Search results

  1. Southern Highland

    Kevin Nashon fundi wa mpira nina zawadi yako nitafute

    Niliwahi kusema siku moja huyu dogo ana kitu mguuni mwake. Kinachomfanya asisogee mbele zaidi anakosa training au wakufunzi muhimu kufanikisha safari yake. Anatimiza kazi yake vizuri ila ana makosa mengi ya kijinga yanayomgharimu yeye na timu yake. Kevin Nashon ni kipaji haswa anakosa tu proper...
  2. Southern Highland

    Kevin Nashon fundi wa mpira nina zawadi yako nitafute

    Nenda kafanye homework yako tena uje na majibu sahihi. Hapa umechemka
  3. Southern Highland

    Pichani: alikamwe akitoa mafunzo Kwa uongozi wa Pamba Jiji waliofika jangwani kujifunza

    Wanasema usifaidike peke yako. Wape wote wapate
  4. Southern Highland

    Simba SC for CAF Champions League: A Boost for Tanzanian Football

    Kushiriki mashindano ya CAF kunatokana na perfomance yako kwenye ligi na sio kubebwa au kuonewa huruma. Kama wanataka ivyo wapambane mechi tatu zilizobaki wafunge magoli mengi. Otherwise unataka wabebwe ili ufurahie nafasi ambayo hawakustahili
  5. Southern Highland

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mbona huwa mna comment kama hamna vichwa jamani? Maurizio Sarri na Sarriball yake wakati anakuja alikua ameshinda kombe gani? Jama hatuko enzi zile hebu tuwe watulivu. Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini
  6. Southern Highland

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kulingana na hiki alichokifanya msimu huu nadhani kwa msimu ujao lazima a challenge kombe lolote. Tunuse hata fainali mbili
  7. Southern Highland

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mkuu uko sahihi kabisa. Nadhani katika huu mjadala wa kocha wengi tunaongelea hisia zaidi kuliko uhalisia. Ukiangalia makocha wengi wanaotajwa humu hawana utofauti mkubwa wa kiuchezaji na mfumo anaotumia Poch. Lakini kwakua ni msimu wa kwanza na yametokea haya tuliyoyaona hawana imani nae. Hawa...
  8. Southern Highland

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nyumbu maji kutwa kuja Forum ya Chelsea mkitupigia kelele na mmemaliza chini uko hata hamuonekani. Na hata hiyo FA hampati manyumbu
  9. Southern Highland

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kenye maji zimejaza machozi humu. Kutwa kusumbua watu
  10. Southern Highland

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ni huzuni kwakweli
  11. Southern Highland

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Unashinda msimu mzima kuiponda Chelsea na ubovu huku ukijisifia gari limewaka na unamaliza msimu bila chochote kama Chelsea tu. Kenge maji nyie na mtaendelea kuuota ubingwa
  12. Southern Highland

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nina passion na mpira sio jambo lingine.
  13. Southern Highland

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Taylor anachuki na kila kitu cha Chelsea
  14. Southern Highland

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Westham kapewa mzigo mzito na wala haumuhusu
  15. Southern Highland

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii picha imepigwa badae
  16. Southern Highland

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Antony Taylor kichwa yake haijawahi kufanya kazi akichezesha dhidi ya Chelsea. Ile ilikua penalty ya wazi kabisa
  17. Southern Highland

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Understand the logic. Mpaka sasa hakuna sababu ya Poch kufukuzwa
  18. Southern Highland

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Haya ndio mambo mnayopenda
Back
Top Bottom