Wakuu karibuni tupeane mrejesho wa vitisho ambavyo uliwahi kupewa na hawa wakopeshaji wa kwenye mitandao maarufu kama wanyonya damu. Maana kila kukicha malalamiko yamekuwa mengi.Karibuni tujadili.
MREJESHO
Nimeomba vi kazi vya muda humu mpaka nimechoka, nikaona bora nibadilishe gia angani. Nimefungua ki pub kidogo nauza vinywaji baridi na pombe. Hii biashara nzuri san yaani unausa na wewe unapewa ofa unakunywa mara aje mtu anunue konyaki akwambie shutua hapo kidogo, raha sana kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.