Binafsi niliona mtaji unaoingiza na mavuno unayovuna ni vitu viwili tofauti,labda uwe na vitu vya bure kama vile
magari ya serikali ambayo huweki mafuta ili kuhudumia mradi n.k
Sawasawa, endelea kugala gala kwenye vumbi ukushukuru kazi iliyofanywa na kodi uliyoitoa,huo ndio usomi si ndio?
Je,nikiuliza kuna haja gani ya kusoma hadi ngazi ya upro-pesa alafu ukaishi jalalani mpaka aje mtu kukuokota na kukupa cheo(A.K.A ulaji)
huo usomi binafsi siuhitaji,ni heri niendelee...
Ni duniani kote ndo utaratibu,au ni hapa kwetu?
Na kama ni duniani kote mbona Kenya wamumuwajibisha,makamu wa rais?
Na marekani kipindi cha Monica na rais wa zamani Bil Clinton
mbona rais aliponea padogo kuwa impiched?
Mimi mtazamo wangu hapo ni tofauti,si watu wote wanaenda shule,suala ni je huyo anayekufanyia kazi zako naye ananufaika? kama una msichana wa kazi akipata mchumba unamsaidia ili naye awe na kwake?
Je,anapoumwa unamsaidia kumtiibia au unamtaka atumie mshahara wake huo mdogo kujitibia n.k...
Hivi hatia ni nini? tuanzie hapo, zamani niliamini hizo kauli za bila hatia
kuja kufuatilia nikakuta,mtu anaona gari la polisi anawarushia mawe,akikamatwa na kuhukumiwa mnasema hana hatia.Hebu jaribu kufanya hivyo hapa kwetu uone kama utachekewa.
Hilo halipo,maana Afaghanistan,Libya na iraq hakuna waisrael wanauana wenyewe kwa wenyewe
kama ilivyokuwa zamani fimbo zilivyokuwa zikitembea misikiti ya kwa mtoro na mwembechai
ah,ah,ah,basi tuwaachie wenye vita yao waendelee kupigana
hakuna haja ya kusema watoto sijui wanawake wanaumia.
Mnapoona tunaenda mahakama kuwashitaki waliotuudhi,si kwamba hatuwezi kuwapiga ngumi,unatathimini kitakachofuata baada ya wewe kulianzisha.
Kwa mujibu wa biblia,(Mithali 29:15;23:13 na Mithali 22:8)kiboko ni muhimu,
cha kuzingatia wazazi unapomrudi mwanao kwa fimbo
fanya hivyo kwa nia njema na siyo udhalilishaji au kumkomoa inaleta kisasi kwa mtendewa.
Imani ni kitu cha ajabu sana,ni sawa na ile ya watu wengi wenye mikuki wakikabiliana na mwenye bunduki, kwamba hata kama atawaua wengi kiasi gani,atakapoishiwa risasi aliyesalia mwenye mkuki atamuua.
Kama hatukujifunza kwenye vita ya maji maji basi tena.
Tuna jambo la kujifunza kama nchi, inabidi kile chuo cha siasa kilichojengwa kibaha kwa mfipa
kifanye kazi sana. Tumewaharibu viongozi wetu kwa kuwazoesha kujibu hoja kwa ubabe
bila kujali kwamba wanaojibiwa wameridhika au la,kwamba asiyeridhika atanyooshwa na vyombo vya dola.
Jambo hili...
Hayo maneno aliyasema kama kitisho,kumbe yeye mwenyewe anasahau
anaowatisha nao nyukilia wanayo,na hawezi kurusha nyukilia kwanchi zote za magharibi kwa wakati mmoja.
Akijaribu anajua atafuta taifa moja,lakini mataifa mengine yote yatamwaga mabomu hapo kwake hivyo urusi ndo itazama,na sisi...
Umoja wowote ule,unatisha asikwambie mtu.
Nchi zote za mashariki akiwemo putin na uchina,si watu
kama nasema uongo,linganisha mishahara ya wawekezaji waliopo hapa nchini kati ya nchi za mashariki na magharibi utakuta walioajiriwa na wawekezaji wa nchi za mashariki wanafanyia kazi jangwani,penye...
Hili ni fundisho kwamba usimdharau mwanaume ambaye yupo nyumbani kwake,hata kama anakaa kwenye nyumba ya nyasi. Wengi wanasema putin anapigana na mataifa ya magharibi,tujiulize swali hili,je alipopanga kuivamia ukraine,hakulijua hilo?
Je,ni kweli mtu ukivamiwa na nyoka nyumbani kwako,ni kosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.