Search results

  1. MrProsecutor

    Scaling too fast is the problem (startup)

    Startups that scale too quickly fail. Yes or No Why?
  2. MrProsecutor

    chatGPT, Bard etc. Competitor (Grok) xAi

    Elon Musk ameachia kitu chenye real time info zikitoka direct from X (FKA Twitter). What is your views?
  3. MrProsecutor

    Mambo ya muhimu katika kukuza biashara (business diversification)

    Ciao famiglia, come stai? Leo tuongelee kidogo kuhusu business diversification. Ulimwengu wa sasa katika ushindani wa biashara, diversification ni key mojawapo ya kukufanya uendelee kukua zaidi na kuwa imara sokoni. Diversification ni pamoja na kuongeza wigo wa biashara kwa kuIntroduce bidhaa...
  4. MrProsecutor

    Startups na Challenges zake

    Hi, Anyone drop any challenge ambayo startups za Bongo/ Africa kwa ujumla zinaface. Mimi ntaanza na Tamaa, startups founders wengi wa Africa wana tamaa akishaanzisha kitu akapata hela tu bas hiyo kitu inaenda kufa, hawana visions za mbali. NB: sio wote.
  5. MrProsecutor

    SoC03 Kamari na athari zake kwa kizazi cha siku zijazo Tanzania

    UTANGULIZI Kamari imekua kimbilio la vijana wengi ambao kwa namna moja ama nyingine wanategemea ajira kama chanzo cha kujikwamua na umasikini. Kiukweli hali ya ajira ni ngumu duniani na pia tukubaliane kwamba kama vijana tuna mitazamo tofauti nikimaanisha sio kila kijana anaweza ujasiriamali, na...
  6. MrProsecutor

    Bombadier imefika??? Hii ndo saa 6 mchana

    Habar wakuu, Leo ndo tarehe 2/4/2018 Je Q400 yetu imeshafika??? Anaejua jamani.
  7. MrProsecutor

    Kuumwa kichwa, Msaada kwa wataalam wa afya.

    Habar za muda Great Thinkers, poleni na misukosuko ya hapa na pale. Naomba kuuliza hili swali kwa wataalamu wa afya au yeyote anaejua. Hivi kichwa kinapouma ni vitu gani ndo huwa vinauma ndan ya kichwa. Mfano ukichomwa na mwiba ile sehem mwiba ulipochoma ndo inauma sas vip kwa kichwa, kuna...
Back
Top Bottom