Search results

  1. S

    Chuo cha Mipango kimetema majina tayari

    Chuo cha Mipango kimetoa majina ya wale ambao watajiunga hapo. Hayana tofauti na yale yaliyotolewa na Airtel yatosha, na bado! Tembelea website yao Institute of Rural Development Planning.
  2. S

    Tetemeko la ardhi mjini kigoma

    Nimejulishwa kuwa tetemeko la ardhi limetokea muda huu (saa 6.18 mchana) kule Kigoma, hasa maeneo ya Ofisi za Mkuu wa Mkoa. Hamna madhara yaliyotokea hadi sasa.
  3. S

    Msaada wa DRIVERS

    Viongozi naomba msaada wenu wa kupata drivers kwa ajili ya "HIGH SPEED EDGE/GPRS MODEM maximum transmitting speed 460.8 KBps". Nimejaribu bila mafanikio kui-google.
  4. S

    Shukrani

    Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Uongozi wa JF wa kunipandisha "status" kutoka "member" hadi "senior member". Bravo JF!
Back
Top Bottom