Search results

  1. mysteryman

    jamani eeh...!

    jamani chit-chat besides jamani nakiu mwenzenu..,.dah! Mambo gani haya sijanywa bia wiki ya tano hii jamani!!! Kah sio vizuri hivo kubaniana jama...najua leo ni bize monday lakini hata tubia tuwili tu jamani?!...hebu acheni unoko huo wa kubaniana jama ebo..!! Kwani jamaa angu ukinipa tubia...
  2. mysteryman

    nahitaji display ya dell latitude E4300

    mwenye kuuza tafadhali mwaga maelezo yako hapa...
  3. mysteryman

    Welcome back.....

    Mniwelcome back wakuu.....nimemiss vingapi??....usiniulize nilikua wapi, we lete tikila ya mgeni basii......
  4. mysteryman

    Low blood pressure...msaada tafadhali

    Wakuu naomba kufahamishwa dalili za presha hasa ya kushuka pamoja na tiba yake tafadhali....natanguliza shukrani
  5. mysteryman

    unayo ideos????

    nina hitaji simu tajwa hapo juu nina elfu 80....kwa mwenye nayo tafadhali....
  6. mysteryman

    cheka kispos....

    UKIPENDA hakuna anaeamini km unapenda, UKIUMIA hakuna anaehc maumivu yako, UKILIA hakuna anaethamini kilio chako, ila BANJA sasa uone!! kila mtu JICHO KWAKO!!!
  7. mysteryman

    unaleta ujuaji hapa!!!!....

    Afisa m1 kaenda kwenye shamba la miti kukagua. Msimamizi akamwambia usiingie sasa hivi! kabla hajafafanua yule Afisa akatoa kitambulisho cha kazi 'we nani wa kunizuia na hiki kitambulsho?'' Jamaa akamwambia pita. Kupita tu akaanza kupiga makelele: nyukiiiii! nakufaaa nyukii nisaidie,! Jamaa...
  8. mysteryman

    mkopo wa haraka......

    mysteryman 18:53 Today wakuu ninahitaji mkopo wa milion moja wenye riba nafuu.....nitarejesha baada ya miezi minne na uwezo wangu au riba isizidi laki tatu kwa miezi yote minne.....nina kiwanja kipo kinyerezi, kadi ya gari au leseni na tin namba ya biashara.....vyote vyaweza tumika kama...
  9. mysteryman

    mkopo...mkopo.....mkopo.....

    wakuu ninahitaji mkopo wa milion moja wenye riba nafuu.....nitarejesha baada ya miezi minne na uwezo wangu au riba isizidi laki tatu kwa miezi yote minne.....nina kiwanja kipo kinyerezi, kadi ya gari au leseni na tin namba ya biashara.....vyote vyaweza tumika kama bondi.......mwenye uwezo wa...
  10. mysteryman

    msaada hapa wajameni...!!!

    pc yangu haipeleki moto ktk monitor ukiwasha inawasha kama indicator ktk kile kitaa chake....... hii monitor ukiunga na pc nyingine inawaka.......tatizo nini wakuu?????
  11. mysteryman

    "ony a woman like you"

    It's beautiful, your honesty You cry when you need to You say what you feel You're never afraid to wear you heart on your sleeve You're always so open with me It's in your voice, I can hear it The sound of a woman in love [Chorus:] Only a woman can love you so much Give you her life...
  12. mysteryman

    ooops...!!!!! finaly...!!!!

    jamani jf inamatatizo ya kiufundi??? mana toka jana kila nikifungua hola!!!!nakutana ujumbe huu.......The server timed out You tried to access the address https://www.jamiiforums.com/ , which is currently unavailable. Please make sure that the web address (URL) is correctly spelled and...
  13. mysteryman

    thank you jf...its my birthday

    nakushukuru mola kwa kunifikisha hapa na nakuomba unijaalie maisha marefu yenye afya njema....
  14. mysteryman

    printer elfu 50....

    mwenye nayo anicheki ninahitaji fasta...0715457263
  15. mysteryman

    ideos mpya katika box...unahitaji??

    nina ideos mpya zile za tigo katika box lake.....mseme wenyewe mtanipa sh ngapi au mwenye blackbery tubadilishane nimuongeze kidogo...
  16. mysteryman

    Bibi mchawi adondoka na ungo kwenye msiba wa kanumba

    ni kweli na mpaka sasa kabibi kamewekwa mtu kati......hivi haya mambo ni kweli yapo????
  17. mysteryman

    Picha ya leo

    Maarufu tembe nje kidogo ya manispaa ya dodoma
  18. mysteryman

    Halafu haka katabia kwa akina dada huwa kana nikera kweli....

    Naamini wanaume wengi huwa hawakapendi haka katabia....unakuta umepanga kuonana na mdada labda geto au mmepanga na mmekutana sehemu lakini muda si muda utaskia mdada anaanza mara ooh unajua mi sikai sana nataka kuwahi, mara ooh ntatafutwa nyumbani...mtu ushakua kwenye mood nyingine afu na yeyd...
  19. mysteryman

    Je unahitaji spea tairi??

    Kila kitu kina hitaji backup hapa duniani kama ilivyo gari na spearwheel hali kadhalika ktk mapenzi kuwa na spea tairi ni muhimu....so kwa mdada, mmama au mlimbwende mwenye kuhitaji spea tairi nipo hapa...
  20. mysteryman

    Chanel ten imekaaje hii??

    Sijui ni kwangu tu au ni kote...yani chanel 10 sauti iko chini sana yani ukitaka kusikia inabidi uweke sauti mpaka mwisho ndo unaskia sauti ya kawaida...sasa kivumbi usahau ubadilishe chanel nyingine bila kupunguza sauti unaweza kimbia......kama kuna wanaohusika hapa tafadhali tatueni hilo...
Back
Top Bottom