Nitiririke moja kwa moja kwenye hoja tajwa hapo juu.
Nahisi Kuna mpango nyuma ya pazia kwa hii idadi ya wanawake inayoongezeka kwa wajawazito kupangiwa au kujikuta wanalazimika kujifungua kwa njia ya upasuaji.
Ndani ya familia yangu na ndugu wa karibu kati ya wanawake 4 wachanga wanajifungua...
Fomula ya kukokotoa asilimia 23 ya kima Cha mshahara ipo Hivi
Kima Cha chini Cha mshahara ni 300000.
23/100x300000=69,000/=
Hivyo 69000-18% ya makato yote utaona umeongezewa sh.ngapi?
18/100x69000=12420
Sasa 69000-12420=56580.
Hivyo Basi nyongeza ya mashahara ni 56580 kwa kila mtumishi.
Hivyo...
Hili limetokea Jana baada ya mama watoto kutoka kliniki.
Nimeshangaa sana hili Jambo tena kwenye hii zahanati yetu ambayo tumeijenga kwa nguvu zetu wenyewe
Kwanini wanahukumu mtoto kwa sababu ya mama kutopewa chanjo ya korona kisha tu msimano wake juu ya chanjo hiyo
Kwa kweli nimesikitika...
Huyu anawivu na ndugu zake ambao ni wafanyakazi anaona wakipandishiwa mishahara watanunua magari na viwanja.
Badala ya kuombea wafanyakazi waongezewe mishahara ili mzunguko wa pesa uimarike mtaaani badala yake mnapondeà ili pesa ziendelee kubakia hazina
Kijana jua kwamba kila mbuzi anakula...
Imeandikwa wapi kwamba manabii na mitume walifungisha watu ndoa
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili mke na mme
Kuaoa au kuacha kuoa ni maamuzi yako wewe mwenyewe kwa sababu suala la ndoa ni suala linalohusu mwili wa mtu Wala sio suala la kiroho
Sasa wewe una uhakika gani kwamba wote wamehusika na hilo tukio
Kama wamehusika na ushahidi upo nini maana ya kuundwa sheria na mahakama
Unashawishi watu wachukue sheria mkononi wakati unajua ni kinyume Cha sheria
Kwa hali hii ya uongozi wa nchi hii Kuna haja ya kukaa chini na kufanya maamuzi magumu kwa manufaa ya vizazi vya Sasa na vya baaadae
Kama wote tinavyofahamu kwamba nchi ya marekani ina majimbo yasipopungua 52 na kila Jimbo lina uchumi imara hata zaidi ya nchi yetu
Japokuwa tuna rasilimali...
Hilo zoezi limejaa magumashi huku Kilosa Kuna washkaji wamepiga kazi siku 7 mfululizo halafu malipo wakapewa sh. 20,000/= mambo mengine jamani yanasikitisha
Tatizo mmeingiza masuala ya ndoa kwenye himaya ya viongozi wa dini
Ndoa ni kati ya wewe na mkeo ya nini kuwashirikisha viongozi wa dini?
Viongozi wa dini wanahusika na masuala ya kiroho na ndoa ni suala la kimwili chukua maamuzi yako kama mwanaume amua mustakabali wa maisha yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.