Search results

  1. Efendi

    Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Si bora ununue mashamba na kukata viwanja yaani hiyo M 45 utaidouble ndani ya miezi 3
  2. Efendi

    Wale wa watu wapenzi wa movies angalieni hizi mpya

    Hujui movie ww pita kule Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  3. Efendi

    Bodaboda mnawahi wapi?

    Inaitwa Kishandu Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  4. Efendi

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    HABARI TANESCO LINI MTATUFUNGIA TRANSFORMER WANANCHI TUNAOISHI CHANIKA WILAYA YA ILALA MTAA WA NZASA DARAJANI NJIA YA KWENDA KWA MPANGO NGUZO ZA HTT ZIMESHAPITA NA NGUZO NDOGO PIA ZISHAPITA LAKINI TRANSFOMER BADO KUFUNGIWA UNAENDA MWEZI WA 2 Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  5. Efendi

    Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

    Mbopo nimefka king'ongo ndo nliopomaliza secondary kijichi nimefka hadi kivule nimefka mpka kibeberu huko ndani ndani Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  6. Efendi

    Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

    29 japokuwa nimeezeka upande lakini tayari nishahamia Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  7. Efendi

    Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

    Nimekutumia inbox Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  8. Efendi

    Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

    Chanika Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  9. Efendi

    Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

    Vyumba vi3 vya kulala Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  10. Efendi

    Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

    Mm nimefika hapa Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  11. Efendi

    Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

    Hii ishanitokea wakati niko primary nilikuwa kichwa kuwa namba 1,2,3 kitu cha kawaida nilikuwa maarufu kuanzia shule nnayosoma mpaka shule za jirani so cku moja nkakutana na kichwa wa shule ya jirani yy alikuwa hanijui alikuwa ananichukulia poa kuna mwana akaniita jina langu yule kichwa akackia...
  12. Efendi

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ukiachana na nyimbo hii ya Kenny G ya forever in love kuna nyimbo nyingine inapigwa trumpet inawekagwa kwenye kipindi cha usiku cha radio nahitaji kuijua
  13. Efendi

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mi natafuta nyimbo ya Jiti boy ft Waziri Sonyo- ni ndoto
  14. Efendi

    Wadau maoni yenu ninataka kutumia ramani hii

    Poa nimekusoma Mnyiramba Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  15. Efendi

    Wadau maoni yenu ninataka kutumia ramani hii

    Ndio maana nimeleta ramani mnipe ushauri Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  16. Efendi

    Wadau maoni yenu ninataka kutumia ramani hii

    Wanajf habari zenu nna eneo langu nataka nianze ujenzi so nikaamua kutafuta karamani simple cha rooms tatu but nikaona nishare nanyi wadau nini cha kuongeza nini cha kupunguza kwenye ramani hii Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  17. Efendi

    Anayefahamu jina la huu wimbo naomba anijuze

    Mafikizolo Udakwanjalo Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  18. Efendi

    Kiwanja kinahitajika

    Ongeza hela nije nikuuzie chanika milioni 1.5 Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  19. Efendi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Why haitokuwa broadcast worldwide Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom