Search results

  1. mbweta

    Simu yangu inagoma 3G network

    Naombeni msaada wenu.Ninatumia LG_P970 inatumia android kama OS tatizo langu kubwa simu yangu saiz ipo slow sana hasa kwenye internet connection tofauti na hapo mwanzo ambapo nikitumiwa file kwenye watsapp au sehem nyingine inatumia mda mrefu kudownload tofauti na zamani file la 4mb ni dakika...
  2. mbweta

    Je hili kweli kuhusu ndoto..

    Jaman nilishawahi ambiwa kuwa katika ndoto unaweza waota watu mbali mbali lakini sio mpenzi wako, mie binafsi hili jambo linakaukweli fulani sijawah muota mpenzi wang. Pia wanasema ukimuota mpenzi wako au mtu unae mfwatilia ili awe mpenz wako humpati na kama tayari ni mpenzi wako basi mtaachana...
  3. mbweta

    Mshahara CPA holder!

    Jaman naombeni mnijuze mshahara wa Mtu mwenye Certified public accountant (CPA )Unatakiwa uanzie ngap akiwa na experience au hana? Pia kwa waliorecord inakuwaje nao.
  4. mbweta

    Kampuni ya Kukutafutia mchumba.

    Kutokana na ugumu wa maisha nimeamua anzisha kampuni ya kutafutia watu wachumba gharama itafwatana na specification unazotaka. Watu wengi wametumia huduma yetu na leo wanafurahia ndoa zao. Twawakaribisha wote, nw tupo dar ila branch zetu za Mikoani zinafunguliwa ivi karibuni.
  5. mbweta

    Orijino Komedi Fanyen tamasha.

    Mie nimeguswa na sana nilivoona Vengu anaumwa kiasi kile bila msaada wowote kutoka kwa fans weng wa OK .Nawaomba Ok wafanye tamasha mikoa yote kwa ajili ya kuchangisha pesa angalau akapate matibabu nnje kuliko kuendelea ng'atwa mbu wa Muhimbili.
  6. mbweta

    Ulilipendea nin jina lako la JF

    Yan nimekutana na majina mazuri na mabaya hapa Jf, mengine yanafurahisha ukilisoma tu waanza mjengea picha alivo. Mie binafsi wakati nipo O-level kulikuwa na mdada anamasaburi balaa tukawa tunaita Mbweta tang hapo jina likawa lipo kichwana nlivokuja jiunga JF nkaona nilitumie. We je ni kipi...
  7. mbweta

    Hivi Tanzania kila jambo lazima tuzaminiwe?

    Mara ya kwanza kulikuwa na tangazo la kuvunja ukimya hasa kipind cha kombe la dunia lilidhaminiwa na watu wa marekani, saiz kuna tangazo/mabango ya funga mkanda limedhaniwa na watu wa umoja wa ulaya yani sie kufunga mkanda au kuvunja ukimya mpaka mtu atuambie?
  8. mbweta

    Jaman huu sio wizi kweli?

    Nimepokea sms inasema.`YOUR CELL NUMBER HAS WON 415000 POUNDS FROM NOKIA-UK PROMO.FOR CLAIMS SEND YOUR DETAILS TO OUR EMAIL; nokiaukcashoff@gmail.com imetumwa kutoka namba+4916096535804. Je kuna m2 mwingne yoyote ambae katumiwa sms hii? Na wanahuakika gan natumia nokia? Jaman mwenye kujua anijuze.
  9. mbweta

    Sala ya Usiku.

    Kuna mtoto mmoja alikuwa mvivu sana kusali wakati wa kulala kwa sababu ya usingiz na sala kuwa ndefu, hivo akaamua kuandika sala kwenye karatasi na kubandika ukutani chumbani hivo anavolala anasema 'Mungu soma pale mie nalala' huku akioneshea ile karatasi.
  10. mbweta

    The student

    After terrific struggles,the student finally finished his examination paper, and then, at the end, he wrote;'Dear Professor- If you sell any of my answers to the funny paper, i expect you to split fifty-fifty'
  11. mbweta

    Mambo mpwitompwito

    Jana kuna dada aliinama kwenye daladala sijuh alikuwa anaokota nini huku nyuma nguo ikafunuka kucheki mkanda wa chupi umeandikwa hivo.
  12. mbweta

    Tofauti na Mategemeo yang!

    Habari zenu jamanii. Mie kuna dem nlikuwa namfukuzia mda mrefu sana na ni mzuri sana tu. Nikabahatika kumpata ila nkagundua anatatizo katika mwili wake yani Mwanamke kapooza wabaridi hata nimkumbatie vip yan hana joto tofauti na wanawake wengine unakuta mtu wa moto kwel kwel kama jiko. Mara ya...
  13. mbweta

    Kisa cha Pweza Paul kufariki

    Eti kisa cha Pweza (Paul) kufariki aliambiwa atabili ni lini Tanzania itafika kombe la Dunia? Akazimia mara 3 alipozinduka akakuta wameleta na jez kabisa atabili vizur akizimia tena na mauti kumkuta.
  14. mbweta

    Msaada jamani

    Nina rafiki zang walizaliwa mapacha wana asili ya kihindi. Inasemekana mama yao alikuwa na huusiano na mhindi m1 ambaye ni tajiri tu. Lakin kutokana na wahindi hawaruhusiwi kuzaa nnje ivo kuogopa kutengwa na wahindi wenzie akaingia mkataba na yule mama akampatia pesa kias hakikujulikana ila...
  15. mbweta

    Ladies be honest!

    Kila nikiona post ya m2 anatafuta mchumba nakimbilia jinsia nakuta ni wanaume kwa wasichana nadra sana. Je wakina dada ikitokea umempenda m2 kwel waweza mwambia direct?
  16. mbweta

    Hesab za mbinguni

    Jamaa mmoja alipata nafasi ya kwenda mbinguni akakutana na Mt Petro aliye kabiziwa funguo za mbingun na dunia na mazungumzo yao yakawa hivi. Jamaa: Nadhan weye ndie Mt Petro? Mt Petro: Ndio mimi ndie. Jamaa: Umewezaje kukaa hapa getini miaka yote hiyo? Mt Petro: Huku mbinguni miaka elfu ni...
  17. mbweta

    Chemsha bongo

    Nitajie gundi ya maji huijuayo? Jib ntatoa within next 30min.
  18. mbweta

    Bora uzuri au tabia?

    WanaJF naombeni mnisaidie kwa ili nabishana sana nadadazangu wao wanataka niwaletee mwanamke mzuri tabia sura yoyote, wakati mie naamini mwanamke sura tabia ntambadilisha mana naogopa kuna wanawake wengine tabia utapenda ila sura mhh balaa,naogopa kuwanyima watoto raha kama wakifwata sura hiyo...
Back
Top Bottom