Mfanyabiashara mkubwa wa vinywaji kwa jumla pia na rejareja mjini Dodoma ndugu Wense almaarufu Mselia amejipiga risasi kwa kile kinachoaminiwa ni ghadhabu ya shehena yake ya viroba iliyokamatwa na serikali hivyo kumpelekea kuchukua hatua hiyo.
Bwana ametoa,Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe...
Naamini wabunge wapo dodoma lakini hawaelewi hili swala la wakusanya kodi wao wanachokifanya,ukweli ni kwamba watu hawajakataa kupokea mashine za EFD kama serikali ilivyoelekeza,kinyume chake wamekuwa wanawatumia madalali wa mahakama kufunga milango ya wafanya biashara wa dodoma mjini kwa...
Kama ilivyotokea kwa wakazi wa dsm jana,wafanyabiashara wa dodoma hawajafungua maduka yao kushinikiza kuachiliwa huru kwa mwenyekiti wao bwana Johnson Minja.
Taarifa za ndani zinaeleza mwenyekiti huyo alisafirisha jana kutoka dsm kuja dom kwa ajili ya kufunguliwa mashtaka ya kushawishi...
Mangi mie nikazama kwa toto la kirangi,penda mpaka mtoto akawa apindui,ila kisichoridhiki huwa hakiliki hata ukijifanya mjuzi namna gani,alikua akiishi na dada yake,akamaliza form4,akawa anasomea mambo ya mapishi,siku moja akanipigia simu na kunieleza anamimba,nikamwambia haina shida avumilie...
Mambo ya udhurungi haya mnayoanza kuyaleta. Ulichojibu hujakiona katika post yangu?
Mimi nimeleta taarifa. Wahusika watapeana habari,haya mengine nakuachieni.
Kuna taarifa tena za uhakika kuwa uongozi wa CDA umewaonga watajwa hapo juu viwanja katika maeneo tofauti tofauti ili kuwaziba midomo.
Ikumbukwe kuwa CDA imekuwa ikilaumiwa sana juu ya ugawaji wa viwanja uliojaa dhuluma na manyanyaso yasiyo mithilika.
Kuna taarifa pia ya kigogo mmoja...
Mtoa mada umevurugwa, unataka kuuaminisha umma kuwa,kutolewa kwa shonza cdm ni kukiua chama, uhatari wa shonza unaupima kwa yeye kupokelewa na rais ccm?
Mada nyingine ni kuleta uchuro tu humu ndani, nachokiona nikuwa,shonza ataenda kuwa chakula ya wakubwa na kutajwa tajwa kwake kutawafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.