Search results

  1. R

    Chadema Kiboko! Kwanini nasema hivyo?

    whatever!
  2. R

    Chadema Kiboko! Kwanini nasema hivyo?

    S soma tena between lines. Kuna mahali nimeandika chadema inashangilia?
  3. R

    Dodoma: Hatimaye Polisi wamkabidhi Tundu Lissu gari lake alilomiminiwa nalo risasi

    Kwani lilikuwa linakwenda Ulaya? lingenikuta wapi?
  4. R

    Dodoma: Hatimaye Polisi wamkabidhi Tundu Lissu gari lake alilomiminiwa nalo risasi

    lifuate ulibusu maana naona imekuuma.
  5. R

    Dodoma: Hatimaye Polisi wamkabidhi Tundu Lissu gari lake alilomiminiwa nalo risasi

    kama lile lijitu lilivyokufa bila kujulikana liko wapi, rais linakufa kibudu
  6. R

    Chadema Kiboko! Kwanini nasema hivyo?

    News outlets zote zilikuwa busy ku report habari za vikao vya chaema. Kila news outlet iliandika ilichokuwa inakifikiria. mara wamepigana, mara Lisu kawekwa kitimoto, mara hili na lile etc etc. Machawa CCM walipagawa kote kwenye upenyo wa kuandika lolote kuhusu vikao hivyo! JF ndiyo usiseme...
  7. R

    Kutokana na video hizi mbili unaweza kubashiri mstakabali wa sera za multiculturalism ambayo nchi za magharibi ziliupigia upatu na kukaribisha wageni?

    Huyu kasomea Ulaya, he has a good command of english! and his power of reasoning siyo ya uarabuni
  8. R

    CHADEMA kuweni wamoja katika hoja zenu.

    Umeyasikia kwa nani? Kutoka kwa mamlaka gani za chadema? mambo ya kubumba ya chawa wa Samia ambayo yamesemwa tangu vikao vya kamati kuu ya chadema vianze ndiyo unayaleta hapa kama from official news channels za chadema? I guess and I might be very correct by 1,000,000% correct, wewe ni chawa...
  9. R

    Dodoma: Hatimaye Polisi wamkabidhi Tundu Lissu gari lake alilomiminiwa nalo risasi

    A very good point! Jitu lilikuwa na roho ya kishetani, shetani aliyekubuhu!
  10. R

    Dodoma: Hatimaye Polisi wamkabidhi Tundu Lissu gari lake alilomiminiwa nalo risasi

    Nifah, una point kubwa. Liwekwe Museum ya Chadema
  11. R

    Dodoma: Hatimaye Polisi wamkabidhi Tundu Lissu gari lake alilomiminiwa nalo risasi

    Is it drivable? At last shetani kashindwa . The president in the making! haya yote siyo bure!
  12. R

    Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    THIS IS ALL RUBBISH! HUU NI MWAKA WA 30 WATU WANAONGEA HAYA HAYA. IT IS WASTE OF MONEY AND TIME. TAFUTA NJIA NYINGINE YA KUPATA HICHO KINACHODAIWA FOR OVER 30 YRS KUTOKA KWA CCM! HUO NDIO UWE MJADALA, KWAMBA MAZUNGUMZO, MAKONGAMANO, MARIDHIANO, MIJADALA, TUME AND THE LIKE VIMESHINDWA KULETA...
  13. R

    Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    huyu si tapeli kama wenzake akina Gwajima et al! Self proclaimed manabii, bishops, wachungaji etc etc
Back
Top Bottom