Search results

  1. Katikomile

    TZS 800m/acre yaweza kuwa sawa Kigamboni. Nitaeleza!!!!!

    Kumekuwa na hoja nyingi sana kuhusiana na miradi miwili ya NSSF, iliyoingia na Azimio Housing kule Kigamboni na Arumeru-Arusha! Hoja kubwa imejikita katika project ya Kigamboni kwamba ni kwa vipi eka moja iuzwe kwa TZS 800m? Hii bei inaweza kuwa sawa ama si sawa kutegemea na mchanganuo upi...
  2. Katikomile

    I Hate The Way My Girlfriend Dresses

    ​ I So Much Hate The Way My Girlfriend Dresses. I've complained over and over again but it seems I'm not getting through to her. She doesn't think a woman can be sexy without showing body parts. Her clothes are skimpy, trashy and disgusting. They are all either too short, too tight...
  3. Katikomile

    Amabala Gemyaka

    Kila mwaka huwa una jina lake kwa kihaya kwa wenyeji wa Bukoba
  4. Katikomile

    Ikengya na Beyarula

    IKENGYA NA BEYARULA Beyarura, orairota? Ati: “Ndaire mbyamire, oraboine arara ayemereire?” Beyarura, omuka wasigayoki? Ati: “Omuka ni nkahai? Mbali oshanga Omukama niho oramiza.” Beyarura, nka noiruka? Ati: “Mbali ndikugya nohamanya?” Beyarura isi noirukibwaki? Ati...
  5. Katikomile

    Mrembo Fresh From College alamba Ukuu wa Wilaya Singinda

    Huyu ndiye Fancy Nkuhi aliyeteuliwa na Mr. President kuwa mkuu wa wilaya Manyoni. Experience- fresh from college.
  6. Katikomile

    Top 10: Marital Problems

    Top 10: Marital Problems Marriage is an institution, though sometimes it can feel like a mental institution. When yet another argument about your unwillingness to have kids follows hot on the heels of a fight about the laundry you forgot to do, it’s natural to feel like you’re going a little...
  7. Katikomile

    Watanzania bwana.........Wee acha Tu!

    Dear all Tanzanians, I, as a Tanzanian am proud to have achieved another milestone...The Tanzanian Shilling is now equal to more than 1,450 to 1 USD$!!!! Congratulations to all of us Tanzanians for: 1) Using Chinese toilet paper rather than Rexa or Tanpack... 2) Buying ice cream made in South...
  8. Katikomile

    Barrick gold msitufanye mabwege!

    Nimekuwa nikiona matangazo ya kazi ya Barrick Gold kwa muda mrefu katika magazeti yetu, lakini nimekuwa nashindwa kuelewa hawa jamaa wanatufanya mabwege! Wenyewe wanataka waonyeshe umma wa Watanzania kwamba ni wazelendo na ndio maana wanatangaza kazi zao (cheap posts) magazetini. Mbona post...
  9. Katikomile

    Magari ya Kuongwa na foleni Dar!

    Nakutaka radhi Baba_Enock, hii post yako inmeipenda na nimeinyofoa kule kwa dada(MTUCTA) aliyehongwa gari na boss wake! Wadau naomba tuijadili separatelymake foleni za magari kweli zimezidi mjini, ni kweli kwmba 40% ni magari ya kuhongwa???????????? Continue...
  10. Katikomile

    Ukitolewa out ni halali kwenda na shoga yako?

    Tatizo sugu katika hii mitoko ni baadhi ya wanawake kwenda na ‘kampani’ yao/zao. Utakuta mtu kapewa mwaliko, anaamua kubebana na mashoga zake watatu au wanne, eti wanamsindikiza! Hata kama ni mmoja, kwani uliambiwa uende na mtu? Sasa soma mtiririko ufuatao, ujifunze kitu kama una tabia hiyo au...
  11. Katikomile

    Parastatal CEO Search in Tanzania

    Wadau, Heshima mbele! Naomba kujuzwa, Utaratibu wa kumpata CEO wa shirika la umma/taasisi ya serikali/govt agency ukoje haswa hapa Tanganyika? Tumekuwa tukiona mara post inatangazwa, then watu wanafanyiwa interview, the best three wanapelekwa kwa Rais anachagua kipenzi chake! Mara...
  12. Katikomile

    Hii ni Siri Yako!!

    Source: Global Publishers
  13. Katikomile

    Hata Maulidi Kitenge?

    Wadau, mimi huwa najiuliza kama kuna umuhimu wa kuing'ang'ania hii lebo ya kwenye suti eti ili mradi suti yako ionekane ni brand new na haijashonwa mwenge? Nafikiri hili liliwahijadiliwa kwenye michuzi japo sina uhakika hapa JF! Nimeshangaa kumwona na Celebrity wetu, Maulidi Baraka wa Kitenge...
  14. Katikomile

    Prof. Mayunga Nkunya kwa hili Unatuchanganya kabisa!

    Katika lile sakata la mafisadi wa elimu Tanzania, nashindwa kuelewa hasa kazi ya tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) ni nini? Jana Prof. Mayunga, boss wa Tanzania Commission for Universities, amesema eti wao hawawezi kusema vile vyeti vya waheshimiwa ni feki ama sio kwa sababu hawajapelekewa...
  15. Katikomile

    Eti Tinted Kwenye Magari ni Umalaya?

    Wakulu, heshima mbele! Hivi kuna ukweli wowote kwamba wanaopenda kuweka tinted kwenye magari ni wazee wa ku-Do? Mara nyingi utakuta watu wanaweka tinted kwenye vioo ya vyuma kwa ajili ya kuficha kimeo make ukikiweka mbele kitaonekana ama wife naye anaweza kukubamba kwenye foleni. Lakini kama...
  16. Katikomile

    Mke Wangu Sharti ajue Mshahara Wangu????

    Sina uhakika kama hili lilishajadiliwa hapa? Ila ningependa kupata maoni ya wadau hapa JF. Niekuwa nikijiuliza mara kwa mara, Mwanamke anawezakuwa anapata Shs. Mil 5 kwa mwezi, Mwanaume Shs. Mil 2, Lakini bado kila kitu utasikia, Baba nanilii, unga umeisha, mchele hakuna, Luku imeisha. Watoto...
  17. Katikomile

    PPRA Inaisimamia Public Procurement Act kweli?

    Baada ya utafiti kuonesha kwamba rushwa nyingi/kubwa kubwa zilikuwa kwenye manunuzi(Procurement of public goods and services) ya umma, serikali iliamua kuanzisha sheria ya Manunuzi, Public Procurement Act ikifuatiwa na Regulator wake ambaye ni Public Procurement Regulatory Authorities. Nionavyo...
  18. Katikomile

    Vicky Mtetema & Flora Nducha wa BBC Waula!

    Kuna tetesi kwamba Vicky Mtetema kapata U-country Director wa shirika moja linaloshughulika na haki za Ma-ailbino - Under the Same Sun, lenye makao makuu nchini Canada! Tetesi zaidi ni kwamba Flora Nducha kapata head office UN- New York kama UN Head of Information and Communication/Swahili...
  19. Katikomile

    Tujadili Matumizi ya Raisi JK

    Quote: Phillemon Mikael yeye ndiye anabebaga lile koba la pesa za shopping za rais nini.....maana jk akienda lazima achukue cash BOT si chini ya dola milioni 1....imprest ....na hakirudi kitu.... ...lakini sasa napata shaka na melta hoja ..inawezekana kweli jairo anapiga bao wenzake kwa...
  20. Katikomile

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Ekyawe kyawe kijunda nokala!
Back
Top Bottom