Search results

  1. Adolf Hitler Jr

    Lost war in Somalia

    Akiwasifia yeye ni mkenya akiwaambia ukweli yeye sio mkenya. That's ridiculous.
  2. Adolf Hitler Jr

    Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

    Tanzania Tanzania giving support to Al shaabab WTF is this , Mbona wanatuchafua jina . Hii itakuwa propaganda ya nchi fulani fulani. Meanwhile social media imelipuka huko Kenya baada ya mtu anayesadikiwa kuwa ni gaidi kujichanganya na raia wa kawaida na kufanikiwa kutoroka.
  3. Adolf Hitler Jr

    waKenya mnavyowaambia wabongo hawasikilizi nyimbo zenu huwa mnashirikisha ubongo wenu

    Nyengine zilizokimbizana na hiyo nyimbo 😆👇👇
  4. Adolf Hitler Jr

    waKenya mnavyowaambia wabongo hawasikilizi nyimbo zenu huwa mnashirikisha ubongo wenu

    Hilo ndio la msingi sio ujinga wanaofikiria eti nyimbo za nje zibaniwe hawajui watu watatafuta kwa njia yeyote good content hata kama wakibana. Wengine wanalalamika eti hamna msanii anaelepiwa sawa na Diamond hapo kenya sasa sijui wanahisi Diamond aliamka tu akawa analipwa hiyo hela , wapige...
  5. Adolf Hitler Jr

    waKenya mnavyowaambia wabongo hawasikilizi nyimbo zenu huwa mnashirikisha ubongo wenu

    Hata mimi hapo sijaelewaa kitu gani kinachoimbwa humo
  6. Adolf Hitler Jr

    waKenya mnavyowaambia wabongo hawasikilizi nyimbo zenu huwa mnashirikisha ubongo wenu

    Hii ndo nyimbo bora ya Kenya kwa mwaka 2018. 😁
  7. Adolf Hitler Jr

    kenyans and their mistrusted hypocritical behavior

    At least diamond katumia tafsida hiyo khalograph kaimba uhuni hiyo ni street song haitakiwi kusikilizwa on the media
  8. Adolf Hitler Jr

    Usipokuwa makini utafurahia kupata mchumba au mke kumbe ni kahaba

    Malaya ni wengi kwa sasa na wengi wameshakuwa victim hawana la kufanya wameowaoa kwa kuvutiwa na muonekano tu . Waacha waisome namba wana share mke na hadi na vitoto vya chuo , waendesha bodaboda etc.
  9. Adolf Hitler Jr

    Wale waKenya ambao husemaga wabongo wana inferiority complex wamepotelea wapi

    Bongo Flavor yawahenyesha waKenya kila siku vikao kutafuta mchawi ni nani?😮
  10. Adolf Hitler Jr

    Kwanini mabinti katika mahusiano hawasalimii Shkamoo?

    Ukishamvulia mtu nguo hata kama umemzidi miaka 20 swala la heshima halipo, ni swala la kuchagua tu heshima au kulidhisha tamaa za kimwili. Utakalochagua ukubali kila linalokuja nalo , binafsi niliwahi shuhudia chuoni mhadhiri watoto wa kike wakimdharau sana baada ya kudadisi kidogo nikagundua...
  11. Adolf Hitler Jr

    Hivi tunaweza kutumia maji ya ziwa Tanganyika kufanya kilimo cha umwagiliaji?

    Maziwa yote ni mali ya mzungu wewe kaZi yako kuyaangalia tu. Kwa nini hamtaki kuelewa hilo
  12. Adolf Hitler Jr

    Diamond mkanye sana baunsa wako bila huruma yako juzi ningempa kichapo

    Ungempa kichapo mkuu umetuamgusha sisi ambao sio wanaume Dar, Hizo Shobo hatunaga sisi
  13. Adolf Hitler Jr

    Wanawake wa hii mikoa, nawapa hongera sana

    Mtoa post watu wa Kilimanjaro na Arusha wajichubue ili wawe zeruzeru au , bado natafakari ,🤔
  14. Adolf Hitler Jr

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Hao wasomi wa zamani mbona ndo wameuza madini yetu yote kwa faida zao binafsi
  15. Adolf Hitler Jr

    Kumbe Kenya pamoja na kujidai koote na shirika lao la ndege walidhulumu ndege za EAC

    Your a fool sorry if ur offended but what you revealed means you deserve this description. Yaani unatuletea data za 1945 kipindi ambapo nchi zote zilikuwa hazipo huru!
  16. Adolf Hitler Jr

    Kumbe Kenya pamoja na kujidai koote na shirika lao la ndege walidhulumu ndege za EAC

    Kenya hawajaanza wizi Leo juzi kati raisi wao ali confirm vijana wengi wa Kenya ni wezi by nature. WAMERE: Uhuru's comments on youth insensitive mockery
Back
Top Bottom