Search results

  1. A

    Balozi wa Tanzania nchini Indonesia, Dkt Ramadhani Dau awasilisha credentials

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Indonesia mwenye makazi jijini Kuala Lumpur, Malaysia Mheshimiwa Dkt. Ramadhani Kitwana Dau amewasilisha Hati za Utambulisho (Letters of Credence) kwa Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mheshimiwa Joko Widodo katika sherehe zilizofanyika siku ya...
  2. A

    EUNICE CHIUME ni nani NSSF?

    Alihusika moja kwa moja kwenye maamuzi ambayo wenzake jana wamefukuzwa kazi Lakini cha ajabu yeye hakusimamishwa wala hakufukuzwa kazi Tunajua ni mtoto wa Waziri kwenye serikali lakini ana mahusiano gani na Mkurugenzi mkuuwa NSSF?
  3. A

    Dr. Ramadhani K. Dau amlilia Alhajj Mzee Kitwana Kondo

    BURIANI MZEE KITWANA KONDO Ramadhani K Dau Siku ya Jumatano tarehe 24 Mei 2017 ni siku ambayo itakumbukwa na Watanzania wengi na haswa Waislamu kwa kuondokewa na mzee wetu Alhaj Kitwana Selemani Kondo maarufu “KK” au mzee wa mjini. Siku 4 kabla ya kifo chake, mwanawe wa kiume Bwana Adnan...
  4. A

    Miezi 9 iliyopita tuliambiwa Dr Dau aliacha Mfupa NSSF, sasa hivi ina Trilioni 7!!

    Magazeti haya haya yalisema NSSF imefilisika na kwamba Mkurugenzi Mkuu mpya kaachiwa fupa Ina maana kuondoka kwa Dr Dau NSSF miezi 9 ndio mafanikio makubwa Kiasi hiki? Kutoka kuwa Fupa Hadi kuwa Imara kifedha na balance ya TRILLION 7 Kwa mpaka 2085? Kwa miradi gani mpya iliyoanzishwa na yenye...
  5. A

    Balozi Dr. Ramadhani Kitwana Dau apokelewa Kuala Lumpur kwa nderemo

    Naomba bora niweke wazi maana ya kutumia neno "OUR MAN". Definition of our man in —— in English: our man in —— NOUN One's representative or envoy in a specified place. Baada ya kufafanua hayo, ni wazi kuwa huyu ni mtumishi muhimu wa wananchi wa Tanzania na serikali hii. Yaaani ni siku...
  6. A

    Kuna siri gani kati ya Eunice Chiume na bosi mpya NSSF, Godius Kahyarara

    Bodi mpya ya NSSF imeridhia maombi toka kwa Bosi mpya wa NSSF kuwa wakurugenzi na mameneja wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma mabali mbali. Lakini cha ajabu wakati wameneja na wakurugenzi wamesimamishwa kuna huyu mwana mama (EUNICE CHIUME) ambaye ni Meneja Kiongozi ambaye alikuwemo...
  7. A

    CAG: Hakuna ufisadi NSSF

  8. A

    Waziri Sospeter Muhongo atua uwanja wa ndege wa Mwl Nyerere, Dar

    Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa Nishati na Madini amegoma kupita kwenye VIP ya uwanja wa ndage wa Dar alipokuwa anaondoka na kurudi toka Uganda ambako alikwenda kukamilisha na kutia sahihi mkataba wa Bomba la mafuta ambalo litapitia Tanzania Naamini kuwa huyu waziri kweli ni Man of the...
  9. A

    Barua ya wazi kwa Rais Magufuli tupe akina "DAU" wengi

    Mheshimiwa Rais, kwanza nakuamkia shikamoo na hongera sana kwa kuliongoza na kulisimamia ipasavyo taifa letu hili pendwa la Tanzania, sisi wananchi wako wa huku Liwale hasa kata hii ya Mpiga miti tunafarijika sana na mwenendo mzuri wa serikali hii ya awamu ya tano unayoisimamia. Mheshimiwa...
  10. A

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Kama mnavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa ina udini na baadhi ya magazeti na wachangiaji wa mtandao huu wa Jamii forums bila kuleta ushaidi wowote kuthibitisha hizo tuhuma kama huu uzi ulioanzishwa hapa Jamiiforums na umefika kurasa zaidi ya 30 bila mtu kuleta ushaidi wa hizo tuhuma. NSSF...
  11. A

    Tetesi: Baada ya kuteua Raia wa UGANDA,Waziri Jenista Mhagama anamuandaa Lawrence Mafuru kuwa bosi mpya NSSF

    SIKU SITA ZILIZOPITA Waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alikutana na baraza la uwezeshaji wananchi wa Tanzania kiuchumi (NEEC) ambalo majukumu yake ni kuwawezesha wa Tanzania kiuchumi na kupunguza tatizo la ajira Tanzania. Na Akasisitiza na kutoa amri kuwa serikali ya awamu ya tano ya rais...
  12. A

    Rais Magufuli, Waziri wako Charles Kitwanga hajali Maslahi na Nchi hii

    Mheshimiwa Rais, Waziri wa mambo ya ndani ya nchi ana mamalaka makuu sana nchi hii na moja kati ya majukumu yake ni kusimamia na kuhakikisha usalama wa wa Raia na nchi kwa ujumla. Hali kadhalika waziri huyu anasimamia Idara nyeti ya Uhamiaji ambayo wiki iliyopita alibadilisha baadhi ya...
  13. A

    Uteuzi wa Raia wa Uganda kuongoza NSSF: Ombeni Sefue, Eric Shitindi & Jenista Mhagama wajiuzulu

    Mheshimiwa Rais, Naomba urejee taarifa kwenye vyombo vya habari, SIKU TANO ZILIZOPITA. Waziri wako wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alikutana na baraza la uwezeshaji wananchi wa Tanzania kiuchumi (NEEC) ambalo majukumu yake ni kuwawezesha wa Tanzania kiuchumi na kupunguza tatizo la ajira...
  14. A

    Waziri Jenista Mhagama ni threat to our National Security & Interest

    Kama kathubutu kuhatarisha usalama wa nchi na kutoa nafasi ya Ukurugenzi mkuu wa NSSF kwa raia wa kigeni (UGANDA) najiuliza maswali mengi ambayo hata majibu sina Huyu waziri wa Rais Magufuli allegiance yake iko wapi? Nashauri kitengo cha ya counter intelligence pale TISS wammulike na wapitie...
  15. A

    Kigogo wa NSSF ( Crescentius Magori) avunja ndoa kiongozi mkuu wa serikali

    Magazeti ya leo yamemwandika kuwa Kigogo wa NSSF Bwana Crescentius Magori alitakiwa kuwa ni mfano wa kuigwa kwenye utumishi wa Umma lakini hizi habari kuwa amevunja ndoa ya kiongozi mkuu kwenye serikali ya Magufuli zinatia kinyaa na ni kinyume na miiko ya maadili ya watumishi wa Umma. Nadhani...
  16. A

    Tuhuma za Udini dhidi ya Dr. Ramadhani Dau wa NSSF, Ukweli ni upi?

    Ninashindwa kuelewa kwa nini maadui wa Dr Dau wameshindwa kujenga hoja kuhusu utendaji wake pale NSSF na wamejikita zaidi kwenye kumtuhumu kuwa ni Mdini Sasa naomba mwenye ushaidi kuhusu Udini kwenye ajira au vinginevyo auwasilishe hapa tuu chambue Wakati huo huo mimi ninaweka wazi mashirika...
  17. A

    siku 100 za magufuli: Mawaziri wake wazembe ni wepi?

    Lete majina na sababu
  18. A

    Barua ya Waziri January Makamba kwa Askofu mkuu wa KKKT

    Askofu Dkt. Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, S. L. P 3033 Arusha YAH: PONGEZI KWA KUCHAGULIWA KUWA ASKOFU MKUU WA KKKT Baba Askofu, ninaandika kukupongeza kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania katika kikao cha 19 cha...
Back
Top Bottom