chadema kupewa nchi hii itachukua miaka 1000 kuanzia leo,nadhani hata wewe hutapata muda wa kuyashuhudia haya unayoyatamani, chadema inakosa dira na uelekeo thabiti kwa wafuasi wake kuwaamini
Sio hivyo, mambo mazuri ya serikali ya awamu ya sita hayahitaji tochi kuyaona,miundo mbinu imeboreshwa,huduma za afya ndo usiseme,watumishi wa umma kupanda vyeo/ madaraja kwa wakati hili halihitaji tochi, mama apewe maua yake
Zaidi ya asilimia 99.9 ya watanzani wanaona juhudi na mambo mazuri anayoyafanya Mh.SAmia Hassan,hakika mama anaupiga mwingi,tumpe tena ten years ili tanzania iwe kama Dubai
Huu ni ubinafisi wa hali ya juu,hivi unadhani wake zetu wao wanaridhika na sisi 100% ,vipi kama humtoshelezi ashindwe kwenda kutafuta part time?,siwezi nikafanya huu ujinga.
K ni yake,mwache awe huru,kikubwa nisijue tu,bati siwezi pigana na mwanamme nitaachana na mke kiroho safi,japo bado...
Safi kabisa mama,watumishi wa umma tuko pamoja na wewe,nasasa nasema sio mikumi tena,wewe endelea tu hadi utakapochoka,kiufupi watumishi unawakonga nyoyo zao😍😍
Mabikra 72 wanatusubiri sisi waislamu swagi sheikh,tuwahi huko tukapige borrow mabikra , Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Pia kur'an imehalalisha kwa sisi waislamu kuwala wake zetu mbele na nyuma soma hapa
نِسَاؤُكُمْ حَرْثٌ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.