Hata usijisumbue na Hilo jina..
  10. The Conspiracist

    Kuna yeyote humu alishawahi kumfumania mke wake kisha akamsamehe na maisha yakaendelea

    Yeap! Hivi ndivyo msaliti anatakiwa kufanyiwa. Mpe fursa ya kujihukumu mwenyewe..
  11. The Conspiracist

    Kuna yeyote humu alishawahi kumfumania mke wake kisha akamsamehe na maisha yakaendelea

    Sio Kila wakati kwenye maisha utafanya kulingana na 'nature'. Kuna moments za ku-act against it na bado maisha yakaendelea.
  12. The Conspiracist

    Kuna yeyote humu alishawahi kumfumania mke wake kisha akamsamehe na maisha yakaendelea

    Ukimfumania Mkeo fanya hivi: Kwanza usimgombeze, na fanya kama hakuna kilichotokea. Pindi umkutapo wakiwa 'wanafanya yao' waombe radhi kwa kuwaingilia shughulini. Ondoka uwape nafasi wamalize, then baadae sana rudi nyumbani ukiwa umembebea Mkeo zawadi nzuri. Hakikisha jambo la fumanizi...
  13. The Conspiracist

    Nyoka, alama ya Uungu (Ukombozi) au Ushetani (Upotofu)?

    Nimeweka kambi hapa nijifunze. Japo kwangu Ophidio-Phobia imegoma kuniachia
  14. The Conspiracist

    INAUZWA Nauza book manuscripts

    You're right!
  15. The Conspiracist

    INAUZWA Nauza book manuscripts

    Siko kwenye utulivu wa kufanya mdahalo Mkuu. Kwa sasa niseme tu, Naheshimu mtazamo wako.
  16. The Conspiracist

    INAUZWA Nauza book manuscripts

    Habarini wakuu! Natumaini mu wazima, poleni sana kwa wale ambao hali zenu haziko sawasawa na vile mpendavyo. Niende moja kwa moja kwenye mada! Nimeandika vitabu viwili ambavyo nilipanga kuvifanyia publishing mwaka huu. Lakini, katika harakati za maisha, nimekumbana na jambo kubwa ambalo...
  17. The Conspiracist

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Asante kwa majibu mazuri mkuu!!!
Back
Top Bottom