Hapo nyuma nilikuwa na mazoea ya kwenda saloon fulani ambayo nilikuwa nimeizoea kama ilivyo kwa watu wengi. Mara zote nilipokuwa nanyolewa mashine ya kunyolea ilikuwa ikitolewa kwenye sterilizer ambayo huwa wakati wote kitaa cha ON (Chekundu) kinaonesha kuwa ipo ON na kwa hiyo ina maanisha...
Leo nimetozwa fine ya elfu 30 kwa kuoneshwa picha kuwa nili over speed eneo ambalo hakuna kibao cha speed cha kuonesha speed ya 50 inaishia (kibao cheupe). Ni madereva wengi walikuwa wakisimamishwa na kutozwa fine kwa eneo hilo kwa picha ambazo zilikuwa zikitumwa kutoka kwa mtu aliye pewa Camera...
Kesho ndiyo mwisho wa kupewa zile elfu 5, fulana na khanga ili tukajae kwenye mikutano ya vyama vya siasa ( kutumika na wana siasa). Kwa hakika hatutaziona tena mpaka uchaguzi mwingine ujao. Kama elfu tano ilipunguza makali ya maisha hilo lilikuwa ni kwa muda tu na sasa unarudi kwenye shida zako...
Sijawahi kuona kitu ninachoona leo, camera moja tu inatumika kuwaonesha viongozi wanao ongea, wananchi wanaposhangilia na kuambiwa wanyoshe mikono juu au kuitikia vibwagizo hawaoneshwi.
Chadema hawatakiwi kulipia kipindi hiki kwa gharama ya TV, labda walipie kwa gharama ya redio kwani ni sawa...
Nimewahi kusimuliwa kisa kimoja nikiwa kijana ambacho kilitokea maeneo ya Tukuyu enzi za Nyerere wakati wa mfumo wa ujamaa (Wanaokifahamu watanisahihisha). Kipindi hicho hakukuwa na maduka ya watu binafsi na watu walipata mahitaji yao kupitia maduka ya ushirika.
Kisa chenyewe ni kwamba...
Wakati wa utawala wa makaburu Afrika ya kusini makaburu walikuwa wanawabagua waafrika kwa rangi yao na hivyo kuwafanya ni watwana katika nchi yao. Waafrika walijaribu kila hali kwa njia ya amani ili kuleta ukombozi na baadaye wakatumia njia za maandamano lakini kwa mabavu ya utawala wa makaburu...
Kati ya sababu ambazo ziliifanya tume ya katiba kupendekeza muundo wa muungano wa serikali 3 ni maoni ya wazanzibar kuwa Serikali ya Tanganyika imevaa koti la muungano na hivyo mamlaka yake hayaonekani katika muundo wa muungano wa serikali 2 na hasa inapobidi serikali za washirika kujadili mambo...
Namba za usajili wa magari kwa sasa zimefikia herufi za kuanzia na C, sina hakika kama zimeishafikia CCM but I think bado hazijafika CDM. Wewe kama mwanachama au mpenzi wa CDM utajisikia vipi utakaponunua gari na wakati huo namba za usajili wa gari yako zikawa na herufi za CCM, mfano ukapewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.