Search results

  1. MZIMU

    Uchaguzi huu October 2015, Ni Mahakama ya Kadhi V/S CCM. (Tutaona nani Mshindi).

    Naangalia TBC sasa hivi, Namuona Rais wa Nchi yetu akiongolea suala la kura kwa katiba Pendekezwa. Inaonekana Rais amelishwa maneno mengi ya Uongo kuhusu ukusunywaji wa Maoni ya Katiba hiyo. Waislamu wote na Taasisi zake walitoa Maoni kuhusu Mahakama ya Kadhi, lakini Sio Jaji Joseph Warioba...
  2. MZIMU

    Tanga Yarindima Mabomu kama Gongo la Mboto Usiku wa leo Jumamosi 07/02/15

    Habari za Uhakika nilizofikishiwa na vijana wangu walioko Tanga Mjini, wanasema, muda wa saa nne na robo (10:15 pm), kumesikika milio mikubwa ya mabomu ambayo ilidumu kwa takribani dakika 10 hadi 15. Mlipuko wa mabomu hayo ulikua wa mfululizo na uli lifanya anga la upande wa Raskazone kuwa...
  3. MZIMU

    Mtoto halali na Fedha!

    Sasa nimeamini ni kweli mtoto halali na fedha. Hulala na Nepi ya Mikojo. Kumbe maana ya Methali hii, unaporudi nyumbani kabla ya kulala jiulize umetengeneza fedha kiasi gani, na cashi kiasi gani umerudi nayo nyumbani kwenye walet yako! Amakweli wazee wa zamani walikua na maana saana. Leo...
  4. MZIMU

    Maamuzi haya ya Bunge kupitia Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kuongeza ajali za Barabarani

    Wakati akijibu Swali la nyongeza la Mheshimiwa Al-Shaymaa Kwegir juu ya matumizi ya Matawi ya Miti katika barabara yanayofanywa na Wenye Magari pale wanapokua na Breakdown au ajali, badala ya Reflection Triangle, Mheshimiwa Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Ndugu Pereira A. Silima, alisema jambo...
  5. MZIMU

    Maandamano Makubwa kupinga Charlie Hebdo yanaendelea Grozny. Allahu Akbar in Eastern Europe.

    Hao jamaa ni Wana asili ya Kirusi, na ni Waislamu. When you fight Islam calling it Terrorism, you are in big Trouble.
  6. MZIMU

    Charlie Hebdo kuwafanya Wasomi na Wataalamu wa Kiislamu Kuangalia upya sera za Ugaidi Duniani.

    Katika hali ya kawaida, ni kundi dogo sana la Waislamu Duniani ndio linalo support Makundi kama ISIL, Al-qaeda, Boko haram, Al-shabab n.k. Lakini matukio ya kumtukana Mtume Muhamad (S.A.W) kume wafanya Waislamu wengi katika nchi mbali mbali kuanza kufuatilia kwa karibu hi vita inayoitwa vita ya...
  7. MZIMU

    US Central Command social media accounts compromised by suspected ISL hackers

    Interanational News Media such as AJE, have just reported that US Central command twitter accounts have been hacked by ISIL hackers giving US war against the so called terrorists a new technological dimension implying that, US arrogance of superior technology is now no more than barking of...
  8. MZIMU

    Je Wanawake ni zaidi ya Binadamu?

    Kwa Mwanamume yoyote asie wajua vizuri kina mama, Huishia kufilisika na kujinyonga ua kuua watoto wake, au Ndugu zake au watu wasio husika. Kwanza kabisa, wanawake sio watu wa ahadi in the name of Love. Wanaume wengi sana wanahangaikia kinamama kwa lengo la Mapenzi. Wako tayari kufanya lolote...
  9. MZIMU

    Majina yako nani au Jina lako nani?

    BAKITA, hivi kwanini mmelala hivyo. Kiswahili kinachafuliwa sana. Kiswahili fasaha ni Jina lako nani?. Sio Majina yako nani?. Ukiulizwa jina lako nani, hapo utayataja yote hatakama yanafika kumi. Unamkuta kiongozi mkubwa tu wa Serekalini anasema, kwa majina naitwa Tumaini Kazinyingi, kwa Mfano...
  10. MZIMU

    Historia ya TANU yazidi kuchafuliwa katika sherehe za Uhuru

    Nafuatilia Sherehe za 53 za Uhuru wa TANGANYIKA, Bila aibu yoyote, anataja kua wasisi wa TANU ni 17, huku wakiongeza Majina mengi ambayo hayakuwepo kabisa na kuyafuta kabisa majina Waasisi wa Ukweli wa TANU. Majina hayo ni haya hapa! Julius Kambarage Nyerere, Ali Sykes, Lameck Makaranga...
  11. MZIMU

    Wazee hawafai tena kuongoza nchi yetu, Wanaongoza kwa Ufisadi

    Wimbi kubwa la ufisadi hapa nchini linafanywa zaidi na kundi la age flani hivi katika Uongozi. Nakusudia watu wenye umri mkubwa sana ambao wamelitumikia Taifa kwa zaidi ya miaka 20 au 30. Katika kashifa zote za Ufisadi hawa ndio watu wanaoongoza. Wanaiba mali za nchi bila wasiwasi wala kuogopa...
  12. MZIMU

    Kituo Kipyaaaaa!

  13. MZIMU

    BAKITA, Kwanini wasiitwe Zeruzeru?

    Nimekua nikisumbuliwa sana na hili jina Albino wakati tangu nazaliwa karibia nusu karne sasa, Neno sahihi la kiswahili ni Zeruzeru. Sijaona ubaya wa neno hilo jamani. Albino sio neno la kiswahili, ni neno la kingereza. Swali langu, ni kwanini BAKITA = BARAZA LA KISWAHILI TANZANIA, Wamekaa...
  14. MZIMU

    Zito, Filikunjombe, nimeamini Vijana wanaweza!

    Katika usomaji wa report ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serekali (PAC) dhidi ya fedha zilizo kua katika account maalum ya IPTL (TEGETA ESCROW ACCOUNT) leo hii bungeni, iliowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Zuberi Zito Kabwe na Makamu Mwenyekiti wake Mheshimiwa Deo Filikunjombe...
  15. MZIMU

    Hebu angalia hilo jiwe lilivyoshikwa, Kama ni wewe ungefanyaje?

    Hii ni hatari lakini salama. Swali ni kwamba kuna haja gani ya kushikiana mawe. kwani huyu dada anamiliki nini katika vifaa vya shughuli hii hapa. Yeye si anacho kifaa chake. labda sio kizuri jamaa hajakipenda?. Sasa akimuua mtu hapo si ataozea jela bure maskini. Achana na Ujinga. Jali maisha...
  16. MZIMU

    Waislamu Waamua kumwaga Ugali baada ya CCM kumwaga Mboga

    Muakilishi wa Taasisi na Jumuia za Kiislamu amewataka Waislamu wote Nchini kupiga kura ya HAPANA katika kura ya Maoni ya kuidhinisha katiba Iliopendekezwa na CCM. Kiongozi huyo, ameyasema hayo jana Jangwani katika Mkutano wa Hadhara wa UKAWA wa kuwekeana Sahihi za makubaliano ya Ushirikiano wao...
  17. MZIMU

    Filamu Mpya TBC

    TBC wametangaza Filamu Mpya baada ya Jin Tai Lang Kuisha. Filamu hiyo inaitwa kwa Kiswahili, Maisha ya Mama. Katika Tangazo lao nimuemona Mama Shaomi, Mwalimu Hu, Bosi wake Mama Shaomi na Wengineo. Bonge zembe sijamuona wala Mzee Jin, lakini nadhani watakuwemo. Itakua inaonyeshwa Jumatatu...
  18. MZIMU

    50/50 Ni Majanga kwa Wanaume

    Jamani hili suala la 50/50 ni Majanga kwa Wanaume. Huku Makazini hatakama kazi sio ya kutumia nguvu, lakini ukipangwa na Mwanamke basi utajuta. Kila kazi utafanya wewe. Anakuegemea kwa kila kitu. Yaani wao sio kama hawataki kujisumbua miili yao katika kutumia nguvu peke yake bali hata katika...
  19. MZIMU

    Mpaka iondolewe ndio wanatulia

    Katika utafiti wangu usio rasmi, nimegundua kua wasichana wengi wanakua wapole na kujidai kujituliza sana kusaka Mume wa Ndoa baada ya kubikiriwa na Mtu ambae hakua na malengo kabisa ya kumuoa na mpaka hapo wanakua wamesha mwagana na pengine kaachiwa na katoto juu. Inawezekana pia kabla ya...
  20. MZIMU

    Hii ndio Nyimbo Moja bora ya Mapenzi katika Maisha yangu. Je wewe yako ni ipi?. Pata Burudani.

    If tomorrow never comes. Pata Burudani. Wameimba watu mbali mbali, ila original yake imeimbwa na Garth Brooks. Kevin Skinner yeye ameimba vizuri pia katika Amerca Got talent. "If Tomorrow Never Comes" Sometimes late at night I lie awake and watch her sleeping She's lost in...
Back
Top Bottom