Search results

  1. K

    SoC02 Wanaume: Viumbe walio hatarini kutoweka

    Nimesoma shule ya sekondari kata katika kijiji kimoja huko mkoani Dodoma. Wakati huo, tulipokuwa tukijadili hatima zetu kimasomo na kimaisha kwa ujumla tulikuwa tukiwaweka kando wasichana kwa kuwa hawakuonekana kama wanaelewa chochote kuhusu hatima zao na hata mazingira hayawakuwaunga mkono...
  2. K

    Tuongozeni kwa staha ili tuwakosoe kwa staha!

    Tanzania iko kwenye tanzia, ikiomboleza kifo cha tozo-stahimilivu na kufufuka kwa tozo-kandamivu kwenye miamala ya mitandao ya simu. Naam, tumefikia zama ambazo ukiona meseji ya M-pesa inabidi usonye na kumlaumu mtumaji kabla ya kuifungua. Yote hiyo ni kukwepa makato makubwa ya tozo za miamala...
  3. K

    FORM ONE JOINING INSTRUCTION TABORA GIRLS

    Naomba msaada wa Joining instruction ya kidato cha kwanza shule ya sekondari ya wasichana Tabora. Natanguliza shukrani
  4. K

    Nimsaidiaje aachane na ulevi wa kupindukia

    NATANGULIZA SHUKRANI
  5. K

    Natafuta kazi ya ualimu wa sekondari

    Wasalaam
Back
Top Bottom