wazo bora kabisa mungu akuongoze na akuzidishie katika hilo.....natamani kujiunga na wewe kulitekeleza hilo kwani ilikua ni moja ya ndoto zangu za siku nyingi sana kuja kusaidia hata watoto wawili mayatima...kwani najua nini maana ya kuishi ukiwa yatima hasa umri mdogo.....anyway good luck
hahaha kaka acha kunichekecha bana nitoe na huto tubia bana.....btw ndom za nini mimi!? Nimeacha hako kamchezo mwenzio tangu nanii anikatae muulize hata bishanga anajua......lol
jamani chit-chat besides jamani nakiu mwenzenu..,.dah! Mambo gani haya sijanywa bia wiki ya tano hii jamani!!! Kah sio vizuri hivo kubaniana jama...najua leo ni bize monday lakini hata tubia tuwili tu jamani?!...hebu acheni unoko huo wa kubaniana jama ebo..!! Kwani jamaa angu ukinipa tubia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.