Shalom ndugu zangu, kama unasafiri usiku kuja moshi ukifika maeneo ya lembeni uwe makini jamaa wanapanga mawe na wana Gari na pia bodaboda.
Gari wanaitumia kuhakikisha unapishana nao eneo lenye mawe ili ubane upande wa mawe usiweze kukwepa.
Jana tumekutana nayo wamepanga km manne, hivyo...
Leo ndio nimeelewa maana ya msemo "capitalize on your strengths". Jamaa anawapa somo wadada hapa.
Kama strength yako ni sura nzuri, capitalize on it, make it more beautiful. Men will fall for it and ignore the rest. If its the booty, capitalize on it.
If its the brains or the boobs, just make...
Habari wandugu
Mi Ni mmoja ya watu wenye hamu ya kupata CISA. Je nafanyaje? Vitabu napata wapi? Any website yenye madesa ya shule hii mnaweza suggest nikapitiamo?
Ntashukuru kwa msaada wenu.
Wadau
kuna wimbo mmoja watiwa kesi ya khanga au monica uliimbwa na huyu nguli au bendi ambayi akiitumikia kama kuna mdau anao au link napoweza download please naomba.
Natanguliza shukrani
Buswelu
Takwimu hizo zilitolewa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, ambaye alisema kuwa viwango hivyo vimetokana na utafiti uliofanywa kati ya Februari hadi Oktoba mwaka jana 2012.
Kwa mujibu wa naibu waziri, utafiti huo ulifanywa na Shirika la...
Hello JF
Wataalamu wa IT na walio bahatika kufanya zoezi tajwa hapo juu.Naombeni msaada niko na new laptop HP ENYV dv 6.
Ina window 8 najaribu kuishusha kwenda window 7. Baada ya kuona inasumbua kwenye software zetu hapa kwa office..
Nime google solution kibao nifanya moja ya kuformat partion...
Hivi Kuna nini siri kati ya hawa dada zetu ambao wamepata kuwa na uhusiano na wazungu kisha mambo hayakwenda sawa wakachana na mzungu mmoja...Huendaendelea kuwinda wazungu tu?
Na kwanini hata akipata mswahili mwenzie mapenzi hayadumu kwa muda mrefu atarudi kwa wazungu? Na kingine swahili nao...
Gari Tajwa hapo juu inahitajika haraka sana. Budjet ni 14m isizidi 72km. Dar es salaam ndio inako hitajika. Kama uko na gari hii tafadhali wasiliana kwa mail hii ford_298@hotmail.com Wasalaam Buswelu
Wednesday, 14 November 2012 23:01 By Alawi Masare The Citizen Reporter Dar es Salaam. The National Bank of Commerce (NBC) continued to register losses in the third quarter as its non-performing loans surged.NBCs quarterly balance sheet indicates that the firm recorded Sh10.6 billion in its...
Rweyemamu among most experienced Tanzanian mining executives
· He commences duty as GM effectively on 3 September 2012
DAR ES SALAAM, (August 28, 2012) African Barrick Gold (ABG) is pleased to announce that it has appointed Philbert Rweyemamu as General Manager of the Tulawaka Gold...
Hellow
Kuna Precedure wakati unataka kuinstall some application kama sio zote kwenye iphone and Ipad inabidi uwe na credit care/Master Card/Visa etc then info zake unaziweka kwenye registration in order kupata hiyo application.
Sasa kama mtu huna hizo card above unaweza tumia Gift Voucher...
Hello JF...
Kuna friends wangu kama watatu wako kweney finishing stage ya nyumba zao. So katika kumaliza wanapenda kupata Designer wa jiko na dining. Kuwashauri setup ya makabati na jiko, fridge etc nyumba zote ziko mwanza.
Maeneo tofauti tofauti....Kama wamfahamu mtu anafanya kazi hizi...
Canadian Barrick Gold (TSX:ABX) announced Wednesday a major shakeup of its management team, saying that it has replaced Aaron Regent as president and chief executive officer by Jamie Sokalsky, who was the company's chief financial officer.
The world's largest gold miner also revealed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.