(Binafsi) nimeipenda, mimi nadhani kila mtu ana mtizamo wake katika maisha kama kuna mtu ameamua ku express feelings zake watsap let her or she be ..hatuwez kufanana mwingine atakwambia unaogopa watu ndio maana unasema kujichoresha yeye atasema anaish freely hawaz mwingine anachowaza ...kila mtu...
Doh yani hapo sasa kama hela ipo na wapo tayari kufanya DNA waende tu sababu ukijaribu kuangalia kuna utata hapo mwanaume namuelewa na mwanamke namuelewa ila kuna jambo lazima lifanyike kuweka hali ya kuaminiana tena.
Hallo wapendwa naombeni msaada namna ya ku culculate kiinua mgongo, mimi nipo kampuni binafsi kwa miaka 8 sasa, hii 2024 nmeanza wa tisa
1. Calculations ya kiinua mgongo
2. Je ukiacha kazi mwenyewe una haki ya kupata kiinua mgongo?
3.Kabla ya kuacha kazi mwenyewe kabla ya mkataba kuisha nini...
Pole sana Vicky Kamata!! Pole nyingi kwa watoto wa marehemu kwa kipindi chote cha kutafuta haki yenu na hongereni kwa ushindi ..Hongera na mahakama kwa maamuzi walitotoa ila Dada Vicky kama bado una ukakasi na kudai kuna mahali zako ulichangia naamini mahakama zetu haziangalii cheti cha ndoa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.