Amphibious Vehicle hiyo nchi za ulaya zipo tangu miaka ya nyuma.
Miaka ya 2018 kuna mzungu alienda Mombasa na Jeep Panther ambayo inatembea kwenye maji(Amphibious vehicle) wakenya waliweka habari wiki nzima. Baadae yule mzungu alikuja Tanzania na hiyo gari alikuwa maeneo ya Sleep way
Haisaidii kitu ulipo wapo TRA, upitishe kwa Border,Bandari au Airport lazima ushuru utalipa.
Gharama za Bandari ni ndogo sana iwe Mombasa,Dar,Maputo au Port Elizabeth. Pesa kubwa ni ushuru
Freight Charges ndio zimepanda, anayekusanya ushuru Bandarini ni TRA.
Bandari au DP World kazi yake ni kuipa meli nafasi ya kushusha/kupakia Container. Bandari anakutoza wharfage na Handling charges.
Jaribu kupitia TPA Tarriff Book utaona gharama za lift on/lift off, Container...
Melini anayesimamia zoezi la upakiaji mzigo na kuandaa Stowage plan ni Chief officer na anakuwa kila baada ya muda fulani anasoma Draft mark za meli kujua mzigo upo kiasi gani na wapakie upande upi ili kuweka usawa katika meli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.