Search results

  1. M

    Mke analalamika house girl mchawi!

    Habari za hasubuhi wapendwa, Dunia hii haishi visa , kuna jirani yangu kamtimua mke na watoto kabaki na house girl, mke alipotaka kumchukua house girl ili akamsaidie kulea watoto kwani naye ni mfanyakazi baba kagoma, kang`ang`ania kubaki na house girl. Baada ya kuondoka huyo mama, house...
  2. M

    Mapenzi ya mpeleka polisi

    Rafiki yangu kawekwa ndani Kisa kamkashifu na kumtukana mwanamke anyehisi anatembea na mumewe Haki iko wapi hapa?
  3. M

    Tabia hii ya Wachina mh

    Napenda sana chakula cha wachina but tabia yao hii inanishinda Nimekuwa nikienda kwenye hotel zao mara kadhaa kupata kitu roho inapenda but Karibu mara mbili sasa nimeshindwa kula chakula nilichoagiza katika hoteli za kichina kwa sababu,ya tabia ya Wachina ya kutoa kamasi na makohozi mbele...
  4. M

    Mtoto wa babu ataka ucashier

    Mzee wakichaga uvumilivu umemshinda, baada ya kupigia hesabu mia tanotano za babu, kaingiwa na uchu kaamua kumtoa kijana wake wa pekee mwanafunzi kwenda kwa babu na kudai eti ni mtoto wa babu alimzaa long huko uchagani. Babu hakatai kondoo, kasema ok ,utasaidia kwenda kutafuta dawa na kuni...
  5. M

    Wasichana wa Tabora girls 1988-1990 wapi?

    Jamani na wakumbuka madada wa warsaw mko wapi?
  6. M

    Ni mimi tu!

    Jamani cjaelewa kabisa yaani P.A.Y.E kwa wafanyakazi ni kubwa mno! Yaani inatisha, mie kila nikipokea salary slip yangu nazidi kuichukia serikali kwa kunikata pesa zangu tele na huku maisha yakizidi kubana ...Jamani hivi wafanya biashara wanabanwa hivi?
  7. M

    Kwanini wafanye hivyo!

    Nilibahatika kumsindikiza rafiki yangu duka la jeshi ambako anaamini wanauziwa bidhaa kwa bei ya chini. Maduka yote yanamilikiwa na wahindi, Nilichoona Bidhaa zao nyingi zina ubora hafifu, Na bei zao zingine nikama sehemu zingine tofauti ni ndogo sana. Nionacho Hawa wahindi wanacheza na...
  8. M

    Kwanini hii nayo imechakachuliwa?

    Nimeweka thread yangu yenye kichwa "Valentini ya 14/2/2011" Jamaa yangu karudi 6.30 amelewa hoi, kaniletea ua lililochakachuliwa hii imekaje jamani? Hii thread inaubaya gani hadi iondolewe?
  9. M

    Vitendo ndani ya School buses!

    Kuna malalamiko mengi kuwa watoto wanatendewa vitendo visivyo vizuri ndani ya school buses . Nasikia kuna kesi tele zinalipotiwa na huwa zinamalizwa juu kwa juu, juu ya ukatili wanaofanyiwa watoto wadogo ndani ya hizi school buses. Je hii ni kweli wanajamii? Nilichofikiri haraka ni...
  10. M

    Wengine wamebakwa

    MIMBA ZA WASICHANA WADOGO, HUWA NYINGI ZINAKUWA HAZIJAPANGWA, Wengine wamebakwa wakapata mimba, Wengine wamedanganywa kwa upeo wao wakapata mimba We Wengine uelewa mdogo juu ya mimba wakapata mimba[/SIZE][/FONT] Wengine mazingira magumu yanayo wapata katika umri mdogo wanajikuta...
  11. M

    Niliyo yaona Agakhan Hospital

    Jamani mie si mwendaji sana wa hospital ya agakhani. Lakini kwa haya niliyo yaona kwa mara chache ninazoenda kutibiwa pale yananikera sana. Labda miye sina bahati. Siku ya kwanza nimeenda pale nilikaa zaidi ya masaa manne na nusu sijatibiwa. Skuingine nimekaa karibu siku nzima naangaika na...
  12. M

    Mjane lazima atakaswe!

    Nimesikia hii katika pitapita yangu but sijamini, eti kuna baadhi ya mila zetu hapa Tanzania kama mtu kafiwa na Mumewe, kuna watu rasimi wanao itwa watakasaji, Wanatakiwa kutembea na mfiwa kama kuondoa nuksi ili aweze kuolewa tena . Jaman na janga hili la ukimwi haya mambo yapo kweli hapa...
  13. M

    Tukiwa tumejiandaa kutii kiu zetu

    Jumamosi tumetoka na binamu zangu na wadogo zangu, tumeenda sehemu tukiwa tumejiaandaa kujirusha . Tumeagiza vinywaji kila mtu kwa jinsi alivyo taka kutii kiu yake. Tukiwa bado tunaendelea muhudumu akatokea "akina dada mmepata offer kutoka meza ile pale, but nyie watano mnaambiwa mbadilishe...
  14. M

    Kaniomba mwenyewe

    Rafiki yangu kaniomba nimsindikize benki achukue pesa akanunue kiwanja kaenda kaunta kachukua pesa kanituma nikamnunulie maji akidai ananisubiri hapo ndani ya benki kwani kuna receipt anaingojea. Narudi simkuti nampigia cm hapokei, baada kama ya robo saa ananipigia cm eti alishaondoka...
  15. M

    Wanapeleka wapi ?

    Hivi hawa mgambo wa city wakichukua vitu vya wamachinga vinaishia wapi? Na kwanini wachukue vitu.... Na sio watu? Mara nyingi nimepita kariakoo naona mgambo wamebeba mali za watu mbalimbali na hakuna watu waliokamatwa... Hii imekaaje?
  16. M

    Shame!

    Kwa kamanda wa polisi kukiri kuwa maandamano ya Chadema Arusha yaliruhusiwa. Nakwasababu nyepesi nyepesi eti chadema hawakuconfirm njia watakazo piata ni ujinga na aibu kwa hiki chombo. Karne hii ya urahisi wa mawasiliano IGP na RPC kuwa na kauri mbili tofauti ni aibu sana... Hawa mapolisi...
  17. M

    Anataka mimi tu

    Mpenzi wangu anataka kupigiwa sim kila siku yeye hapigi hata! nikiacha piga analalamika sana Jaman haya mapenzi yamekaaje?
  18. M

    Karibuni migombani

    Siye tushafika . Miye na kimei tuko hoi leo chai ilikuwa mbege mbuzi kwenda mbele karibuni jf, x mas iko huku!
  19. M

    Elections 2010 Hii ya huyu waziri ni kiboko!

    Leo hasubuhi clouds kipindi cha magazeti nimesikia waziri wazamani wa mambo ya ndani ameenda ofisini kwa mbunge wa mwanza nymagana na kung`oa vitasa na kubeba picha ya rais kwa madai kuwa alivinunua mwenyewe.. Je imekaaje hii?
  20. M

    Hamuongeleshi

    Rafiki yangu mmoja baada ya kuzalishwa watoto wawili tulimshauri kuhamia kwa jamaa ambaye alikuwa anaonyesha dalili za kumbwaga na wanawe. Tangu huyo dada ahamie hapo jamaa hamuongeleshi Naomba msaada tumshaurije?
Back
Top Bottom