Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji hii machine, iwe halali sio ya wizi, iwe ya kutumia umeme au mafuta. Bajeti yangu ni 700K. kwa mwenye nayo karibu tufanye biashara.
Nipo Tabata.
Habari wakuu!
Naomba kujulishwa mahali naweza kupata mashine za kukwangua nazi kama hii inayoonekana kwenye picha kwa hapa Dar es salaam na bei zake.
Natanguliza shukrani kwenu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.