Shirikisho la soka nchini Ghana limewataka maafisa wa polisi kuingilia kati baada ya madai ya vyombo vya habari vya Uingereza kwamba mmoja wa maafisa wake alikubali timu ya nchi hiyo kucheza katika mechi zilizo fanyiwa ufisadi.
Mamlaka ya Soka nchini Ghana imekana madai ya jaribio lolote la...
NGURUWE MBARONI UGANDA KWA "UGAIDI"
Polisi nchini Uganda wanawafanyia uchunguzi nguruwe wawili kuhusiana na "ugaidi" baada ya wanyama hao kuingia katika eneo la bunge.
Taarifa zinasema nguruwe hao watoto walikuwa wamepakwa rangi za chama tawala na kubebeshwa mabango yanayowatuhumu...
Mkazi wa Kata ya Chamwino aliyejitambulisha kwa jina moja la Juma, akiwa amebeba mbwa kama mtoto katikati ya mji wa Morogoro jana.
Je! Unaweza kumbeba mbwa kama mtoto?
Mshahara wako 260,000/=
hand bag yako 140,000/=
una drive gx 110
hills zako 140,000 n above
una tumia note 3
den unaenda kanisani kuomba mungu wakati wewe mwenyewe unatenda miujiza...
Yamebaki masaa tu kuifikia kesho ambapo tutakuwa tunakumbuka kutawanywa kwa mwili wa mwanahabari wa iringa(channel ten)Daudi Mwangosi na jeshi letu la polisi.
Tutakukumbuka kwa mengi Mwangosi,
Tanzania itakukumbuka sana,
Iringa inakulilia kila siku,
Wanafunzi vyuo vikuu iringa...
A man returns home a day early from a business trip. It's after midnight.
While en-route home he asks the cabby if he would be a witness.
The man suspects his wife is having an affair, and he wants to catch her in the act.
For $100, the cab driver agrees.
Quietly arriving...
Mtoto wa shule: Anamuuliza babake,
et Baba kupata na kukosa kipi
bora ?
Baba: Bora kupata mwanangu.
Mtoto: Dah!! Afadhali, nimepata
mimba.
Baba hoi...!!
A teacher asks her class, "If there are five birds sitting on a fence and you shoot one of them, how many will be left?" She calls on little Johnny.
"None, they all fly away with the first gunshot."
The teacher replies, "The correct answer is four, but I like your thinking." Then Little...
Ungekuwa waziri wa Elimu kwenye nchi yako, ni jambo gani katika Historia ya Afrika Ungelifuta??
‪
1. Kuwa Ziwa Viktoria liligunduliwa na mzungu na hali wazungu waliwakuta waAfrika wakiishi.
2. Binadamu wa Afrika alitokana na Evolution ya Chimpanzee, mbona chimpanzee waliopo...
MTOTO: Baba kuna tofauti gani kati
ya kilichopo katikati ya mapaja ya
mama na ya kwako?
BABA: Kwa mama yako kuna geti la
kuingilia PARADISO na kwangu kuna
ufunguo wa kufungulia hilo geti...
Mtoto: Ulimpa mtu yeyote funguo?
Baba: Hapana! Kwanini?
Mtoto: Badili kufuli, yule jirani yetu...
KIBABU:Dokta nina tatizo sijui ni uzee au nini lakini kila mara najambajamba hovyo, ila uzuri wake ushuzi haunuki wala hautoi sauti
DOKTA: Eti ehhh
KIBABU: Hata hapa nimeshafutua mara tatu humu ofisini kwako
DOKTA: haya chukua hivi vidonge umeze halafu urudi wiki ijayo
KIBABU: Ntakuwa...
TUME ya Abbottabad imesema kuwa Osama bin Laden aliishi kama mtu wa kawaida bila wasiwasi wowote kwa karibu miaka 10 na aliwahi hata kusimamishwa na polisi katika eneo la Swat huko Pakistan kwa kupeleka gari kwa kasi mno, lakini hakukamatwa.
Ripoti hiyo iliyofichuliwa na Televisheni ya al...
wana jamvi ningependa mnijuze eti ni kweli nyoka anaishi milele endapo hatokabiliana na adui yeyote atakaemuuwa? maana nimelisikia hili kutoka sehemu isiyo rasmi ila ningependa kwa anaejua anijulishe....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.