Kuna shida kwa wanajeshi wetu. Uwezo wao wa kuwaza na kung'amua mambo ni Mdogo sana na pia ni washamba. Hao raia wanaopigwa na surubishwa ndio waliomuua huyo mkuu wao ?? Hii ndio Shida ya kuchukua form four failure. Uwezo mdogo wa kufikiri kuanzia kwa Ma luetenants. Kulikuwa na shida gani kama...
Acha wasambaze hayo maneno, wewe kama kuwasaidia wasaidie ila usijilazimishe kufanya makubwa. Kingine wewe unapaswa kuwasamehe ila usijisahau sana maana wanaweza kukumaliza hao hao ukiwachekelea ili mkose wote.
Habari za Asubuhi ndugu na wanajambi wenzangu. Ni muda sana sijaweka bandiko hapa JF. Majukumu na kazi za watu zinabana sana kusema ukweli. Naomba niende kwenye mada moja kwa Moja.
Mimi ni mtumishi katika moja ya Taasis za serikali katika Manispaa "X" mkoa mmoja maarufu kama Kanda Maalum...
Nchi ngumu sana hii, walimu wanalia mishahara ni mibovu haitoshelezi mahitaji ya kila siku alfu kuna mtu analipwa pesa nyingi zote hizo na bado anataka zaidi 😀😀😀
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.