Search results

  1. mwanamichakato

    Viwanda vingi nchini vinakufa kutokana na vikwazo vya Sheria na tozo

    Maono na kiu ya watanzania wengi kuona viwanda vikishamiri ktk nchi yetu.Na pia Ni Maono na kiu ya Mh Rais wetu kuendelea kuzindua viwanda vikubwa vya kimkakati hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi, Uzalishaji, Unafuu wa bidhaa na kuokoa fedha nyingi za kigeni zinazotumika katika uagizaji toka nje...
  2. mwanamichakato

    Amani ya DRC na kesho ya usalama wa Tanzania

    Mungu ibariki Afrika na watu wake..Mungu wabariki Viongozi wetu Vita na mauaji vinaendelea Kivu ya Kaskazini,Maelfu ya raia wanauwa kila leo. Biashara na shughuli kuu zote zimedorora. Janga la kibinadamu siku si nyingi yamkini kukawa na mauaji ya haraiki. Waasi wenye nguvu wanapambana kuteka...
  3. mwanamichakato

    Kupata maendeleo ya kweli, tunayo mengi ya kujifunza toka singapore 🇸🇬

    A LETTER FROM THE GRAVE A MUST READ ! _The story of LEE KUAN YEW (Ex Prime Minister of Singapore for 31 years) His OPEN LETTER TO MALAYSIAN LEADERS_ Dear Malaysian leaders, I want to appreciate your condolence messages to Singaporeans since my death on Sunday, March 22. Having died at the...
  4. mwanamichakato

    Currency swap kati ya Tanzania na China, India, Turkey kukabiliana na uhaba wa Dola

    Kuna biashara kubwa sana (inayohusisha mabilioni ya fedha) baina ya nchi yetu na China, India, Uturuki, Afrika Kusini n.k. Taifa letu bado ni tegemezi katika kuagiza vitu, vifaa, chakula, nguo na mengine toka katika nchi mbalimbali. Hili linafanya wafanyabiashara wanaoagiza kuhitaji na kutafuta...
  5. mwanamichakato

    Viongozi wafinyangwe kiusalama, uzalendo, na uadilifu kwa maendeleo endelevu ya Taifa

    Vyombo vyetu vya Ulinzi,Usalama na Ujasusi vinafanya kazi kubwa sana toka tupate uhuru..Lakini pia bado tuna mianya mingi na mapungufu ambayo vinapaswa kumulika zaidi Kwa faida ya Taifa letu. Kama ambavyo Sisi watu wadogo tumekuwa tukishauri juu ya maboresho,Uwekezaji,ufinyanzi kikatiba wa...
  6. mwanamichakato

    Ili kuondokana na umasikini tunapaswa kupata viongozi wenye maono makubwa na uthubutu

    Nchi yetu bado ni maskini sana licha ya utajiri mkubwa sana wa rasilimali asilia (Madini, misitu, Ardhi, Maliasiri,n.k). Hivyo ili kuondoka kwenye dimbwi na Korongo la umaskini tunapaswa kupata viongozi wenye maono makubwa sana na uthubutu ktk nyanja zote zinazohusu maamuzi yenye kubeba hatima...
  7. mwanamichakato

    Ubabe wa TRA, ugumu wa biashara na utitiri wa kodi; nini kifanyike?

    Mamlaka ya mapato Tanzania ni chombo muhimu sana ktk kuijenga nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. TRA wana majukumu makubwa ya kukusanya mapato ili kufanikisha ulipaji wa gharama mbalimbali Za kuendesha Serikali (Matumizi,Miradi,Ulipaji madeni yanayokopwa nje na ndani). Kimsingi...
  8. mwanamichakato

    Finyango ya ushauri-kuepuka anguko la uchumi tuendako

    Nini Kifanyike? SIASA Ipo haja ya kuangalia mzigo ambao nchi inabeba kupitia michakato mbalimbali ya kiasiasa na demokrasia.Idadi ya Wizara -Mawaziri/Manaibu Waziri ipunguzwe (Tupunguze gharama kubwa),Idadi ya Majimbo ya uchaguzi ipunguzwe na pia wabunge (Kwa miaka 5 tunatumia fedha kiasi gani...
  9. mwanamichakato

    Ufisadi nyangumi; Tatizo la umeme, umaskini endelevu

    Nadhani maamuzi magumu yanapaswa kufanywa na viongozi wakuu ktk Serikali zetu uswahiba na ukaribu na watuhumiwa nyangumi wa ufisadi ktk nishati ni kikwazo kikubwa sana cha maamuzi yenye tija Kwa watendakazi wa chini.Refer DOWANS,Richmond,Symbion,IPTL na sasa Gas. Wafanyabiashara na matajiri...
  10. mwanamichakato

    Ukata wa dola Tanzania, tufanye haya kuepuka

    ✅Nadhani tupunguze matumizi yasio ya lazima, kuna miradi ya miundombinu isioendana na uhalisia wa uchumi wetu na miradi inayofilisi nchi sababu malipo mengi yanafanyika Kwa dola huku vyanzo vikibaki vile vile. ✅Tuepuke kuchukua mikopo mikubwa kufanya miradi isio na tija.Mikopo mikubwa...
  11. mwanamichakato

    Modern history of the Arabian Peninsula cannot be understood without looking at the central role of the British Empire

    Copy and Paste The modern history of the Arabian Peninsula cannot be understood without looking at the central role of the British Empire, as well as the continued involvement of ‘post-imperial’ Britain. As David Wearing has argued, Britain’s policy has been consistently conservative—providing...
  12. mwanamichakato

    Upo uwezekano mifumo ya bandari inahujumiwa kubariki uwekezaji tarajiwa?

    Kwa Siku kadhaa sasa mifumo ya bandari haifanyi kazi hivyo kupelekea wadau ktk Masuala ya forodha kukwama kutoa mizigo mbalimbali. Mkwamo wa System Kwa muda mrefu huleta usumbufu mkubwa ,hasara kubwa na taswira hasi kuhusu bandari na Taifa Kwa kuzingatia ushindani uliopo ktk ukanda tuna bandari...
  13. mwanamichakato

    Rais Samia tunakuomba hutubia taifa, omba radhi, fanya maamuzi magumu ya kuvunja mkataba huu nchi ipone

    Rais umefanya mema na mazuri kupitia uongozi wako. Mungu mtakatifu ana kusudi la kukupa nafasi kuu ktk nchi yetu ktk mazingira uliopewa si Kwa mapenzi ya wanadamu Bali Mungu tu..Si Kwa wewe kutaka Bali neema tu. Wengi sana walijitokeza (Watangaza nia)ili kupewa kijiti cha kupeperusha bendera...
  14. mwanamichakato

    Tujikumbushe misukosuko ya kitaifa, EPA, RICHMOND, DOWANS, ESCOW, NET GROUP, BUZWAGI

    Natamani tujikumbushe baadhi ya matukio yenye ukakasi yaliowahi kutikisa umma wa watanzania na kupelekea serikali kutikisika huko nyumba.. Tanzania ingeweza kuwa mbali sana kiuchumi ikiwa uzalendo wa dhati ungetamalaki ktk michakato ya mambo muhimu Kwa maendeleo ya nchi yetu.. EPA-Uchotwaji wa...
  15. mwanamichakato

    Kusudi la Mungu na uongozi wa Tanzania-simameni katika kweli, haki na toba-msiogope

    Mwenyezi Mungu ni mwingi wa uweza mkuu, Mwenyezi Mungu ni mkuu mno. Aliwatambua na kuwateua hata kabla hamjazaliwa. Naamini hakuna kiongozi yeyote anapata uongozi kwa mapenzi yake mwenyewe bali makusudi ya Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi. Uongozi ni fulushi zito mnoo ambalo kama si kwa...
  16. mwanamichakato

    Rais Samia futa umaskini Tanzania kwa mapinduzi makubwa ya kilimo. Unaweza

    Pongezi kwako Mh Rais wetu kwa mageuzi yenye tija ktk nyanja kadhaa. Maendeleo ni mchakato endelevu na wenye kuhitaji dira imara na maamuzi thabiti ya kimapinduzi. Tunajenga miundombinu (Barabara,Viwanja vya ndege, Bandari, Vyuo, mifumo ya umwagiliaji,usambazaji maji na kadhalika gharama kubwa...
  17. mwanamichakato

    Uwekezaji, mikakati na mapinduzi makubwa ktk kukuza utalii. Tunaweza

    Ufaransa (France) inapokea watalii si chini ya milioni 80 kila mwaka toka kote duniani. Paris ikiwa kitovu cha kupokea watalii husika. Lakini pamoja na wingi huo wa watalii, Ufaransa haina vivutio vya utalii kwa wingi kama ilivyo Tanzania, Kenya ama Afrika ya Kusini. Msingi mkubwa wa watalii...
  18. mwanamichakato

    Tufinyange vyema Viongozi wa kesho na kesho kutwa Kitaifa

    Watoto wa taifa hili ni vijana wa kesho hivyo vijana wa leo ni viongozi wa leo na kesho..Tutafakari hulka Za vijana wa kesho je pasipo kufinyangwa vema wataweza kumlea vema mama Tanzania? Pamoja na uwepo wa mifumo mbali mbali ya kufunda wataalaamu na viongozi bado kama taifa tuna ombwe la...
  19. mwanamichakato

    USHAURI: Serikali unganisheni BRELA, TIC, EPZA, TANTRADE kwa maendeleo ya Taifa

    Salaam Dunia inapambana kutatua vikwazo vya biashara,uwekezaji na mitaji..Hapa kwetu kumekuwa na jitihada nyingi Za kukuza uchumi kupitia mikakati mbalimbali ya kuwezesha wafanya biashara na wenye viwanda sambamba na kuvutia uwekezaji. Tatizo Kwa maoni yangu ni wingi wa taasisi zinazofanya...
  20. mwanamichakato

    Serikali Ijenge Reli Songea-Dsm-Tanga-Namanga

    Makaa ya mawe yamekuwa bidhaa mahsusi katika uzalishaji wa bidhaa mtambuka katika viwanda vingi vikiwemo vya cement Afrika Mashariki na Kati. Uwepo wa makaa ya mawe mkoani Ruvuma na Mbeya umechangamsha shughuri za usafirishaji kutokana na mahitaji yanayoongezeka kila leo ndani na nje ya nchi...
Back
Top Bottom