Search results

  1. Given Edward

    Nafasi ya ajira: Walimu wanahitajika

    Hello. Kuna nafasi za walimu kwa ajili ya kujiunga na shirika la MyElimu kufundisha masomo ya sekondari. Mwalimu awe na uwezo wa ufundisha masomo mawili, awe fluent kwenye kiingereza na mjuzi wa kutumia mitandao. About MyElimu MyElimu ni social enteprise yenye lengo ya kusaidia wanafunzi wa...
  2. Given Edward

    JKT Yatangaza Mafunzo Kwa Wanafunzi Wahitimu Kidato cha Sita 2015

    Soma zaidi: http://jkt.go.tz/images/MATANGAZO/1.pdf
  3. Given Edward

    Samsung galaxy note 4 launch after party in dar!

    Samsung wameandaa party ya uzinduzi kwa ajili ya Samsung Galaxy Note 4. I thought it would be great to share. hope tutakutana pale :) Events Name: Samsung Galaxy Note 4 launch Party in Dar Description: Samsung Mobile Tanzania brings you an exciting night out for Dar es salaam’s Elite- The...
  4. Given Edward

    Habari Mpya Kutoka TCU

    TCU wametoa taarifa mpya kuhusu wale ambao wamechaguliwa second round. Wamekiri ni kweli wengi waliokosa ni wale wa masomo ya PCB na CBG na wamewaambia nini cha kufanya sasa. Pia wana habari kwa waliochaguliwa first round. Habari zaidi hapa Habari Mpya Kutoka Tcu Kwa Wale Ambao Hawajachaguliwa...
  5. Given Edward

    Umechaguliwa wapi? Kutana na Wanachuo Wenzako!

    Nimeona ni vyema kuwe na uzi kwa ajili ya watu waliopangiwa post mbali mbali kujua wenzao wengine walipangiwa sehemu moja na pengine muanze kuwasiliana kabisa. Karibu!
  6. Given Edward

    January Makamba na Mohammed Dewji ni Miongoni Mwa Watu Wenye Nguvu Zaidi Afrika

    Tarehe 31/1/2014 jarida maarufu duniani kwa takwimu, Forbes lilitoa list ya "10 Most Powerful Men in Africa 2014". Kati ya hao 10 wawili ni viongozi wa kitanzania January Makamba na Mohammed Dewji.
  7. Given Edward

    The Media Needs Better Painters

    Earlier this month I went to visit different areas of the country along with a team from TYVA (Tanzania Youth Vision Association) The goal was to educate youth and get their view on the EAC Integration and participation on the local government. We made visits in Moshi, Arusha, Basutu, Babati...
  8. Given Edward

    Facebook Waanza Kuverify Pages

    Rais Kikwete mwenyewe kakutumia friend request?Sasa hivi mbona utajua kwa urahisi tu, shukrani kwa feature mpya ya Facebook : Verified Pages. Kama ilivyo kwa verified accounts za Twitter, verified Facebook pages zitakuwa zinawekewa alama ya tiki ya blue pembeni mwa jina la page hiyo. Alama hiyo...
  9. Given Edward

    Matokeo ya Kidato cha Sita YATANGAZWA!

    Baraza la mitihani hivi sasa linatangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2013. Matokeo hayo yatapatikana muda mfupi ujao kwenye tovuti yetu. Asilimia 93 ya waliofanya mtihani huo wa kidato cha 6 wamefaulu. Shule ya kwanza iliyoongoza ni Marian Girls ya mkoani Pwani na ya pili ni Mzumbe ya...
  10. Given Edward

    Kwa bloggers wote: Review hii

    Greetings, It has been a while since I last interacted na wanaJF humu, nilikuwa nashughulikia kitu ambacho leo ndio nimewaletea mnipe maoni yenu. Nimetengeneza website hii http://www.achuver.com ambayo ni news portal na pia itakuwa inadeal na TZ movies, Music, etc. Pia ina mini-social network...
  11. Given Edward

    Nani kawaambia???

    Jambazi kaingia kanisan na mtutu huoo! Akauliza, "Nani humu anataka kwenda mbinguni?" Waumini wote wakamnyooshea pastor. Pastor akajibu "NANI KAWAAMBIA? Mi nimesema lini?
  12. Given Edward

    LAPTOP Inaharibu MBEGU ZA KIUME(Proved!)

    Greetings JF Members. I've been hearing some rumors on streets about Laptops causing loss of fertility. At first I thought it's just some rumors from uswahilini (where most rumors start) but then I browsed the net and came up with the following detailed info. Males who place a laptop on...
  13. Given Edward

    Tovuti Ya TBC: Muonekano mpya

    Habari Wakuu. Katika nyakati za hivi karibuni website ya TBC, yaani http://tbc.go.tz imekuwa ikilalamikiwa sana na wadau kwamba ipo chini ya kiwango na hairidhishi. Wadau kama Mtazamaji na Kang walikuwa mstari wa mbele kuhamasisha maboresho ya tovuti ya TBC. Nimedesign website mbadala wa site...
  14. Given Edward

    GOAL-LINE technology YARUHUSIWA

    Masaa machache yaliyopita, officials mabali mbali wa mpira wa miguu walikutana Zurich kupiga kura na kuamua iwapo utumizi wa technology kuamua kama mpira umevuka mstari utumie. Matokeo ya mkutano huo ni kwamba mfumo huo umeruhusiwa kutumika na utaanza kwenye michuano ya Kombe la Klabu Bingwa...
  15. Given Edward

    Android Touch Screen spares

    Habarini wakuu, Simu yangu ya Android imepasuka kioo. Touch haifanyi kazi. Nimeshindwa kugundua ni model gani kwa sababu nje haijaandikwa maker na ikiwaka ni ANDROID. Point ni kwamba, nitapata wapi sehemu watakayoweza kunifungia kioo kipya? Ipo kama adios. Nitashukuru SANA atakayenisaidia.
  16. Given Edward

    Sony Xperia X8 inauzwa!

    Habari wakuu, sony Xperia X8 inauzwa kwa shilingi laki 3 na nusu. Mpya haijaguswa kabisa. PM kama upo interested. Inatumia android the lastest firmware and a very fast internet speed! Sarcastic comments kaa nazo.
  17. Given Edward

    Kwanini Wazungu wanatusimamia Uchaguzi wetu?

    Habari zenu wakuu, Kwa muda mrefu tu na imekuwa kama kawaida kuwaalika "wadau wa kimaendeleo" au "marafiki wa kimaendeleo" kuja nchini Tanzania kila kipindi cha uchaguzi na kupewa majina kama "International Observers". Kwanini hawa watu wanakuja kutusimamia? Je, wao hutuita kwenya kufanya...
  18. Given Edward

    JAMIIFORUMS.com INATUMIWA KUFANYA SPAMMING

    Leo asubuhi nimepokea email ambayo I'm pretty sure ni spam(+ilikuwa kwenye spam folder). Email yenyewe hii hapa: Hello My Dearest One Hello this is Joy who contacted you before at www.jamiiforums.com about relationship so its my pleasure TO CONTACT YOU AGAIN,How are you today over...
  19. Given Edward

    Presenting: PLAYSTATION 4!!!

    Sony kiukweli sasa wanataka ugomvi na Microsoft walipoamua kuleta next generation gaming console to the market. Wakati Playsation 3 ilipozinduliwa miaka 5 iliyopita(halafu sisi huku eti zimeanza kutamba mwaka 2010!),bidhaa ziliisha kwa karibia store zote, and as of June 31, 2011 kulikuwa na...
  20. Given Edward

    AIRTEL->TiGO rahisi kuliko AIRTEL->AIRTEL!

    Wakuu nimegundua hichi kitu: Ukipiga simu kutoka airtel kwenda airtel ni expensive sana tofauti na ukipiga airtel kwenda tigo. I know it sounds crazy lakini jaribu utaona. I can't recall the exact call duration but the expenses were definitely as i've said.
Back
Top Bottom