Search results

  1. S

    Ipe maneno hii picha

    Ama kweli maendeleo hayaji kwa bahati, bali kwa Mipango na Bidii ya kazi. Tazama hii, kulingana na uzoefu wako ni mkoa gani wenye watu wa bidii kama hii ?
  2. S

    Karibu ule kwa macho

    Habari zenu wana JF, Huko kwetu nilikozaliwa na kukulia kwenye utamaduni mzuri, kitu kizuri unakula na nduguyo. Sasa nawakaribisheni japo mle kwa macho. Je, hicho chakula ni kitamu ? Mbona unaangali tu bila kusema neno. Naomba maoni yako ili niweze kukiboresha.
  3. S

    Enzi zile za tanzania kwanza zirudi

    Habari Mwana JF, Kulikuwa na wakati ambao viongozi walikuwa na dhana ya Tanzania Kwanza, baadhi yao ni hawa hapa. Unawakumbuka wegine waliokuwa na dhana hiyo. Hebu tukumbushe, mimi nimepata hawa hapa.
  4. S

    Biashara ya nafaka au mkaa: Ushauri tafadhili

    Wakuu heshima yenu, Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza nafaka ua mkaa, lakini baada ya kutafakari kwa kina nikaona kuwa kwa kuwa natarajia kuweka mtu wa kuuza wakati mimi nikihangaika na mambo mengine, biashara ya mkaa itakuwa mwafaka kwa sababu ni rahisi kuhesabu gunia...
  5. S

    Wapo wengi

    Ndugu wana JF ni matumaini yangu kuwa aina zote za maisha au tabia zinaweza kujaribiwa na kuchwa kama hazifai lakini sio ndoa. Ndoa haijaribiwi. Ni vizuri mtu anapotaka kuingia katika kundi hili atafakari kwa kina kama anayeingia naye anamfaa kweli. Kuna rafiki yangu mwaka 2009 kachumbia...
  6. S

    Tukio au hali ya maisha gani ya maisha ambayo usingependa ijitokee tena?

    Katika maisha yako kuna matukio au hali ya maisha mbaya ambayo umewahi kukutana nayo wewe binafsi au kushuhudia kwa jirani, ndugu au nchi yako. Kwa kuwa tunajifunza kutokana na makosa, Je, ni tukio gani au hali ya maisha ambayo usingependa ijirudie tena katika maisha, jirani, ndugu au nchi...
  7. S

    Shukrani

    Habari za kazi Wana JF wenzangu, Nilifiwa na Mama yangu mzazi tarehe 26/06/2011 na mazishi kufanyika tarehe 29/06/2011, niliondoka kwenda nyumbani (mkoani) tarehe 27/06/2011 kuwahi mazishi bila kutoa taarifa hapa JF. Hatahivyo, nachukua fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa Wana JF...
  8. S

    Ili tuendelee

    wakati Tanzania inapata uhuru kulikuwa na msemo uliokuwa ukitumiwa na viongozi wa wakati huo kwamba "Ili tuendelee, tunahitaji Ardhi, Watu, Siasa Safi na Uongozi Bora". Kwa wakati ule walikuwa sawa maana walikuwa na ardhi, siasa safi na uongozi bora lakini idadi ya watu walikuwa wachache na...
  9. S

    Kuna sifa gani katika hili?

    Hivi ni kwa nini watu na hata Ndugu wa karibu na mgonjwa hamsaidii wakati anaumwa, ilihali ikitokea akafariki wanaitisha vikao na kutoa michango kwa ajili ya msibai? Mbona wangetoa ili kuokoa maisha yake ndio ingewapata heshima na sifa.
  10. S

    Wazee wa kazi kuelekea katikati ya jiji, kulikoni?

    Kwa wana JF mliokatikati ya Jiji la Dar es salaam tujuze, nimekutana hapa TAZARA na magari manne ya wazee wa kazi yaani Field Force Unit a.k.a Fanya Fujo Uone (FFU) na Washa washa moja yakielekea kati kwa speed kali, kulikoni huko?
  11. S

    Ni mkoa gani?

    Wana JF wenzangu kwanza poleni kwa mkesha wa kusubiri mwisho wa dunia. Baada ya pole hiyo, nina jambo hili, kuna thread hapa JF zimekuwa zikijaribu kutujuza mikoa inayoongoza kwa uchawi, ukatili, watu wapole, wizi n.k. Mimi niliona lengo zuri tu, ni kuwaonyesha watu wa mikoa hiyo kuwa pamoja...
  12. S

    Zomea zomea, piga piga.......... Nini chanzo chake na nini kitafuata??

    Ni muda sasa kumekuwepo na hulka ya wanachi katika baadhi ya maeneo katika mikutano ya hadhara kuwazomea baadhi vingozi wa kisiasa au Watendaji pale ambapo hawaridhishwi na majibu au maelekezo yanayotolewa. Nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini siku/mika ya hivi karibuni watu waanze...
  13. S

    Je, unaamini kuwa uchawi upo?

    Siku nyingi nimekuwa siamini kama kweli kuna uchawi katika Tanzania hii, achilia mbali huko kwa wengine. Nimekuwa siamini kwa sababu makosa yote hapa nchini yana adhabu zake isipokuwa la uchawi hii ikimaanisha kuwa Serikali inaamini kuwa hakuna uchawi. Hatahivyo, siku za hivi karibuni...
Back
Top Bottom