Search results

  1. Izc

    Nanunua Simu

    Habari wanajukwaa, nahitaji kununua simu kama kuna mwenye simu mpya au used(lakini iwe katika hali nzuri). Bei yake i-range kati ya 160,000- 180,000. Niko Bukoba.
  2. Izc

    Ni wakati wa Nape kukaa na Membe na Sophia Simba ili kuiteka kanda ya kusini

    Nape bado ni kijana mdogo, ana nafasi ya kujiimarisha zaidi kisiasa. Binafsi ningemshauri kuungana na Benard Membe, Sophia Simba na Mama Salma ili kujiimarisha zaidi na kuhakikisha wanaiteka kanda ya kusini. Kama Lowassa kwa kushirikiana na UKAWA wameweza kuiteka Kaskazini, mbinu zile zile...
  3. Izc

    Pro. Muhongo muangalie mkurugenzi wa TANESCO Kagera

    Nakumbuka pro. Muhongo alitoa kauli ya kutathimini utendaji wa wakurugenzi wa TANESCO kila baada ya kipindi cha miezi kadhaa. Naomba tathimini hii iuangalie mkoa wa Kagera hasa wilaya ya Bukoba. Tangu Jumamosi mpaka leo Jumatatu hakuna umeme kabisa hapa Bukoba. Kwa mwendo huu Bukoba yaweza...
  4. Izc

    CHADEMA ikigundulika mnadanga, kwenye hili hamtapona

    Kumekuwa na maneno kwamba uchumi unaenda vibaya na kwamba kuna mtikisiko wa uchumi. Hizi habari zimeenea hasa katika mitandao huku mamlaka rasmi zikikana taarifa hizo. Siyo hivyo tu lakini hata wataalamu wa maswala ya fedha, uwekezaji na uchumi hatujawasikia wakilizungumzia hili. Siyo hao tu...
  5. Izc

    Hii ndo njia pekee ya raisi kuisaidia nchi na watanzania katika mkwamo wa uchumi

    Tukubali kuwa kuna kila viashiria vya nchi kuanza kuingia katika mkwamo wa kiuchumi. Na mkwamo huu utakuwa mbaya zaidi endapo changamoto zinazosababisha hazitatatuliwa. 1.Hakuna mazingira rafiki kwa watu wenye ushauri hasa wale ambao ushauri wao unapingana na mawazo ya raisi. Tanzania hii ina...
  6. Izc

    Wiki hii ilikuwa ya CHADEMA, CCM wamepoteza

    Tangu mwanzoni mwa wiki hii mpaka sasa wiki inaisha CCM wamepoteana hapa Jamii forums. Wameshambuliwa kila kona, kila idara, kila sehemu. Kuanzia Bilion 6 aliozoandika Lizaboni kwamba zimetolewa na malkia wa Uingereza na serikali ikaja kusema jumla ya hela zote za a/c ya maafa ni 5.4B...
  7. Izc

    Kumbe maandamano ya Wamarekani hayalengi kumpinga Trump!

    Maandamano ya Wamarekani dhidi ya Trump yameingia siku ya tatu sasa. Maandamano hayo yanaonekana kuwa na dhima kuu 3: 1. Wengi wa waandamanaji hasa hawapingi ushindi wake ila wana hofu kuwa utekelezaji wa sera zake kama alivyohaidi wakati wa kampeni zitawaumiza. Hili liko dhahili kabisa, mfano...
  8. Izc

    CCM na CHADEMA mnaharibu biashara na uchumi wetu

    Habari wanajukwaa, Kuna baadhi ya watu ambao tumekuwa kukikusanya visenti kidogokidogo ili kuwekeza katika biashara. Lakini kwa mazingira yalivyo ni vigumu kuwekeza. CHADEMA wanasema uchumi umeporomoka na kwa mazingira hayo huwezi kuweka mtaji katika uchumi ambao umeshuka na hautabitiki...
  9. Izc

    Sasa UKAWA wameelewa kuwa kususa hakuwezi kuwasaidia

    Vyama vinavyounda UKAWA vimekuwa na tabia ya kususia vikao na shughuli zinazoendeshwa na CCM isivyo haki. Mfano waligomea vikao vya bunge maalumu la katiba, tumewaona wakitoka bungeni na kuacha shughuli za bunge zikiendelea, walisusia uchaguzi wa raisi Zanzibar na hata leo wametoka katika...
  10. Izc

    Mporomoko wa vyuo vikuu Tanzania?

    Wasalaam wanajukwaa. Katika orodha ya vyuo bora Africa iliyotolewa mwaka huu 2016 na mtandao wa Times Higher Education (THE), Tanzania haina chuo hata kimoja katika orodha hiyo tofauti na miaka ya nyuma. Orodha ya Times Higher Education duniani inapima vitu kama =>mafunzo, =>utafiti, =>na...
  11. Izc

    Kwa wote wenye Computer Programming skills(CS, SE, CE and the like)

    Habari wanajukwaa, Nahitaji kubuild solid foundation katika maswala ya "COMPUTER PROGRAMMING". Nimeamua kusoma degree program mwaka huu ili niweze kupata hizo skills. Ningetaka zaidi kusoma distance training na nafasi hiyo naona ipo OPEN UNIVERSITY pekee. Na challenge ni kwamba hicho chuo...
  12. Izc

    Je PGD in Scientific Computing ya UDSM Inaweza Kum-bridge Mwanafunzi Kusoma MS. Computer Science?

    Salaam wana jukwaa. Ningependa kujua kwamba je, PGD in Scientific Computing inayotolewa UDSM na college ya CONAS inaweza kumsaidia mwanafunzi ambaye hakusoma BS. CS kusoma MS. in Computer Science? Mfano nimechukua BSc. Maths& ICT alafu nkachukua PGD in Scientific Computing, je naweza kusoma MS...
Back
Top Bottom