Search results

  1. geranteeh

    Sababu zinazopelekea engine ya gari yako kuzima ghafla

    Boss vipo vitu vingi ila hivyo ni vikuu sasa kama ishu ya timing kama hivo unajazia sio mbaya
  2. geranteeh

    Matatizo ya injini na gari ambayo hutakiwi kupuuzia, Jibu la shida ya Dualis

    Unaweza usielewe kichwa cha habari lakini pindi utakaposoma mpaka mwisho utaelewa hivyo nakusihi usome mpaka mwisho. Katika chombo chochote kinachoitwa cha moto injini ni Moyo wa chombo hicho, Hakika hakutakuwa na Gari, Pikipiki ama Jenereta kama hakuna Injini katika chombo husika. Binafi kama...
  3. geranteeh

    Kwanini ununue spea used Dubai?

    Ubarikiwe mwerevu
  4. geranteeh

    Sababu zinazopelekea engine ya gari yako kuzima ghafla

    Kuna mengi sana yanapita katika kichwa cha dereva anaeendesha gari alafu ikazima ghafla bila ya yeye kuizima na mbaya zaidi itokee hivyo ikiwa geji ya mafuta inaonesha mafuta yapo ya kutosha kwenye gari yako. Hakika kama si mjuzi wa gari unaweza kulia pale unapojaribu kuiwasha na ikagoma kuwaka...
  5. geranteeh

    Kwanini ununue spea used Dubai?

    1. Spea ni genuine zimetolewa kwenye gari kama yako iliyotumika Dubai 2. Gari zikizotumika Dubai ambayo tunauza vifaa vyake nyingi watumiaji wake walinunua zero km na ndiyo maana vifaa vyake vinakuja na condition nzuri yani vifaa vya used Dubai vina hali nzuri kuliko vifaa vya gari yako. 3...
  6. geranteeh

    Je gari yako ina matatizo haya?

    MASEGA MASEGA Je gari yako haina nguvu? Je gari yako ina unywaji wa mafuta kwa kiasi kikubwa? Je gari yako ina muungurumo usio wa kawaida? Je gari yako taa ya check engine inawaka mda wote hata ukiizima haizimi? Je gari yako ina mshono usio wa kawaida kwenye exhaust? Endapo una dalili zote hizo...
  7. geranteeh

    Je unahitaji vifaa vya Magari ya Ki Japan?

    Boss naomba unichek 0655513132
  8. geranteeh

    Je unahitaji vifaa vya Magari ya Ki Japan?

    Wewe ni Mkazi wa Dar es Salaam na unahitaji spea kwaajili ya gari yako? Huitaji kuhangaika mambo yawe mengi tucheki moja kwa moja dukani. MZIGO NI USED DUBAI Tunauza Spea za gari ndogo aina zote Kama vile Taa, Mabampa, Milango, Show, Mountings, Radiator, shockups Nk. Tunapatikana ilala Mtaa...
  9. geranteeh

    Dalili za injini inayoelekea kufa na namna ya kuilinda injini ya gari yako ili iwe na maisha marefu

    I think kuna shida kwenye mfumo boss Usikubali kubumba bumba hasa kwa gari za kisasa Tafta mtu wa mashine ujaribu kuifanyia diagnosis
  10. geranteeh

    Dalili za injini inayoelekea kufa na namna ya kuilinda injini ya gari yako ili iwe na maisha marefu

    Boss kwa uwelewa wangu hiyo taa ni warning light kwamba gari imeover speed hivo unatakiwa uwe makini sasa kweny gear kustuka pia nataka kupata uhakika je mwanzoni ilikua inafanya hivyo?
  11. geranteeh

    Dalili za injini inayoelekea kufa na namna ya kuilinda injini ya gari yako ili iwe na maisha marefu

    Ukweli ambao wengi hawataki kuusikia mkuu ila miundombinu ni mojawapo wa chanzo cha ubov wa magari na ajali nyingi
  12. geranteeh

    Dalili za injini inayoelekea kufa na namna ya kuilinda injini ya gari yako ili iwe na maisha marefu

    Sote tunajua engine ndio kitu cha msingi zaidi kwenye gari kwani kupitia injini ndo tunapata mjongeo wa gari na sehem nyingine kufanya kazi. Watu wengi humiliki magari bila kujua namna bora ya kuitunza injini, kumbuka gharama za kurekebisha ama kufufua engine ya gari yako ni kubwa sana au...
  13. geranteeh

    Masega Original ya gari aina zote na guarantee

    Wakati mwingine ni vema kukaa kimya ili kuepuka kuonesha ujinga
  14. geranteeh

    Spea za magari mbalimbali used Dubai

    Mkuu nichek 0655513132
  15. geranteeh

    Spea za magari mbalimbali used Dubai

    Boss fogo zake ni 70 kwa moja used dubai Engene yake sina mkuu wangu
  16. geranteeh

    Spea za magari mbalimbali used Dubai

    Taa ya mbele suzuki swift Taa ya nyuma toyota blade Taa ya nyuma toyota spacio MZIGO USED DUBAI Tunauza Spea za gari ndogo aina zote Kama vile Taa, Mabampa, Milango, Show, Mountings, Radiator, shockups Nk. Tunapatikana ilala machinga complex tunaangaliana na msikiti wa songea WA MJINI MALIPO...
  17. geranteeh

    Masega Original ya gari aina zote na guarantee

    Hatujuani kwahiyo naomba nisikujib "Kaalu salaamah"
  18. geranteeh

    Masega Original ya gari aina zote na guarantee

    Boss masega kazi yame kwenye gari ni kusaidia ku control uchafuzi wa mazingira kutokana na hewa chafu inayotoka kwenye gari baada ya milipuko Na hayo ni mapya mkuu original kabisa tunaongelea laki nane so kiufupi sio expensive
Back
Top Bottom