Search results

  1. Teleskopu

    Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

    Ilani ipo siku zote lakini ilani si kitu hai. Ni watu ndio wanafanya kazi. Ndio maana huwa kuna uchaguzi, na kazi yake si kubadili ilani bali watu. Ndio maana kuna mahakama, lengo lake si kuhukumu ilani bali watu. Ultimate point ni WATU - ndio maana Magufuli anastahili sifa nyingi.
  2. Teleskopu

    Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

    Katika hilo Makonda nakuunga mkono. Kama taifa hili na Afrika kwa jumla tunataka kupiga hatua na kukata minyororo ya mabepari wenye uchu, hakuna namna ya kukwepa baadhi ya mitazamo na actions za Baba Magufuli.
  3. Teleskopu

    Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

    Yes, the darker the berry the sweeter the juice. Asitusumbue na shoto lake. Tukijitambau wenyewe yatosha
  4. Teleskopu

    Sitakuja kurudi kliniki za chanjo na maendeleo ya makuzi ya watoto peke yangu bila mke au msaidizi wa kazi

    Chanjo, chanjo , eh chanjo!!! :oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops: Ee Mungu tusaidie. Eyes wide shut all over the world!
  5. Teleskopu

    Elimu ya kwenye makaratasi

    Kwa jumla elimu yetu ni content-based badala ya kuwa skill-based. Ndio maana hivi sasa serikali inajaribu kubadili mitaala na kuja na kitu wanachoita Competence-based curriculum (Mtaala unaolenga umahiri) - sijui kama tuna mipango ya kutosha kufanikiwa. Kwa hiyo, haishangazi kama mtu anakuwa...
  6. Teleskopu

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Waziri amefanya jambo jema sana. Kati ya mataifa ambayo si ya kuyaamini ni marekani. Lakini hata hivyo, ilikuwaje hadi mahindi yakafika hapa?
  7. Teleskopu

    Serikali kuongeza vituo 2000 zaidi vya WiFi ya bure nchini humo

    Na 5G nayo inaweza kupitishiwa humohumo
  8. Teleskopu

    The NWO Cabal promotes a diet of bugs and cannibalism

    Thank you too, sir. This kind of awareness is highly needed
  9. Teleskopu

    The NWO Cabal promotes a diet of bugs and cannibalism

    Yote haya ni kweli. Globalists wako busy kwa nguvu sana kufikia malengo yao maovu (new world order), yakiwamo: 1. kupunguza watu 2. kuwa na serikali moja duniani inayosimamiwa na the so called "umoja wa mataifa" 3. kujenga totalitarian system ambapo KILA KITU kinakuwa monitored very closely...
  10. Teleskopu

    Soko la Vetenari lililoko maeneo ya TAZARA linateketea kwa moto, Chanzo Hitilafu ya umeme

    Marekani viwanda vingi vya vyakula vimeungua moto - Coincidence? Siku hizi wanasema "Think while it is still legal"
  11. Teleskopu

    Kujifungua kwa upasuaji linaenda kuwa janga la Taifa

    Upasuaji huu ni sawa na ukeketaji tu.
  12. Teleskopu

    Hatimae Nimefanikiwa kugundua njia ya kuibadilisha carbondioxide kuwa mafuta (petroli na dizeli)

    Kama ni kweli, hongera. Lakini usisahau kuwa waungu hawapendi watu wa aina yako. Chunga maisha!
  13. Teleskopu

    Aina ya elimu niipendayo

    Hakuna shida. Cha msingi ni kuwa na spirit ya kusoma. Kama unafanya hivyo, kongole. Lakini pia unaweza kunisaidia kwa kuniambia kwa nini namba 1 imenishusha.
  14. Teleskopu

    Aina ya elimu niipendayo

    Kuna elimu za aina nyingi. Lakini naweza kutaja baadhi ya makundi kama ifuatavyo: 1. Elimu ya kujibia mitihani - physics, geography, Kiswahili, nk, tunayofunzwa shuleni, vyuoni. Kuna kundi kubwa la watu wanaishia hapa. Na kuna asilimia kubwa ya ujuzi wa humu ambao hata hauhusiani na maisha...
  15. Teleskopu

    Naweza kupata wapi Epoxy Resin kwa ajili ya kutengeneza kazi za sanaa?

    Ni hiyo mkuu japokuwa kuna za kujengea floor na kuna za kufanyia mambo ya art. Lakini kama hiyo ndiyo inayopatikana, huenda si mbaya kujaribu. Kwa hiyo nitafurahi pia kujua inakopatikana. Asante.
  16. Teleskopu

    Naweza kupata wapi Epoxy Resin kwa ajili ya kutengeneza kazi za sanaa?

    Habari wakuu Naomba kujua ni wapi naweza kupata EPOXY RESIN kwa ajili ya kutengeneza kazi za sanaa kama vile mapambo. Mfano hii hapa chini. Natanguliza shukurani.
  17. Teleskopu

    Sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Rais Samia

    Ukishaamini wazungu, HUNA CHAKO TENA. Umeshajifelisha.
Back
Top Bottom