Search results

  1. Prof Gamba

    Mauaji ya kutisha na kuungama, ungekuwa ndo Padri ungefanyaje?

    Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama. "padri naungama dhambi zangu, leo nimefanya dhambi kubwa sana " "endelea" "bosi wangu aliniita nyumbani kwake akaniambia...
  2. Prof Gamba

    Jambazi Mwokovu

    Jambazi aliingia kanisani na bunduki, akasema wanaosema wanampenda YESU wabaki humu na wasiompenda watoke nje. Waumini wote wakatoka nje, ndani akabaki mchungaji tu na wazee wawili. Jambazi akamgeukia mchungaji na akasema, "Mtumishi unaweza kuendelea na ibada, nilitaka kukuondolea...
Back
Top Bottom