Search results

  1. Azarel

    Uonevu mkubwa kwa Ebrahim Yusuph kazi wa Yemen

    Habarini Wadau, Nimesoma habari ya Mzee Ebrahim Yusuph Kazi mzaliwa wa Yemen, huyu Mzee alifungwa miaka ya 1979 na 1986 kwa makosa matano ya kuwaoa na kulala na watoto wenye chini ya miaka 13 Mwaka 2011 akiwa na miaka 67 yeye mwenyewe alikiri kumuoa mtoto wa miaka 8 na kulala nae ila kwa...
  2. Azarel

    Hivi kwanini Serikali hailipi Malimbikizo ya Mishahara (ARREARS) ya Watumishi?

    Habarini Wadau, Ingia kwenye Idara za Afya na Elimu katika Halmashauri na ukiweza kuchunguza utagundua kuwa kuna Watumishi wengi wana madai ya Mishahara yao (ARREARS) za muda mrefu kweli Pia katika Taasisi sasa nao wana madai haswa TANROAD na TANESCO Inakuaje Mtu anayedai mishahara ya nyuma...
  3. Azarel

    Vodacom kwanini hamtoi nafasi ya mteja kuongea na mtoa huduma wenu? Mnakera sana

    Habarini Wadau, Hivi vodacom haitoi nafasi ya Mteja wao kuongea na Mtoa huduma wao? Nimetuma pesa kwa njia ya MPESA kutoka kwny namba yangu ya Voda na kwenda katika Account ya CRDB. Message imenirudia kutoka CRDB pamoja na MPESA kuwa Pesa imeenda kwa Muhusika, lakini ananiambia ameangalia...
  4. Azarel

    Ushauri kuhusu mfumo wa ESS

    Habarini Wadau, Kuna huu mfumo wa Employee Self Service (ESS) ambao serikali ilitangaza kuwa Watumishi wote wa umma wanapaswa kujisajili humo na kuratibu mambo yote kwa kutumia mfumo huo Tulishapewa semina mara moja Ofisini na akiwepo DMO, Meneja wa TANESCO, Watumishi wengine wa Afya na...
  5. Azarel

    Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

    HERI YA SIKUKUU YA KRISMAS WADAU, Uzi huu ni wa kutuma salamu za krismas kwa Wadau wawili hapa jamvini, haijalishi dini, dhehebu, wala kabila lake... Malizia na ujumbe "Nampenda Sana" Mimi naanza kutuma salamu kwa Mtu wangu wa karibu Heaven Sent pamoja na Mohamed Said Ujumbe : Nawapenda sana
  6. Azarel

    Kwaninu J.K Nyerere na Nelson Mandela waliichukia sana Israel na kuisupport Palestina

    Habarini Wadau, Kwa aliyefuatilia speeches nyingi za Nelson Mandela na Mwl. J.K Nyerere hasa Wahenga humu watagundua kuwa hawa watu walikuwa wakiwapinga sana Israel pamoja na Washirika wake yaani US, UK, France, German na wengine Na badala yake waliamua kuwa upande wa Wajamaa Russia, China na...
  7. Azarel

    Hizi ndio Hazina za JamiiForums

    Habarini Wadau, Ama kabla ya salamu, Binafsi naipenda JamiiForums, imenifundisha kupitia members wake JamiiForums ina members wengi sana wenye haiba na tabia tofauti. Humu kuna Waongo, Wapenda sifa, Wajivuni, Wakweli, Wastaarabu, Wakorofi wa maneno n.k Lakini kuna members karibu kila mchango...
  8. Azarel

    Naona Ndoa za Mkataba zitakuja Tanzania, yapi maoni yako?

    Habarini Wadau, Kwa namna maisha ya Mahusiano na zaidi ya Ndoa yalivyo kwetu sisi Watu weusi, ninaona kabisa baada ya miaka kadhaa kutakuja kuwepo "Ndoa za Mikataba" yaani watu wanasainishana muda ambao wanataka ndoa zao zisurvive Ndoa za sasahivi za kidini, yaani za Kikristo na Kiislam na...
  9. Azarel

    Wanawake wengi wa kizungu wana miguu mizuri, minene kuliko weusi

    Habarini Wadau, Nimefanya Utafiti kwa muda mrefu na kugundua kuwa Wanawake wengi wa kizungu kutoka US na bara la Ulaya wana miguu mizuri, minene na yenye afya kuliko wanawake weusi wa Afrika Nilifanya Sampling kutoka kwny population ya Wanawake wa mabara manne yaani Africa, Asia, America na...
  10. Azarel

    Misri yakataa kuwapokea wakimbizi wa Palestina na kuwapokea wakimbizi wa Marekani

    Egypt, nchi ya kiarabu iliyopo Afrika inayopakana na Nchi ya Palestina kwa upande wa Kaskazini imekataa kabisa kuwapokea wanawake, watoto, vijana wasio wanajeshi pamoja na wazee kutoka Gaza Siku chache nyuma ISRAEL iliwaamuru wakazi zaidi Mil1.1 wa Gaza kuondoka eneo hilo kwasababu wanataka...
  11. Azarel

    Sababu ya Wanawake wengi Tanzania kupata U.T.I na suluhisho lake

    Habarini Wadau, Kwa Miaka ya hivi karibuni kuna magonjwa ambayo yamekithiri sana miongoni mwa Watanzania na watu wengine Duniani, kama Kisukari, S.T.I's za aina zote, Cancer n.k Nitazungumzia Urinary Tract Infection (U.T.I) kwa nchini kwetu Tanzania pamoja na kisababishi ambacho wengi...
  12. Azarel

    Watu wa Arusha kuanza kutumia jina Tanganyika badala ya Tanzania ikoje?

    Habarini Watanzania, Kama umeitembelea Arusha siku za karibuni utagundua kuwa baadhi ya wananchi hasa wilaya ya Arumeru wanatumia jina la nchi kama Tanganyika na sio Tanzania. Kinachoshangaza wanatumia katika mabango ya matangazo ya biashara na mengine ya utambulisho na yapo barabarani kabisa...
  13. Azarel

    Huduma ya CRDB Simbanking ni ovyo na imejaa kero

    Habarini za asubuhi Wadau, Kwa wateja wa CRDB kuna hii huduma ya SIMBANKING, yaani ufanyaji mihamala kwa njia ya simu. Kwa sasa huduma hii kwa CRDB ni hovyo sana na usiiamini tena huduma hii Natumia huduma ya Cardless kwasababu sins ATM Card nasubiri kutoka kwao, sasa tangu juzi natoa pesa kwa...
  14. Azarel

    Uhusiano wa Vijana na Mama zao sikuhizi unamweka Baba mahali pabaya sana

    Habarini Wadau, Sikuhizi kumekuwa na tabia flani mbaya sana ya Wamama waliopo katika ndoa kuwakumbatia Watoto na kuwaeleza au kuwaonesha madhaifu ya Baba zao Nina mifano mingi sana ya aina ya Wamama hao, hasa kama Baba yupo mbali kiutafutaji, Mwanaume anajitahidi kutafuta pesa za matumizi ya...
  15. Azarel

    Hivi kuna watu wanatumia Kifurushi cha Internet cha Tigo?

    Habarini Wadau, Kwa kawaida huwa natumia kifurushi cha mwezi cha Vodacom, ila kimekata ghafla usiku huu na sikuwa na pesa yoyote ya kujiunga na kifurushi kingine Ila kwenye line ya Tigo nina 4.7 GB ambazo huwa nazawadiwa na Tigo yaani MB 500 kila mara MAAJABU SASA, yaani nimejaribu kufungua...
  16. Azarel

    Ukiniwekea Simba na Ngogwe nitachagua Ngogwe (Nyanya chungu)

    Habarini Wanamichezo, Mimi ni Mshabiki wa Simba Damu, lakini kwa mahali ilipofikia timu yetu inakera, inachosha na inaboa Nimekuwa nasafiri kwasababu ya kuishabikia Simba popote iendapo lakini kwasasa nimekata tamaa Sio Bosi wa timu, benchi la Ufundi, Wachezaji n.k hawana mambo mapya tena...
  17. Azarel

    Hivi wananchi wa TARIME wameshindikana katika Nchi hii?

    Habarini Wadau, Ninajiuliza na pia nawauliza ninyi Wadau, Kwanini Wananchi wa Tarime wamekuwa wakifanya uhalifu mkubwa tena wa mauaji kwa Wageni wanaofika na kuishi maeneo yao? Mbaya zaidi wamekuwa wakiwaua Watumishi wa Serikali ambao wamepelekwa na serikali huko kwaajili ya kutoa Huduma...
  18. Azarel

    Huenda ombi la kununuliwa Darubini ni kuudhalilisha Uislam

    Asalaam Waleikyum Warahmatullah Wabarakatul...! Ndugu zangu Waislam natanguliza Samahani ILA hii naiita Dhihaka au Udhalilishaji wa Uislam. Vipi Mufti anaomba msaada wa kununuliwa Darubini kwaajili ya kutazama muandamo wa Mwezi? Sitaki kuleta ubishani kuwa ikiwa umeonekana huko Saudi Arabia au...
  19. Azarel

    Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

    Habarini wadau, Ramadhan Kareem to all Muslim in here...! Wewe ni mwanaume mfupi, Andunje, Nyadundo kama mimi, kwanini una kiherehere cha kuoa Mwanamke mrefu kukuzidi? Mwanamke akikuzidi urefu ni sawa na kukuzidi akili. Kwanza hata wenyewe hawatupendi Wanaume wafupi Huu ni utafiti rasmi kwa...
  20. Azarel

    Ninahitaji fundi mzuri wa Nguo za kike Arusha

    Habarini Wadau, Ninahitaji fundi mzuri wa kushona nguo za kike/Wamama. Fundi awepo Arusha. Contact: 0655-946381
Back
Top Bottom