Search results

  1. huku kwetu

    Nahitaji rafiki wa kuchat

    Habar, kwa sasa napitia wakati mgumu kidogo nahitaji mtu wa kuchat nae wa kunifanya nirelax..mm ni mwanamke mwenye 32yrs.
  2. huku kwetu

    Msaada, jagi langu limepata tatizo

    Nisaidieno wataalam nofanyeje jagi langu haya ya kuchshia maji, ukiwasha linajizima lenyewe wakati maji hayajachemka. Nqomba msaada kwa wataalam
  3. huku kwetu

    Msaada: Nasikia kelele sana masikioni

    Wapendwa habari za asubuhi. Naomba nisaidie nitakuwa na shida gani jamn nina shida ya sikio langu la kulia kupiga kelel yani sio zile kelel za ziiiiii no hii nakuwa nasikia kama vile labda mishipa inasukuma damu yani ti ti ti (nadhan nimeeleweka wapendwa) yan inanipa shida sana siwez kulala...
  4. huku kwetu

    Naomba ushauri, nashindwa kubajeti fedha yangu

    Habarini wakuu, Samahani mimi ni mwajiriwa wa serikalini ivi karibuni, shida yangu jmn siwezi kabisa kubajeti hela. Sawa mwanzoni mwa mwezi nanunua kila kitu. Ambacho nakuwa sina labda mboga mboga hizi. Na nikasema labda nitumiage 10 per wiki kutokana na mazingira ya kijijini. Sasa yani...
  5. huku kwetu

    Ushauri: Baba yangu katafuna hela yangu ya kujengea

    Kama kichwa kinavyojieleza, mimi ni mtu wa kipato cha chini sana tu so nikawa nimejidunduliza nikanunua kiwanja nikafyatua tofari. Baada ya muda kupita kidogo nikapata hela tena sasa siko huko kiliko kiwanja (nyumbani) kwa hiyo nikaamua nimtumie baba kusimamia ujenzi nikamtumia hela halafu...
  6. huku kwetu

    Msaada dawa ya visunzua usoni

    Habari wapendwa, tafadhari anayejua namna ya kuondoa visunzua usoni vile vinyama vinavyoota usoni vyeusi real vinakela Sana. Pia ningefurahi endapo ningepata chanzo chake. Shukrani kwenu.
  7. huku kwetu

    Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

    Habari wana JF, Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi. Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda...
Back
Top Bottom