Search results

  1. Manwambele

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Habari mwalimu naweza kupata Iphone 13 promax unlocked unipe bei na gharama zote mpka kunifikia
  2. Manwambele

    Nyimbo mbili bora za muda wote zinazopendwa kwenye baa za Tanzania

    Nimecheka sana ulifikiria nini et? Uko sahihi kwa kiwango kikubwa sana yaan au basi.
  3. Manwambele

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    HD hyo vipi wadau
  4. Manwambele

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mm kwa sasa hii Tbc nimekubali ni HD kwangu inatosha sana naona wamerekebisha now.
  5. Manwambele

    Wanawake hawahitaji vingi, ni nyama ya ulimi tu basi

    Hii comedy kwa udhamini wa pespsi cola
  6. Manwambele

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Naona mambo bambam shusha episode nyingine ya mwisho kaka unaachia penye utamu.
  7. Manwambele

    Nimeamua kusaidia Mtu mwenye wazo la biashara bora - Fremu ya Biashara Sinza

    Mimi nichek pm wazo langu siliweki wazi kama hIvyo ni idea ambayo sidhanI kama watu wengi wa kipande hIcho wanafikiria.
  8. Manwambele

    Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Hapo mnatuhadaaa sawa na Konyagi uiweke kwenye chupa ya Mo energy ulevi ni ule ule.
  9. Manwambele

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Hapo mm yaan nachoka ila bora huyu aliokili kuliko wale wanaoleta unafki wakuhadaa watu ama kweli kwenye msafara wa mamba hata kenge wapo hapa ndipo nimeanza kuwaelewa wahenga.
  10. Manwambele

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Kagari cha mwaka wa juu jaman mambo ya kutembelea gari ya mwaka 1999 tuyaache jaman sahv tutembelee gari za kipindi cha utawala wa J.K walau jaman wengine mpaka leo wako na magari ya utawala wa Mkapa na Mwinyi .
  11. Manwambele

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Wakuu kagari kangu nauza haka amkaoni au mniungishe basi nauza bei nzuri sana. Muwachukulie mabebez wenu hata kwa road trip kanafaa sana jaman. Make; Mazda Verisa Year ; 2010 Engine : 1498 Gear ; Automatic Wheel drive; 2 Wheel drive Colour ; White Odo ; Low milleage Exchange deal allowed...
  12. Manwambele

    Car4Sale Nauza gari nzuri mno

    Karibuni gari bado ipo nataka aipate member wa humu jaman karibuni kukagua buree gari nzuri saana.
  13. Manwambele

    Car4Sale Nauza gari nzuri mno

    Ni hiyo rangi nyeupe kaka hyo ya beforward nimetaka kuonyesha thamani ya gari husika coz kwenye site kwa 2010 hiyo ndio gari ya kwanza so nimeichukua hyo hyo. Sorry for inteference
  14. Manwambele

    Car4Sale Nauza gari nzuri mno

    Karibu inbox kaka au nchek whatsap
  15. Manwambele

    Car4Sale Nauza gari nzuri mno

    Karibuni tangazo pia lipo kwenye J.f garage nimeweka link hapo chini lina maelezo mengi zaidi pia unaweza pitia ukitaka kushiba maelezo,
  16. Manwambele

    Car4Sale Nauza gari nzuri mno

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2022014/
  17. Manwambele

    Car4Sale Nauza gari nzuri mno

    Make; Mazda Verisa Year ; 2010 Engine : 1498 Gear ; Automatic Wheel drive; 2 Wheel drive Colour ; White Odo ; Low milleage Exchange deal allowed. Imported From japan. Price ; 11.5with registration, neg. Whatsap 0677 210276 au 0763 950219 kwa picha zaidi , au maelezo yoyote au kukagua.
  18. Manwambele

    Car4Sale Nauza gari nzuri mno

    Make; Mazda Verisa Year ; 2010 Engine : 1498 Gear ; Automatic Wheel drive; 2 Wheel drive Colour ; White Odo ; Low milleage Exchange deal allowed. Imported from japan straight. Changamoto, Tairi ya upande mmoja nyuma rimsport yake imezingua melini so ya kureplace nazo pia zipo. Na service ya...
  19. Manwambele

    Live from St Mary's stadium,,Uganda vs Tanzania at 1600 EAT

    Hv manula kwenye hili goli la tatu mmemuelewa ndugu zangu yaan kama anacheza rede jinsi alivyoruka na kuacha lango wazi bora tumefungwa wachezaji nao watasingizia maumivu ya tozo .
  20. Manwambele

    Car4Sale Gari unauzwa Toyota Raumu 8M

    Mm mpambabaji kwa hyo bei kaka ngumu mm nchek pm kama uko serious unauza na wewe ndo uwe mmiliki
Back
Top Bottom