Search results

  1. MwanaHaki

    The ACACIA mining (barrick gold) saga

    COPIED VERBATIM FROM: Tanzania Business Ethics Report to President Dr. John P. Magufuli about the threat letter from Acacia Mining February 26, 2017 Acacia Mining, Barrick Gold, Brad Gordon, bulyanhulu mine, buzwagi mine, Endeavour Mining, John Magufuli, Kelvin Dushnisky, north mara mine...
  2. MwanaHaki

    Ujumbe huu una maana gani? "You're sending from Fake Source-message rejected".

    Waungwana, Ninamiliki simu inayotumia OS ya Android. Tangu jana mchana nimekuwa nikipokea ujumbe kutoka kwa namba inayodai kuwa "+1234" ikituma ujumbe unaosema "You're sending from Fake Source-message rejected". Sielewi ujumbe huu una maana gani. Je, ni jaribio la hackers kutaka ku-gain access...
  3. MwanaHaki

    Petition ya "BUNGE LIVE NOW"

    Ndugu Wananchi, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 18-1, inatamka ifuatavyo: Uhuru wa Mawazo 18.- (1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo...
  4. MwanaHaki

    Fastjet inajihakikishia kuporomoka kiuchumi kwa mwenendo huu

    Wakati shirika la ndege la fastjet lilipoanza shughuli zake hapa nchini takriban miaka 5 iliyopita, lilikabiliwa na changamoto nyingi, mojawapo ikiwa kuzushiwa tuhuma nzito, haswa kuhusu usalama wa ndege zake hizo. Nakumbuka, siku ya kwanza nilipopanda ndege ya fastjet, tarehe 23 Agosti 2013...
  5. MwanaHaki

    Africa Unite

    Why is it that African leaders have become power mongers, from Museveni to Nkurunzinza, from Ali Mohammed Shein to Mugabe? How dare they claim democracy while they rig elections, cancel official when the outcome is not in their favour, and imprison, put into house arrest or charge opposition...
  6. MwanaHaki

    Simwonei wivu Magufuli

    Rais Mteule wa Awamu ya 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli, atakuwa na kibarua kigumu zaidi kwenye utawala wake kuliko marais wote waliomtangulia, na hii ni kutokana na ukweli kwamba Magufuli anaipokea nchi ikiwa na hali mbaya ya kiuchumi kuliko hata ilivyokuwa wakati Baba...
  7. MwanaHaki

    UN issues Security Advisory to their staff in Tanzania

    This just in. UN message to their staff in Tanzania. The main points taken from the meeting are listed below: 1) All new UN employees must be deployed to Tanzania by 22nd October. After this date no new staff will be allowed to fly into areas outside of Dar es salaam. Moreover, will be...
  8. MwanaHaki

    Nape Nnauye na hadithi za Alinacha

    Jana, kwenye Taarifa ya Habari ya ITV, Nape Nnauye alionekana akizungumzia kuhusu suala la maadili. Alisema kwamba CCM haitasita kuwawajibisha viongozi wanaokiuka maadili ya uongozi. Kimsingi alisema watakaobainika kwenda kinyume na maadili watawajibishwa ipasavyo. Nadhani alikuwa anagusia...
  9. MwanaHaki

    TAMISEMI yaongeza kata mpya kimya kimya kuua ngome za upinzani

    Habari nilizozipata hivi punde ni kwamba Serikali ya CCM, kupitia TAMISEMI, imeamua kugawa Kata zilizopo kwenye sehemu ambazo vyama vya upinzani vinakubalika zaidi, yaani ngome zao, ili kupunguza idadi ya wapigakura kwa kuzigawa Kata hizo bila kuzitangaza. Mdau mmoja (jina limehifadhiwa)...
  10. MwanaHaki

    Msaada: Nashindwa kutoa malware kwenye laptop - Windows 7 Ultimate

    Wandugu Nimevamiwa na malware aina ya Win64:Sirefif au kitu kama hicho. Mwingine ni Win32:Gen Nashindwa kudownload chochote. Yaani browsers hazifanyi kazi. Kwa hiyo hata nikitaka kudownload MBAM au antimalware nyingine, inashindikana. Nilijaribu ku-run Avast Free kwenye Safe Mode, haikuweza...
  11. MwanaHaki

    Windows 7 Ultimate infected by malware

    Wandugu Nina tatizo la malware kwenye Windows 7 Ultimate. Natumia Dell Inspiron 1525 laptop. Sasa, over the past three days, in spite of having booted in safe mode and run Avast (free version), na kufanya cleaning up, bado tatizo liko pale pale. Siwezi kudownload software aina yoyote ile; huyu...
  12. MwanaHaki

    Kuhakiki Uhalali wa Kampuni za Kichina zinazotangaza kufanya biashara mbali mbali

    Waungwana Habari za asubuhi? Natumai wote hamjambo. Kuna kampuni ninataka kufanya nayo biashara. Wanaonekana kuwa "genuine" lakini nimefanya utafiti juu yao kwenye Google jana. Kampuni inaitwa Quingdao Unique Products Development Co. Limited, iliyoko kwenye jimbo la Quingdao, China. Kampuni...
  13. MwanaHaki

    Wavuti ya Tanzania Daima haiko hewani

    Mimi nina tabia moja "mbaya". Kila niamkapo hutafuta habari za siku kwenye wavuti mbali mbali, ikiwemo JF na Tanzania Daima. Leo nikapata mshtuko kidogo. Wavuti wa Tanzania Daima hauko hewani. Kwa nini? Nikachunguza. Nikapata jawabu. Kwa mujibu wa taarifa za usajili wa majina-mtandao (domain...
  14. MwanaHaki

    Serikali Tatu - Wanaodai Serikali Tatu zitaua Muungano ni Wanafiki

    Ndugu WanaJF, Ni jambo la kustaajabisha, haiyumkini kushangaza na kuduwaza, kusikia watu wazima, wenye heshima zao, wakipayuka ovyo kuliko hata kasuku, kana kwamba akili zimewaruka ghafla, kwamba mfumo wa Serikali Tatu utaua Muungano uliopo kati ya Tanganyika na Zanzibar. Kwa mujibu wa uzoefu...
  15. MwanaHaki

    Sababu za kutounga mkono maandamano ya amani yanayoitishwa na vyama vya siasa

    Sababu za kutounga mkono maandamano ya amani yanayoitishwa na vyama vya siasa PAMOJA na kuviunga mkono vyama vya siasa, hususan vile vya upinzani, napenda leo kugusia suala hili la maandamano “ya amani” ambayo, mara kwa mara, yamekuwa yakiitishwa na vyama hivi, kama njia mojawapo ya...
  16. MwanaHaki

    Tanzania's Public Safety and Security: Whither the classic 'fire brigade' approach?

    OPEN LETTER TO PRESIDENT JAKAYA MRISHO KIKWETE OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Tanzania's Public Safety and Security: Whither the classic "fire brigade" approach? By a Concerned Citizen YESTERDAY, Saturday, August 10, or was it today, Sunday, August 11, 2013? I can't remember; been having...
  17. MwanaHaki

    Waungwana mnijibu.... hili linanitatiza

    Wadau Napata shida kuelewa, jambo hili linanitiza. Unakuta mtu anaingia humu ndani na kuuliza swali ambalo hajalifanyia utafiti wa kina. Mtandao mzima wa Intaneti ni darasa tosha. Ukiwa na shaka unaingia na kufanya utafiti. Kuna "browser" kama vile Firefox, ambayo inakupa nafasi ya kuuliza...
  18. MwanaHaki

    Tutajengewa fly-overs na wajapani ili....

    Mdau fulani aliwahi kuninong'oneza kwamba, suala zima la ujenzi wa hizo "fly-overs" ambazo kwa sababu moja au nyingine zimechelewa... CCM walitaka ujenzi uanze mapema, hata kabla ya 2000, lakini 'wajomba' walisema wana vipaumbele vingine... ni kwamba, 'wajomba' wetu hawa kutoka Japan walitaka...
  19. MwanaHaki

    Umwagiaji watu Tindikali - Huu sasa ni UNAFIKI!

    Asubuhi ya leo, wakati ninapata kifungua kinywa, nilikuwa natazama kituo cha kimataifa cha habari, CNN International, kilichokuwa kikitangaza habari mbali mbali. Mojawapo ya habari ambayo ilikuwa ikirudiwa mara kwa mara ni hiyo ya watalii, wasichana, raia wa Uingereza, waliomwagiwa tindikali...
  20. MwanaHaki

    Uwekezaji binafsi katika Sekta ya Umeme na Utegemezi wa Wananchi kwa Serikali

    NAHAU ZA MSEMA KWELI Uwekezaji binafsi katika Sekta ya Umeme na Utegemezi wa Wananchi kwa Serikali Na Msema Kweli Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Reginald Abraham Mengi, aliwahi kutamka kwamba Watanzania wangeweza kuendelea na hata kufikia hatua ya kutoitegemea Serikali kwa jambo...
Back
Top Bottom