Kwa mwenye kujua huu mfumo, ombi langu la uhamisho limefikia hapo sasa nini kinafuata baada ya hiyo status maana ilibadilika kwa hatua kama mbili hadi kufika hapo
Wachezaji wazawa ndio hao akina Fei, unadhani kuna timu kubwa zenye mafanikio na zinazoendeshwa kwa weledi zitahitaji wachezaji aina ya Fei ambao wanavunja mikataba kihuni bila kufuata utaratibu? Hawa wataendelee kutumika humuhumu tu.
Wangeonesha mfano kwa kamisaa wa sensa mwenyewe awe mtu asiye na ajira sasa nashangaa mtu amekuwa spika wa bunge kwa miaka 10 lakini ndio kamisaa wa sensa
Mbaya zaidi huo muongozo haukuzingatia dharura zainazoweza kufanya mwalimu asifundishe, mf.mwalim kuugua, michezo ya umiseta na umitashumta, na mambo mengine ya kitaifa yanayoweza kuzuia ufundishaji. Nina uhakika aliyeandaa muongozo hakuwahi kuwa mwalimu
Napongeza uamuzi wa NECTA, hii itakomesha mianya ya udanganyifu haswa kwa primary, kwa miaka mingi walimu wa primary wamekua wakihusika kwenye udanganyifu mitihani ya darasa la Saba hivyo kupeleka sekondari wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.