Kaka unajibu heading, ungesoma content usingesema "Mimi nitakupinga mpaka kesho ndugu yangu, nitakupinga mpaka vidole viote sugu kwa kutype..." Mana hujanipinga bali umeniunga mkono
Kuna uzi upo humu jukwaani tulikuwa tunabishana na majamaa kuhusu hizi diss tracks zinazotolewa na Kendrick Lamar na Drake. Hii bifu tunaoifaidi vizuri ni sisi tusio mashabiki wa Kendrick wala Drake. Mashabiki wa Kendrick watasifia tu Euphoria kuwa diss track kali lakini ukiwa serious huwezi...
Jamaa hakukataa uwezo wa Kenny wala kusema kuwa Drake anaweza kushinda hii battle tu alikua anakataa kwamba Euphoria ni diss track kali, kitu ambacho ni kweli.
Euphoria ilikua kawaida tu, ila hii 6:16 in LA Kungfu Kenny kaonesha ubora wake... Sioni Drake akimudu kuijibu hiyo.
Wengi ambao tulikua tunaidiss Euphoria sio kwa sababu eti Tunahisi Drake ni mkali kuliko K. dot, ni kwa sababu tulijua jamaa amecheza chini ya kiwango na angeweza kufanya kitu...
Watu wanatafuta mkate, na nyie msio wachekeshaji mnaweza kuamua kwa umoja wenu mkavamia hiyo tasnia ya ushereheshaji mkiwa na kitu mtapata kazi nyingi hao wachekeshaji watakosa soko
Nilishawahi kukata tamaa kama wewe na nikaelewa kuwa haya maisha ni vita.
Wakati nasoma nilijua nikitoka hapo ni kuajiriwa tu nakula mema ya nchi, nmemaliza chuo niko kitaa miaka nenda rudi na huwezi kutegemea wazazi wakufanyie lolote mana hata kukusomesha walikusomesha kwa mikopo wakifikiri...
Heading unatwambia kwenye harakati za uanaume tusile wake za watu, content unatuhadithia wewe usivotaka kumla huyo mke wa mtu... Ungetupa na sababu kwanini sisi tusile, au kula wewe halafu likukute la kukukuta uje utuhadithie wamekufanya nini na sisi ndo tuogope 😂😂
Hii beef inavoenda bhna, K.Dot alijipanikisha akaonesha hate yake kwa Cole na Drake. Kwenye First Person Shooter hakudisiwa tu alipewa shout out! Baada ya Cole kuachia 7 Minute Drill nilifurahi kuona angalau saivi kamjibu mtu japo sikua na uhakika kama anaweza kustand his ground mana jamaa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.