Search results

  1. Halfcaste

    Ndugu yangu ana minyoo ambayo haiponi tusaidie

    Ndugu yangu ana minyoo ya Trichiura (Roundworms), anawashwa mkunduni anajikuna sana. Amepoteza weight. Ametumia kila aina ya dawa zisizokuwa na idadi kutoka kila nchi no relief. Madaktari wa Tanzania hawana msaada kwake. Ni zaidi ya mwaka sasa .Za mitishamba ndo kabisaa. Je, afanyeje msaada...
  2. Halfcaste

    Tafakuri Pembuzi: Ni rahisi kupunguza Mawaziri ila siyo Wizara

    Nimesikia na nimepitia maoni ya watu wengi kuhusu Mh.Rais JPM kuhusu kupunguza Wizara hadi 15. Lakini wengi wetu hatuelewi kuwa hata Wizara ukiipa jina sijui Tume au Idara au Agency bado gharama za uendeshaji ni zile zile, watumishi ni walewale na gharama za uwekezaji katika Kitengo hicho ni...
  3. Halfcaste

    UKAWA, Goli la Mkono hilooo! Msipokuwa makini kwisha

    Kwa upande wa Jiji la Mwanza Wasimamizi wa Vituo ambao ni Walimu na wale Watakaoajiriwa kutoka Mtaani wote ni CCM. Maafisa Elimu wanawapigia simu Wakuu wa shule kuhusu itikadi za vyama za walioomba kusimamia vituo vya kupigia kura. Kama ni UKAWA hapati nafasi kama ni CCM anapewa nafasi. Wale wa...
  4. Halfcaste

    Good News: Kwa mara ya kwanza mke wangu, amejiandaa kumpigia CHADEMA

    Sijawahi ona mke wangu anashabikia Chadema, anamiliki kadi ya CCM lakini cha kushangaza leo katika hali isiyo ya kawaida anamtaka Lowasa.Baadae kaja shoga yake nae pia lugha ni moja. Vipi wenzangu huko majumbani na mtaaani kwa ujumla?
  5. Halfcaste

    Diwani machachari wa CCM kata ya Kamachumu, Muleba avua gamba na kuvaa gwanda

    Hii ni kutokana na kutoridhishwa na utendaji ndani ya chama hicho, msuguano wa muda mrefu kati yake na Wabunge wa Muleba, Prof.Tibaijuka na Charles Mwijage n.k Aidha diwani huyu ni hatari sana kwa ushindi wa CCM wilayani humo anakubalika sana kuliko hata hao wabunge.
  6. Halfcaste

    Afisa Polisi mwenye cheo amkata vidole vyote vya mkono mtumishi wa ndani

    Waandishi wa habari tafadhari fuatilia habari hii kituo cha polisi Nyakato MWANZA ili kijana huyu aweze kupata haki stahiki. Mfanyakazi huyu wa ndani wa kiume amekatwa vidole vyote na Afisa wa Polisi wa kike kwa tuhuma za kumwibia fedha. Kama Afisa wa polisi anatenda unyama huu je, raia wa...
  7. Halfcaste

    Watanzania nisaidieni kuhusu hawa Savingfoundation,sijui nimetapeliwa?

    Nimejaza form ya mkopo online kwa hawa jamaa wanajiita ''SAVINGFOUNDATION'' ambapo wanasema wanatoa mkopo ndani ya dakika 45,nimelipa ada zote shilling 37,000/= lakini leo siku ya pili cjapata mkopo kupitia tigopesa yangu.Je,nimeishatapeliwa,jamaa wanatumia nembo ya taifa.
  8. Halfcaste

    Kiwanja kinauzwa million 4.5

    Kiwanja chenye eneo la 20*20 kinauzwa eneo la Mbezi Makabe,tayari eneo hili lina makazi.Kama wewe ni mnunuzi ni PM
  9. Halfcaste

    Matukio ya uchunaji ngozi watoto wilayani Muleba, Kagera yadhibitiwe!

    Kumekuwepo na matukio mbalimbali ya kupotea kwa watoto na kukutwa wamechunwa ngozi wilayani Muleba, hasa maeneo ya Kamachumu na Muhutwe kiasi cha kufanya wakazi wa maeneo haya kuishi kwa hofu kubwa. Hivyo, tunaomba vyombo vya usalama kuigilia kati na kukomesha haraka vitendo hivi.
  10. Halfcaste

    Ndugu wasomi mbona submision ya form kuappeal bodi ya mikop inakataa?l

    Tafadhali naombeni msaada kama kuna mtu kafanikiwa ku-appeal
  11. Halfcaste

    CHADEMA: Mkipitisha bajeti hizi hamfai kupewa nchi 2015

    1.Bajeti ya Wizara ya Madini na nishati -nguzo za umeme tuna nunua kati ya 900,000 na 1200,000,je ni haki 2.Bajeti ya Wizara ya uchukuzi na Wizara Viwanda na Biashara -bei za ushuru wa kuingiza magari zimekuwa za kumkomoana mtanzania asiweze kununua gari.hadi leo hii ni Watanzania 4 kati ya...
  12. Halfcaste

    Mwanza;Aliyekamatwa na meno ya Tembo leo jijini hapa kufikishwa mahakamani

    1.Ingawa anagawa vitalu kinyume cha sheria anakula bata. 2.Aliyetorosha twinga na anyama wengine anapeta mtaaani.Its totally unfair,we are exercising double standards!
  13. Halfcaste

    Je ni halali Nape kutangaza uteuzi wa makatibu Mikoa?

    Naomba msaada RS(regional secretariat) ni kitengo cha CCM kama chama au maana nimeangalia tbc nakumwona Nape akitangaza uteuzi wa hao makatibu wa Mikoa Mipya.am confused!!
  14. Halfcaste

    Muleba: Waislam Wilayani hapa watofautiana kuhusu MOU

    Baadhi ya Waumini wa dini ya Ki-islam wamepokea wameshindwa kuelewa kuhusu maandamano ya kupinga MUO,wengi wao wakisisitiza kuwa hawaoni sababu za kupinga MOU.Muleba inazohospital kubwa za misheni(mission) zipatazo tatu ambazo ziliingia mkataba na serikali ili kusaidia katka kutoa huduma ya afya...
  15. Halfcaste

    Mh.JK kupandisha ushuru wa Magari ya Mitumba Tanzania 2005 nini faida??

    Mh.Rais J.Kikwete baada ya kuapishwa 2005,alihutubia Bunge na kutangaza kuongeza ushuru wa magari ya Mitumba(recondition cars) yaingizwayo tz kwa kisingizio kwamba 'yanachafua mazingira,na vilevile kuwa repair yake inagharimu uchumi'. Ushuru ulipandishwa na uko juu.Leo hii tunaona watanzania...
  16. Halfcaste

    Wahaya kutoa tamko kuhusu kuonewa kielimu baada ya uhuru

    Baada ya uhuru tumeshuhudia mtaala wa elimu ukipandisha alama za ufaulu kuingia sekondari kwa wakazi wa mkoa wa Kagera kwa kile serikali ilichokiita eti ni sera ya kuleta usawa kielimu Tanzania nzima.Kwa mfano wakati huo mkazi wa Kagera alipaswa kuwa na alama za ufaulu 90,mkazi wa eneo jingine...
Back
Top Bottom