Search results

  1. Jilanga

    Tamasha la Siku ya Vijana Duniani Mgeni rasmi Dr. Harison Mwakyembe.

    Tamasha limeandaliwa na Jitambue Foundation, kauli mbiu ikiwa "TETEA AMANI OKOA VIZAZI VIJAVYO", Msemaji na mwongoza mada, M/kiti wa Jukwaa la Katiba Mh Deus Kibamba amewasa Vijana wajitolee kupata uzoefu akisisitiza vijana wajipatie uzoefu hata kama ni kulima bustani, ama kazi yoyote ile hata...
  2. Jilanga

    Umoja wa wasio na Ajira Tanzania

    Watanzania wenzangu na wanaJF habar zenu! Kwa kipindi kirefu kumekuwa na ongezeko kubwa la Watanzania wasio na Ajira Rasmi, mathalani ripo ya Wazir mwenyedhamana wa Widhara ya Ajira na Kazi alisema Tanzania kuna nguvu kazi 22Million lakin waliopo kwenye ajira Rasmi ni 2million na 20million...
  3. Jilanga

    Serikali yangu, nchi yangu! Tatizo ni nin?

    Watanzania wenzangu, na wanaJF Wote habari zenu! Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu nimesoma Uchumi, nilijarib kuomba field katika taasisi za Serikali wakaniambia ungemtumia mtu aliko kwa system ndo akufanyie mpango, hivyo sikupata mafunzo kwa vitendo zaidi ya kusaidia kazi nyumbani, nipokuwa mwaka...
  4. Jilanga

    Income tax in gdp.

    It is more reasonable for government to raise its GDP by registering more new employee (Income tax) after creating More employment rather than depending on VAT which has miger contribution to GDP!
  5. Jilanga

    Msaada wako plz

    Natanguliza heshima mbele! Naombeni kwa yeyote anayejua Total population ya wakazi wa Mwanza city (Ilemela & Nyamagana) National Census 2012!
  6. Jilanga

    Wanafikra pevu naombeni ushauri.

    Natanguliza Heshima mbele! Natanguliza shukruni za dhati kwa Wanajanvi ambao wako makini katika kuchangia hoja! Mawazo yenu yamekuwa muhimu sana katika kujifunza kwangu- Leo naomba kuwashirikisha habari njema niliyoipata ili muweze kumisaidia! Jana nimepata E-mail toka kwa Mkurugenzi wa...
  7. Jilanga

    Ni Nini Chimbuko la Siku ya Wanawake?

    Huwa nashangaa sana tunapotaka kutafuta haki sawa! Ukisoma maandiko matakatifu Kitabu cha Mwanzo 3:16 "Akamwambia Mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa uchungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa Mumeo, naye atakutawala" sasa mwataka kupingana na kauli ya mkuu?
  8. Jilanga

    Ni kama Kichekesho lakini ndio ukweli wa serikali yetu.

    Habari zenu Mlojaaliwa utashi kamili. Ni wiki mbili sasa kwa wakazi wa Jimbo la Singida Mashariki kupatiwa msaada wa Chakula na Serikali yetu. Msaada huo ulinipekea kujiuliza maswali mengi pasipokupata majibu yanayoridhisha, kwa kuamini kwamba humu wengi wenu mmejaliwa utashi timilifu hivyo...
  9. Jilanga

    Ujuha wa serikali ya kikwete

    Iko haja ya kutumia nguvu ya umma pale serikali inaposhindwa kutambua wajibu wake na kuwajibika ipasavyo. Unapokula kiapo cha kulinda maslahi ya Taifa si tena swala la kutoa majibu mepesi kwa mambo mazito ambayo yataligharim taifa kwa miaka mingi Ijayo! Nimeamua kuliwe hii mbele yenu kutokana...
  10. Jilanga

    Niko tayari kupokea kadi ya CCM endapo ntajibiwa

    Natanguliza heshima mbele! Nipo tayari kupokea Kadi ya CCM na kuwa mwanaharakati endapo tu ntapatiwa majibu ya kuridhisha juu ya Swali lifuatalo. Utangulizi. Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye vigezo vingi sana vya kisheria pale mtu anapotaka kuanzisha kampuni. Yaani hatua 13 za kisheri...
  11. Jilanga

    Msaada kwa anayefahamu plz!

    Natanguliza heshima na salamu kwa wanaJF! Nilikuwa Chunya maeneo ya Matundasi nikakuta kuna Lodge moja mpya ya Kisasa maeneo ya Tumbi. Nilivyohoji nan mmiliki nikaambiwa kajenga kijana moja ambaye ni Diwan kata ya Matundasi Chunya! Wakazi wa pale wanadai kajenga kutokana na helo wanaolipwa...
  12. Jilanga

    Board ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu yakosa ufanisi na uwajibikaji.

    Natanguliza heshima mbele JF! Kero yangu leo Board ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB). Ukisoma Mission na Vision zake zimelenga kuwasaidia wananafunzi wa kitanzania wenye uhitaji! Lakini ukweli ni kwamba hii board imekuwa ikifanya kazi kwa ubabaishaji mkubwa kiasi kwamba...
  13. Jilanga

    Tanzania na urasimu.

    Tanzania ni miongoni mwana mataifa ambayo yapo makini sana katika usajili wa makampuni pamoja na biashara nyinginezo kwa kuzingatia kanuni na taratibu za kisheria. Kama inavyoelekeza visit www.doingbusiness.org. SWALI langu kwa wanaJF ikiwa ni kweli beaurocractic and legal practice are...
  14. Jilanga

    Economic development!

    There is no standard list of barriers that must be overcome b4 development is possible. But the most powerful single prerequisite without which economic development would be impossible is not politics or social structure but the access to the discoveries of modern science & innovantion! "The...
  15. Jilanga

    Msaada Tafadhali

    Great thinkers, Habari zenu! Tafadhali mlo na weledi katika taaluma ya Sheria, naomba kujua procedures kwa mtu aliyechezea kichapo cha mbwa mwizi! Kuna rafiki yangu jinsia ya kike but not gf baada ya kumfuma her bf akinyonga gashi mwingine alimletea shari by saa 18:15 akala kichapo hajui wapi...
  16. Jilanga

    Ole serikali ya jk!

    Wapendwa wanajf habari zenu! I hope nyote kwa uweza wa Mola mko pouwa! Ndugu zanguni nawaalikeni rasmi katika dua/maombi ya mwezi mmoja ya kuiombea serikali ya Jk kushindwa kukabiliana na changamoto za kileo kwani bila hivyo kadri siku zinavyosonga tunaweza kuwa na wakati mugumu zaidi! Nasema...
  17. Jilanga

    Naipa pongezi bodi ya mikopo ya elimu ya juu iendelee vivyo-hivyo

    Kwa mara ya kwanza kuwapongeza HESLB kwa kutuingizia hela ya field hata wale ambao hawakuwa na field! Nasema hivyo kwa sababu first year wanaofanya kozi nyingine tofauti na Education imekuwa magumashi kupewa hela ya field mpaka mwaka wa pili, Ila mwaka huu wamegutuka wakati watu wapo mahome kwao...
  18. Jilanga

    Hatimaye tcu waamua kuvunja ukimya!

    Kwa mujibu wa tume ya vyuo vikuu Tanzania, majina ya first round /1butch yako tayari ya wata-release on 4-August 2011! Na kuanzia tarehe 1 August 2011 wataanza kupitia majina ya second round/2butch mpaka 22 August 2011! Ambapo mjina yake watarelease on 4th September 2011! Applicants Karibuni...
  19. Jilanga

    Soma kwa makini na utuambie umedondokea wapi

    Habari zenu jamvin! Kwa utafiti ulofanya na tume Man & Psychological behaviours ya everest university U.S wamepata 3major groups of man in psychological perspective! Nayo ni kama ifuatavyo 1.SANGUINE, Ni kundi la binadamu wenye baadhi ya sifa zifuatazo: A*>Ni binadam wasio kuwa na chemba...
  20. Jilanga

    Jf time setting!

    Kwa wale wote ambao jana walipata kuhoje Jf wanatumia Gmt ya wapi! Jibu ni kwamba wengi wenu hamkuset time wakati mnajiunga! Kuwasaidieni: Adhere the following steps so as to get a righ time with regard 2 jf! 1. visit jf as usual! 2. At the top open Pc mode! 3. Open setting, after...
Back
Top Bottom