Mapenzi hayana formula,
Unaweza ukamuoa uliyemzidi miaka 5 akawa pasua kichwa, hana heshima, mgegedo hatoi nk
pia unaweza ukaoa aliyekuzidi miaka 5 akawa yupo vizuri na ukaenjoy
Kinyume pia unawezana
Kikubwa, make sure unaoa mtu sahihi na sio umri au kingime
Hata kama ni ushabiki ila tuwe wakweli
Azam leo mechi alikuwa anaihitaji ila hakuwa na uwezo
Hata refa alikuwa upande wao inaonekana alikula mlungula
Mtani leo kacheza kawaida tu ila matokeo yamekuwa upande wake
Sometimes hizi mechi zinaendeshwa na ushirikina zaidi
Sio kweli, serikali inaweza kupanga kiwango cha chini tu ila haiwezi kulimit
Hospitali binafsi ikiamua kumuajiri mtu ikamlila 50M kwa mwezi , serikali haiwezi kukataa maana haiwahusu
Hivyohivyo kwenye mpira
Kuna kitabu niliwahi kusoma (SELL LIKE CRAZY)
Kuna sehemu mwandishi amesema , " THERE IS DIFFERENCE BETWEEN BEING BUSY AND BEING PRODUCTIVE"
Walimu na madaktari wapo busy ila sio productive ( pesa)
Mpira ni biashara productive (inazalisha pesa nyingi)
Siku zote boss huwa haoni tabu kutoa...
ili kazi iwe na mshahara hutegemea mambo mengi
1. Unazalisha au huzalishi
Ukiwa mzalishaji automatic malipo huwa makubwa
2. Umeajiriwa na nani?
Mwalimu anaajiriwa na serikali ambayo yenyewe pia ina njaa ila mchezaji anaajiriwa na matajiri
3. Unafanya kazi na nani?
Mwalimu anafanya kazi na...
Hivi mnawachukia sana walimu?
Maana kosa la watu wachache basi kila siku wanalaumiwa walimu wote
Halafu kila siku mnaambiwa, wale ni wafia chama wa CCM na propaganda ile inatengenezwa from the top ili ionekane watu wanakubali chama na mwenyekiti
Unakuta hela za kuchangia wamepewa na wao...
Acha ujinga wa kutumia maandiko ya uongo,
Hakuna andiko la hivyo katika vitabu vya kiislamu.
Halafu haiwezekani mtume(saw) aseme hivyo maana msingi makuu wa uislamu ni kumuambudu mungu mmoja tu bila ya kumshirikisha na yoyote
Swala la kuwepo kwa mungu ni swala la lenye yakini ya kimaumbile
Mtu yoyote akipatwa na shida kubwa mfano, ugonjwa serious lazima tu akumbuke uwepo wa mungu, tena mtu anajiapia nikipona nitakesha kwenye Ibada ila akipona anaanza kuongea ufala kama wewe.
Afya njema tu inakusahaulisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.