Nimeshajua ilikofanyika makosa, nitayasahihisha, hata mimi pesa zangu zinaniuma ila sababu iliyonifanya nianze ni kubwa kuliko uoga utakaonitisha niache. I have big goals
Mwaka huu nimelima tikiti, I provided everything needed ila bado mazao hayanenepi, sababu kubwa iliyoni cost ni USIMAMIZI MBOVU.
Mimi ni mwajiriwa kwaio sikuwa na muda wa kutembelea shamba katikati ya wiki, nilienda siku 2 tu kwa wiki, baada ya 2 months nikampeleka afisa kilimo anionee shida...
Kulingana na gharama za sasa za mbegu na mbolea, naomba analyst mmoja ambae ana uzoefu shambani anisaidie simple estimation ya hizi:
A. Je, mbolea ninazotakiwa kutumia ni zipi na kwa kiasi gani?
B. Mbegu unashauri ipi na kwa hekari 10 nitatumia kilo ngapi? (Nalima wilaya ya Serengeti mara)
C...
Wadau tusaidiane, Mimi Nina 5m nataka kuanzisha biashara ya kuuza vitenge vya jumla na rejareja. Je, ni wapi point ya kuzichukulia.
NB: Niko Kanda ya ziwa.
Kama unapata salary au return ya 3M kwa mwezi, fungua fixed account ya miaka miwili NMB weka 1M kila mwezi bila kupepesa jicho, 2M weka katika Matumizi ya chakula na ada za watoto kama unao, hakikisha unapunguza Matumizi yasiyo ya ulazima kama partying daily Ili kufikia malengo fulani inahutaji...
Habari zenu mabibi na mabwana.
Naombeni mnisaidie ni wapi pale Mwanza nitapata mtumba grade A, na nitatambua vipi ni grade A na bei zake kwa shati, tisheti na suruali?
Natanguliza shukrani.
Muwasho na kukojoa kwa shida unatokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaa(STI's) nenda kapime, pia baada ya wiki tatu tangu ukutane nae kapime HIV, HIV huanza kwa maumivu ya kichwa, vimbe kwenye groin na tonsils, jasho usiku, kukohoa, n.k,
NAKUOMBEA UWE SALAMA ILI UKAWE BALOZI WA MATUMIZI YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.