Search results

  1. wiseboy

    Gari la milioni 40 kapewa teja.

    Wewe unanunua passo au vitz ya milion 5 mbwembwe nyingii...unaweka alarm...funguo unaficha mbalii...hutak mtu aiguse guse ... Ila cha ajabu sasa wabongo wengi wananunua gari la milion 40 anampa teja amiliki tena muda wote hadi lizeeeke..... Najiuliza gari ni kitu kinchosaminiwa sana na mtu...
  2. wiseboy

    Muitaliano/Vicenzo Cozollino akanusha kumtetea Makamba

    Source insta page ya mange
  3. wiseboy

    Boss tv flat screen nchi 50 inahitajika

    Habari wadau, Kuna jamaa yangu kanituma hapa dsm nimuulizie na finaly nimnunulia boss tv ukubwa wa nchi 50 sasa bei zake zimekuwa hazieleweki kitu ambacho kinafanya nisite kumnunulia nisije mnunulia kitu ambacho kumbe kina matatizo yalojificha halafu heshima yetu ikawa katika wakat mgumu...
  4. wiseboy

    Should we keep quite?

    should we keep quite?? refer sarafina film of south Africa
  5. wiseboy

    Pata nguo za Mitumba, Grade A

    "HABARINI WANDUGU, Nimekuwa kwenye hii biashara ya nguo za mtumba kwa miaka mitatu sasa, ila changamoto yake kubwa muda wooote huo ilikuwa kupata mizigo mibovu yani nguo mbaya mbayaaaa tu hapa bongo, but sikukuta tamaa nikakomaa kupitia hiyo changamoto sasa nimeitatua kabisaaaaa, napata nguo...
  6. wiseboy

    Huu nao ni wizi mpya au ni kweli

    Habari za majukumu jameni, miez miwili nilifanya application ya masters chuo fulani, sasa week juzi nilipigiwa simu nimechaguliwa kujiunga na masomo....hahaaa cha ajabu naambiwa nisome online master studies....kikubwa zaidi naambiwa nitapewa asilimia 75 ya scholarship...ila inabidi nilipie 25...
  7. wiseboy

    TUCTA: Tutawaunganisha Wakulima na Wafanyakazi kushikilia bango suala la ESCROW

    habari zenu wakuu..... ni leo tu nikikuwa nawaza kwamba haya mambo ya kuibiwa hela nyingi yanaweza zuiliwa na vyama na taasisi mbalimbali....tayari tucta wamejitosa....wapi chama cha usafiri iwe hakuna kusafiri siku kadhaa......taja na vyama vingine unavyovijua vishiriki kurudisha hii hela...
  8. wiseboy

    Kuna uhusiano gani wa dini na elimu ya advance?

    Habari Wakuu, Nimeshuhudia shule nyingi mkiwa o level na vyuo vikuu usiriusness kwenye dini upo chini, ila mtu akifika form five na six (A' level) dini inashika hatamu hasa shule za bording yaani alfajili na mapema saa kumi usiku au kumi na moja unaamushwa na nyimbo za pambio za kuabudu toka...
  9. wiseboy

    Hii biashara imenichanganya

    hbr jaman.... kuna sehem nategemea kupata 6m sasa nilitaka kuweka kwenye broilers sasa mahesab mbona yanaleta lost kwa kuku mmoja Wiki ya 1 15g*kuku 1000=15,000 sawa na kilo 15kwa siku na sawa kilo 105 kwa wiki na ni sawa na mifuko 2 ya chakula (2bags@50,000/ ) =100,000 Wiki ya 2 25g...
  10. wiseboy

    Mwenye email ya Rais wangu ani-pm

    wasalaam jaman.. leo sina mengi...tupo vijana kadhaa toka wahitumu wa SUA tunaptoject yetu well planned tulihitaj kumuona/ kumfikishia rais wetu hopefulluly atakuwa msaada wetu as long kuna hotuba ake ya mwaka 2006 aliwah gusia hili wazo letu ..mwenye contact zake especialy email au njia...
  11. wiseboy

    Mwezi mbaya kwa mastaa Flora na Vick Kamata

    Sakata la Mume wa mwimbaji FLORA MBASHA kumbaka shemeji yake mapya yaibuka Mume aelezea sababu za kufanya UKATILI huo..! Posted by Gumzo on May 29, 2014 JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa...
  12. wiseboy

    Natafuta mitetea wa kununua 100

    Helow wakuu, nipo kwenye mchakato wa kufuga ila lengo langu ni sawa na research yan nataka ndani ya mwaka mmoja nione kama nitafikisha kuku elfu moja kutokana na directory za humu plus za shuleni, tayari nimesha andaa banda kubwa tu lina sebule (public) na chumba hatchery, kuna sehemu nimejenga...
  13. wiseboy

    Nunua gari kwa bei poa ya 5.5m tu,

    Jaman kwa yule anaetaka kutembelea usafiri au kufanyia biashara nauza gari yangu aina ya funcargo, ipo katika hali nzuri sana, nauza sababu ninazo mbili, gari kwa sasa ipo iringa.
  14. wiseboy

    Msaada jaman kwa watalaam wa magari yamenikuta

    Wakuu heshima mbele, nimenunua gar yangu aina ya nadia engine yake ni 3s nilikwepa kununua 4d baada ya kuambiwa zinasumbua. TATIZO LAKE hii gari haina muda mrefu toka niitoe bandarini just miez 2 tu, one day nilikuwa njian toka moro kwenda tanga, nilipovuka mizan ya chalinze gar ilikuwa speed...
  15. wiseboy

    Msaada wa kupata mabaro mazuri.

    Jaman msaada, nina kaduka kangu ila naweka nguo za mtumba grade " A" nahitaj kupata mabaro ya aina zifuatazo za nguo. 1. Gaun ndefu na fupi, 2.sket fupi na ndefu 3. Skafu 4.mitandio 5. Simple coats 6. Makoti marefu. N.k
  16. wiseboy

    Natafuta kiwanja cha kujenga morogoro

    Wadau respect mbele....! Naomba kwa alie na taarifa za upatikanaji wa kiwanja cha kujenga morogoro hasa maeneo ya kihonda, nane nane, mikese, na bigwa....najua nikianza kuzunguka mwenyewe nitapata taarifa, ila kwa sasa nimebanana naomba nianzie hapa.
  17. wiseboy

    Kukaa jinsia mbili tofauti kwenye seat ya bus

    Jaman nadhan wengi tunasafiri hapa na pale, kwa utafiti wangu nimegundua msichana akipanda kwenye gari hupenda akute karibu na seat yake kuna mvulana, vivo hivyo kwa mvulana.......na kama gari WATu wanakaaa bila kufuata seat ww kuwa mchunguzi utagundua mtu anatoa macho gari nzima akitafuta...
  18. wiseboy

    Anaeuza radio

    helow waungwana natafuta radio bomba la kula Mziki hom, iwe angalau na vikorombwezo vya kutosha yan cd, USB, tap etc... Pia iwe na spika kubwa zenye ujazo wa mziki wa adabu....mwenye NAYO anipe pm nipo mtongani dsm kwa sasa
  19. wiseboy

    Natafuta robota nyingi za mitumba high quality

    Wakuu nataka kuanzisha kabiashara ka mixture ya nguo mtumba na special....je ni wapi nitapata robota grade za juu na bei zake, nahitaji robota la sketi, gauni, vipedo, skin jeans, vitop na blauz...pia hata za kiume, pia kwa anaefahamu sehemu nzuri ya kupata mzigo wa aina hyo dsm anisaidie....welcome
Back
Top Bottom