Vetting nayo haisadii sana maana hata biblia inakiri wazi kabisa kwamba MOYO WA MWANADAMU U MDANGANYIFU TOKEA UJANANI NA UNA UGONJWA WA KUFISHA .NANI SASA ANAWEZA KUUCHUNGUZA?Haya mambo ni tough sana.
Rip. Ila mapadre wa katoliki wanaongoza kuwa na long life expectancy. Na pia mbali na madhaifu machche ya kidini , catholic ni moja ya taasis ambayo iko well stuctured organized iliyodumu kwa zaidi ya miaka 2000
Ndio maana ndege inayombeba rais inapopaa kuelekea mahali fulani huzimwa transponder isionekane kwenye radar za kawaida ili kuepusha scenario kama hizi. By the way kwa tukio hili la huyu muajemi yatasemwa mengi sana, ila point itabaki kuwa MISSION ACCOMPLISHED AND OVER.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.