Search results

  1. MPIGA ZEZE

    CCM imesema itajenga Chuo Kikuu cha Uongozi

    Tunawashauri CHADEMA na CUF nanyi kupanga kujenga vyuo vyenu vikuu vya uongozi. Tutachangia. Jino kwa jino!
  2. MPIGA ZEZE

    Pongezi kwa serikali kwa kuimarisha demokrasia

    WanaJF nimevutiwa sana na hiki kipande kutoka katika taarifa ya Wizara ya Mambo ya nje kuhusu Sherry Party iliyofanyika Ikulu 10-2-2017. “Mhe. Rais Magufuli ametoa shukrani hizo leo wakati wa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya (Diplomatic Sherry Party) iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam kati yake...
  3. MPIGA ZEZE

    Tuiache CCM itawale milele: Ufisadi unapogeuka silaha ya kukanyaga demokrasia

    Nimepaza sauti kwa muda mrefu kuunga mkono mabadiliko - ama uhuru wa pili wa Tanganyika. Lakini baada ya kuchunguza kwa makini propoganda machine ya CCM, nikiri bila kumung'unya maneno kwamba nimeamsha mikono! Tuiache itawale milele kama ambavyo makada wamekuwa wakitamba. Kwa nini nimeamsha...
  4. MPIGA ZEZE

    JPM ninamwelewa simwelewi?

    Ni furaha kubwa sana na inatia matumaini kusikia Mhe JPM mara kwa mara akisisitiza "msemakweli ni mpenzi wa Mungu" na pia kuibainisha kama mtu anazingatia sheria katika utendaji badala ya kuedekeza siasa (anayaita mavyama, japokuwa ni mavyma hayo hayo ndio yalimwezesha kuukwaa urais). Hadi hapo...
  5. MPIGA ZEZE

    Hao wapiga kura milioni saba ni akina nani na wako wapi?

    Kwanza niwapeni pongezi mlioshinda na pole ambao kura hazikutosha (au zimechakachuliwa). Kama ambavyo tulikuwa tukielimishana wakati wa kampeni ni kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi. Demokrasia na hususan demokrasia ya Afrika ni demo crazy kama hayati prof Chachage (rip) alivyoibatiza. Katika...
  6. MPIGA ZEZE

    Tijukumbushe tulikotoka wakati tukisubiri maziko rasmi

    Ndugu Watanzania na watangayika, wakati tukisubiri maziko rasmi ya mzee wetu Mhe Prof Dkt CCM hapo Ocktoba 25, sio vibaya kujikumbusha tulikotoka na kwa nini tuna kila sababu ya kufutilia mbali hizi fikira za old stone age (OSA). Hii ni picha ambayo nitaitunza na kuwaonesha wajukuu na vitukuu.
  7. MPIGA ZEZE

    Bango la Wiki - ujumbe unajitosheleza

    kutoka 'maisha bora kwa kila mtanzania' kwenda 'hapa ni kazi tu'!
  8. MPIGA ZEZE

    'NCHI YA AHADI' by Kala Jeremiah ft Roma

    Kila anayepinga udhalimu maigizo ya serikali ya CCM, yaani mpenda mageuzi ya kweli, hana budi aangalie hiki kibao cha Kala Jeremiah ft. Roma. Nimefarijika sana kuona kwamba kuna wana wa kizazi kipya na hususan wasanii ambao wanaweza kuelimisha jamii kwa kutumia usanii wao. Hawa hata wakitia nia...
  9. MPIGA ZEZE

    Hii ni hoja, si kihoja: uchaguzi huu ni kati ya Ufisadi dhidi ya Uzalendo

    Wahenga walinena "Lila na fila havitangamani". Vivyo hivyo ufisadi na uzalendo havitangamani. Tanzania, ama ukipenda iite Tanganyika na Zanzibar, kama taifa tumekabiliwa na maadui wakuu kadhaa tokea tupate uhuru. Katika miongo kama miwili, mitatu ya mwanzoni tuliweza kubaini maadui wakuu...
  10. MPIGA ZEZE

    CCM: Chama kwanza, mtu baadaye

    Tumezisikia nasaha za Mwenyekiti wa CCM kwamba 'chama kwanza, mtu baadaye'. wanaUKAWA tunasema 'taifa kwanza, chama baadaye.' Mwananchi KULA CCM, KURA UKAWA, OKOA TAIFA:)
  11. MPIGA ZEZE

    President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation visit the Boeing planes manufacturing plant in Se

    Mzee wa anga huyooooooooooooooo. ================== Source:Michuzi
  12. MPIGA ZEZE

    Tanzania ni muunganao wa kisiwa cha Zimbabwe na ..

    Nimekutana na hii makala nikaipenda. Hii ni nukuu ya kipande. Futa neno Zimbabwe na badala yake weka Tanzania uone unapata nini: "One more thing – perhaps the most important: Zimbabweans are not drunkards, I can safely generalize. This is not to say they don’t drink; only to say that if they...
  13. MPIGA ZEZE

    Je, UKAWA tutakwepa mtego wa kuwa wasindikizaji wa harusi?

    Nianze kwa salamu: UKAWA, TUMAINI LETU. Ninaunga mkono juhudi za UKAWA za kuleta mageuzi ya kweli (ukombozi wa pili) katika taifa hili tajiri sana lakini asilimia 90 ya wananchi wake mafukara wa kutupa!. UKAWA tuliweza na kufanikiwa kugundua katika wakati muafaka na kukwepa mtego wa kuwa...
  14. MPIGA ZEZE

    Akina mama na ndoo za maji vichwani karne ya 21!

    Hatuna budi kupongeza jitihada zinazofanywa na serikali sikivu ya CCM pamoja na wadau wengine kuchimba visima vya maji ili wananchi wapate maji safi husuan sehemu za vijijini. Lakini huwa najisikia kutapika kila nikiona watawala na wapambe wao wa kiume na wa kike wakionesha furaha kubwa sana...
  15. MPIGA ZEZE

    Kushabikia CCM kunahitaji moyo wa chuma

    Hii ni Chalinze ya karne ya 21. Unaweza kupata nguvu gani za kuendelea kuwadanganya wananchi wa Chalinze kuwa wakikuchagua utawaletea maji na trekta za kuwalimia mashamba:( Na kweli wakakupigia vigelegele na kukupa kura! Mimi nimeamsha mikono
  16. MPIGA ZEZE

    KIKWETEISM: falsafa mpya na ya hatari

    Unawaambia wananchi yale ambayo unajua wanataka kusikia (maisha bora kwa kila mbongo, ambulance za bajaj kwa akina mama wajawazito huko maeneo ya milimani) kisha unajiendea Ikulu na kupiga usingizi mnono (yaani mzigo mzito). Kesho yake wanakuuliza vipi baba yale uliyotuahidi, unasema siyo kila...
  17. MPIGA ZEZE

    URAIS 2015: kwa nini chaguo la JK litakuwa na kazi ngumu!

    Iwe ni Katiba mpya au ya zamani, iwe ni Tanzania au Tanganyika, kwa vyo vyote vile uchaguzi mkuu utafanyika mwakani. Kwa hivyo, ni halali kabisa kuujadili na pia wenye nia kuwa huru kutangaza nia zao. Rais ni mtu muhimu sana – kuiletea jamii neema au balaa! WaTZ ni watu walionyanyasika sana...
  18. MPIGA ZEZE

    MPadmire (JF): Watanzania tuna matatizo haya makuu 2

    Mwana-JF mwenzetu, MPadmire, ametoa maoni yake katika uzi wa MBOWE NA LEMA POPOTE WALIPO WAJISALIMISHE. Kwa maoni yangu hoja yake ni nzito sana kiasi kwamba ninafikiri inastahiki uzi wake pekee. Ninakubaliana naye kwa asilimia 100. Nimependa zaidi hoja kuhusu nafasi ya US na UK katika...
  19. MPIGA ZEZE

    Kamusi Mpya ya Kiswahili ya CCM

    KAMUSI MPYA YA KISWAHILI YA CCM Toleo la Kwanza ©LUMUMBA Street Publishing House 2013 Nukuu chache: mzalendo: mwananchi anayeona watawala wakiiba mali ya umma huku akiwapigia makofi na kuwalamba miguu. uchochezi: tabia ya kuwaelimisha wananchi kulinda ama kunufaika na rasilimali za nchi...
  20. MPIGA ZEZE

    Mulugo: Adhabu ya viboko kwa wanafunzi shuleni itarudishwa ili kujenga nidhamu

    Serikali yarudisha viboko shuleni Mpoki Bukuku, MWananchi Serikali imesema itarudisha adhabu ya viboko kwa wanafunzi shuleni ili kujenga nidhamu na kujituma.Akizungumza Dar es Salaam jana wakati akizindua tovuti ya www.shledirect.co.tz inayowezesha wanafunzi kujisomea kwa njia ya mtandao...
Back
Top Bottom